kimataifa

  1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran ya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025.
  2. Profesa J atafurahi kuona Singeli inaenda kimataifa

    msikilize hapa akiwa na Sholo Mwamba.
  3. TANROADS Yapokea Tuzo ya Kimataifa Kutokana na Mchango Wake wa Kuboresha Usalama wa Barabara (Safer Road)

    TANROADS YAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA USALAMA WA BARABARA (SAFER ROAD) Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea tuzo ya heshima katika mashindano ya kimataifa ya usalama wa barabara, iRAP Gary Liddle...
  4. X

    Marekani imeonyesha kuwa si mshirika wa kutegemewa katika masuala ya kimataifa. Ukraine na Ulaya wamejifunza kwa uchungu sana, Marekani yawakataa

    Mwaka 1968 aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje ya Marekani Henry Kissinger alisema: "Inaweza kuwa hatari kuwa adui wa Marekani, lakini kuwa rafiki wa Marekani ni majanga." – Henry Kissinger Na Marekani imethibitisha kuwa Kissinger alikuwa sahihi. Mara kwa mara, Marekani imeonyesha kuwa si...
  5. Tuweke rekodi katika kumbukumbu Rais Samia ameirejesha Diplomasia ya Tanzania Kimataifa!

    Wakati anaingia madarakani ilionekana kama anakirupuka hivi yaani anafungua nchi. Wengi tusingeweza kuamini kama angeonesha consistence katika sera yake ya mambo ya nje...yaani kufungua fursa kwa watanzania kuelekea mchangamano wa kidunia. Inawezekana wasaidizi waliopewa kazi hii awali...
  6. Dodoma: Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu yaridhishwa na ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa msalato

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato unaendelea kwa kasi, huku sehemu ya njia ya kuruka na kutua ndege (runway) ikiwa imefikia asilimia 90 ya utekelezaji. Hii ni hatua muhimu kuelekea kukamilika kwa mradi huu mkubwa wa miundombinu unaotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya...
  7. Mikutano mikubwa ya kimataifa Tanzania lazima ifanyikie Arusha na Dar tu?

    Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
  8. USA sio Mungu wakikosea tuwapinge, kwenye hili nasimama na Mahakama ya Kimataifa ya ICC

    Trump amewawekea vikwazo vya kifedha na Visa kwa maafisa wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC baada ya mahakama hiyo kutoa hati ya kukamatwa kwa viongozi wa juu wa Israel Israel na washirika wengine wa USA. Mtakumbuka kwamba mwaka jana 2024 mahakama hiyo ya kimataifa ilitoa hati kukamatwa...
  9. FEBRUARI 6: Siku ya Kimataifa ya Kupiga Ukeketaji

    MAELEZO MAFUPI (DONDOO) KUHUSU UKEKETAJI NA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUTOKOMEZA UKEKETAJI Maana ya Ukeketaji Ukeketaji ni kitendo cha kimila kinachotekelezwa na baadhi ya jamii ambapo sehemu ya nje ya via vya uzazi vya mwanamke huondolewa, huchanjwa, hukatwa ama huharibiwa kabisa...
  10. Mikoa ya Manyara na Arusha ndiyo inayoongoza kwa kiwango kikubwa cha ukeketaji kwa 43%

    KUH; MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA UKEKETAJI DHIDI YA MWANAMKE NA MTOTO WA KIKE TAREHE 6 FEBRUARI, 2025 Dar es Salaam, 02 Februari, 2025 Ndugu wanahabari, tarehe 6 Februari, 2025 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga ukeketaji dhidi ya mwanamke na mtoto wa...
  11. Ahmed Ally amjibu Ally Kamwe tuhuma za mbeleko: "Simba Kubebwa? Mbona Kimataifa Tumeongoza Kundi?"

    Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amemjibu Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, kufuatia tuhuma alizozitoa za Simba kubebwa na waamuzi katika Ligi Kuu. Kupitia ujumbe wake, Ahmed; Soma: Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, alitoa tuhuma kali...
  12. Timu iliyoshika nafasi ya tatu Ligi Kuu msimu uliopita ndiyo imebaki kimataifa

    Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF. Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam. Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
  13. Yanga haijawahi kuwa klabu ya maana kimataifa

    Tukiachana na kombe la shirikisho ambalo ndio Yanga wamewahi kupata mafanikio makubwa ya kufungwa fainali klabu hii ya Yanga haijawahi kuwa na mafanikio wala ubora wowote ule kimataifa Yanga ndani ya miaka hii mitano imecheza klabu bingwa mara mbili na katika misimu yote Yanga imeshindwa...
  14. G.Lema amekiri kuwa alikuwa mstari wa mbele kuichafua nchi kimataifa

    Inasikitisha sana kuona aliyekuwa kijana ambaye tulitegemea awe mzalendo ndiye alikuwa akichangisha fedha ili kuhudumia kampeni chafu ya kumchafua Magufuli kimataifa. Kukiri kwake kunaongeza chuki dhidi yake na washirika wake kutoka kwa jamii ya watanzania iliyompenda John Pombe Magifuli...
  15. M

    Dube sio level ya kimataifa. Ni bora wacheze Mzize na Musonda kama washambuliaji. Dube apumzike

    Hii ni fact Dube kaja kuirudisha yanga nyuma
  16. Mtanzania Erry Mars Afungua Website ya Kimataifa

    https://fntaz.com/kyle-walker-aomba-kuondoka-manchester-city/
  17. Maajabu ya Simba na Yanga kimataifa msimu huu

    Leo sitawananga ndugu zangu wa uto ila nakuja na mada fikirishi ila siyo serious kihiiivyo kwa hiyo wale ambao tunarushiana maneno kila siku embu leo nipumzisheni. Msimu huu kuna mambo kadhaa yanafanana kati ya Simba na Yanga katika mechi za kimataifa: 1. Simba na Yanga zote zilicheza ugenini...
  18. Tanzania kutumia balozi zake kukuza mchezo wa ngumi kimataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania imejipanga kutumia balozi zake zote zilizopo katika mataifa mbalimbali duniani, ili kuzifikia fursa za Kimataifa zilizopo katika mchezo wa Ngumi na kuwezesha mchezo huo kukua Kimataifa...
  19. Hivi utaratibu upoje wa kupokea parcel kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa

    Comment ziwe fupi fupi Uzi tayari
  20. Yanga Ya ligi kuu vs Yanga ya kimataifa

    Yanga inavyocheza ligi kuu unaiona yanga Bora sana. Nimara chache wanapata matokeo dhaifu lakini ukweli ni kuwa Yanga ndio wafalme wa ligi kuu kwa misimu ya hivi karibuni. Tatizo ni pale inapocheza kimataifa hasa msimu huu wa mashindano. Kulikoni Yanga?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…