kimataifa

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Myanmar kutoa ushahidi katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC

    Waziri Mkuu wa Myanmar Aung San Suu Kyi atatoa ushahidi leo katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu. Serikali ya nchi hiyo iliyo kusini mashariki mwa Asia inadaiwa kupanga mauaji ya halaiki ya Waislamu walio wachache nchini humo Warohingya. Mwaka 2017 maelfu ya Warohingya walikimbilia nchi...
  2. JamiiForums Tanzania Kipi kinafanywa /kuongelewa katika usuluhishi wa migogoro ya kimataifa?

    Habari zenu wana JF Moja kwa moja ningependa niende kwenye mada au swali husika. Kulingana na kichwa au swali langu hapo juu kwa wenye ufahamu nalo please ningependa kufahamu maana nimekuwa nikijiuliza sana suala hili na kushindwa kupata majibu yaliyo sahihi kichwani mwangu. mfano unaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Reinhard Bonnke, mmoja wa wahubiri wakubwa waliotikisa dunia, amefariki

    Reinhard Bonnke nadhani kizazi cha miaka ya 1990 hadi 2000 mwanzoni watakuwa wanamjua vyema huyu mhubiri ambaye mikutano yake ilikuwa inatikisa vilivyo. RIP ====== German Pentecostal evangelist, Reinhard Bonnke who is principally known for his gospel missions throughout Africa is dead aged 79...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba sijisikii comfortable pindi nikipanda ndege za Tanzania, najisika amani ninapopanda ndege za Kimataifa

    Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania. Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema: "THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN" Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on...
  5. JamiiForums Tanzania Dk. Bashiru ayaonya mashirika ya kimataifa kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania

    Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally ameyaonya mashirika ya kimataifa akiyataka kuacha kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania. Dk Bashiru ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Novemba 28, 2019 wakati akizungumza na wajumbe wa chama hicho mkoa wa Magharibi mjini Unguja, Zanzibar. Amesema ni marufuku ofisi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize kama Watanzania na Waafrika kwanini hatupati wabunifu wa kimataifa?

    Watanzania na Waafrica tuna akili na uwezo kama wenzetu wa mabara mengine. Lakini tujiulize hata ukiangalia mika 20 tu iliyopita ugunduzi sehemu mbalimbali umefanywa na watu wanaoishi nchi za Mangaribi ukiangalia kwenye teknologia pekee. Hata wahindi hatuchekani kuna wahindi wengi wamegundua...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kwenye majadiliano ya mikataba ya kimataifa tusipeleke watu waliopata makarai "O" level "A" level na Chuo kikuu

    Spika wa bunge mh Job Ndugai ameitaka serikali kuwa makini inapounda timu za kufanya majadiliano ya kimataifa ( negotiations) na kupeleka watu makini badala ya wababaishaji. Serikali isiangalie tu kuwa huyu ni Mkurugenzi, RC au Katibu bali iangalie sifa zake alipokuwa shule.....peleka watu...
  8. JamiiForums Tanzania Dhuluma ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yatinga kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa

    Tayari Aljazeera , BBC , CNN na AFP wameanza kulifuatilia kwa karibu
  9. W

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiaano wa Kimataifa Profesa Palamagamba Kabudi amewaalika wenzake kadhaa wa Kiafrika na Nordic kwenye Mkutano wa Mawa

    Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Profesa Palamagamba Kabudi amewaalika wenzake kadhaa wa Kiafrika na Nordic kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Afrika-Nordic jijini Dar es salaam tarehe 8 Novemba, 2019. Mada ya mkutano wa mwaka huu Ushirikiano kwa maendeleo endelevu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za kimataifa: Vipaumbele vya kujenga reli na fursa za kibiashara

    Moja ya miradi mikubwa ambayo serikali ya awamu ya TANO unatakiwa kupongezwa ni connection ya mradi wa Reli ya mwendokasi na mradi wa kufua umeme wa Nyerere hakika ni perfect kwa sababu ya value for money ya miradi yote miwili! 1. Umeme itumike wapi!? 2. Kutumia nguzo gani ili kupunguza fidia...
  11. JamiiForums Tanzania UDSM kuanza kutoa mitihani ya kimataifa ya Kiswahili ili kuikuza lugha hiyo duniani

    Na Ezekiel Mtonyole, Dodoma. Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kinataraji kuanza kutoa Mitihani ya Kimataifa ya Ujuzi wa Lugha ya Kiswahili kwa lengo la kuhakikisha lugha ya kiswahili inakuwa zaidi Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...
  12. JamiiForums Tanzania Is Tanzania discarding Nyerere’s freedom-fighting legacy?

    Tanzania Palestine: Former Palestinian leader Yasser Arafat with Tanzania’s former President Julius Nyerere. Tanzania’s stance on Palestine suggests its history of fighting global injustice could be making way for a more pragmatic “economic diplomacy”. In November 2018, representatives of...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…