kimataifa

  1. JamiiForums Tanzania Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba yafana sana. Kwa mara ya kwanza wafanyabiashara Wahindi wengi wa Tanzania wahudhuria, wanunua sana

    Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba ya miaka yote iliyopita ilikuwa vigumu kuona sura ya Mhindi kwenye hivyo viwanja wa Sabasaba Dar es Salaam mwaka huu wako kibao kila hatua chache unakutana nao familia kibao wazee hadi vikongwe , watoto, wanawake wanaume wakihindi ni wahindi kila kona na...
  2. JamiiForums Tanzania Majibu ya David Kafulila kwa Zitto Zuberi Kabwe kuhusu uchumi wa kati

    Julai1, 2020 ni tarehe itakayobaki kwenye kumbukumbu kama siku ya kwanza ya kuanza kwa utekelezaji wa Bajeti ya tano na ya mwisho ya kumalizia miaka 5 ya kwanza ya awamu ya tano. Siku ambayo Benki ya dunia ilitambua Tanzania kuwa nchi ya Uchumi wa kati, ikiwa ni miaka5 kabla ya kufikia mwaka...
  3. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa Taasisi za kifedha za kimataifa zinataka kufanya kazi na Rais Magufuli, zimempigia kampeni bila kificho

    World Bank wameikopesha Tanzania mabillioni ya shilingi na wao furaha yao ni kuona wanalipwa hela zao kama zilivyo Taasisi zingine za fedha ambazo zingependa wateja walipaji wazuri, imeelezwa kuwa tangu Rais Magufuli aingie ameonyesha nidhamu ya hali ya juu sana kwenye ulipaji wa madeni ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, unaijua mikataba ya Haki za Binadamu ya Kimataifa ambayo Tanzania imesaini?

    MKATABA WA HAKI ZA BINADAMU NA HAKI ZA WATU WA UMOJA WA AFRIKA (MKATABA WA AFRIKA) Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni: 1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa. 2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza mawazo yake kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Taasisi za fedha za kimataifa zaombwa kuzifutia Madeni nchi za Afrika kupambana na athari zilizotokana na janga la COVID19

    Serikali ya Tanzania imeendelea kuziomba taasisi za fedha za kimataifa pamoja na nchi za Jumuiya ya Madola kufikiria kufuta kabisa madeni yaliyokopeshwa kwa nchi zinazoendelea ili fedha hizo ziweze kutumika kupambana na athari zilizotokana na Covid - 19. Ombi hilo limetolewa na Waziri wa Mambo...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Mkuu 2020 bila Tume huru wala Waangalizi wa Kimataifa

    Heshima kwenu Ndugu wanajamvi, Dalili zote zinaonyesha uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na madiwani utafanyika October 2020. Ni wazi yapo mambo mawili ambayo hayajakaa sawa. Mosi ni Tume huru ya uchaguzi.Suala hili limekuwa likipigiwa debe na wadau mbali mbali wakiwemo wansiasa,viongozi wa dini...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa China atoa salamu kwa mkutano wa ushirikiano wa kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja”

    Mkutano wa ngazi ya juu wa ushirikiano wa kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” umefanyika leo hapa Beijing. Katika salamu zake kwa mkutano huo, Rais Xi Jinping wa China amesema, China inapenda kushirikiana na nchi nyingine kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja. Amesema maambukizi...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania ilishindwaje kunusa ugonjwa wa Nkurunziza na familia yake na kumsaidia? Sasa tuichunge hali ya kiusalama ya Burundi mpaka mteule aapishwe

    Burundi na Nkurunziza ni marafiki zetu na ambao tangu enzi ya JK tumehakikisha Burundi imekuwa salama. Juhudi za kuifanya Burundi kuwa salama zilimfanya PK asimpende JK, na Burundi imekuwa nasi bega kwa bega. Wakati huo huo PK akiwa na chuki kubwa kwa Nkurunzinza Ilipokuja awamu mpya, urafiki...
  10. JamiiForums Tanzania Makonda: Wanaopora mali za watu wapewe kipigo cha kimataifa

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Pual Makonda amewataka wananchi kuwachunga watoto wao kwani kuna wimbi la vijana waporaji pamoja wanaoiba vifaa vya magari ambalo limeuka hivi karibuni. "Uibe tekino au pochi haina kitu tutakuhesabu kama mwizi wa Dreamliner, kipigo chako ni cha Kimataifa. Wale...
  11. JamiiForums Tanzania Wizara ya viwanda na Biashara itangaze tarehe ya kuanza kwa maonyesho ya kimataifa ya biashara-sabasaba 2020

    Ni muda umefika tarehe itangazwe kuanza maonyesho ya kimataifa ya biashara sabasaba Wizara itoe mialiko kwa wafanyabiashara ndani na nje ya nchi kwa haraka #hapakazitu #MATEGE
  12. JamiiForums Tanzania Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

    Kwa waliokaribu na TV tune in TBC 1 ====== Ndege ya kwanza ya watalii imewasili nchini ikiwa ni baada ya Rais John Magufuli kuruhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini baada ya kupungua kwa kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Corona Tanzania. Tarehe 20, Mei 2020, Mkurugenzi...
  13. JamiiForums Tanzania Je, naweza kusoma Online University kwa Course hii na nikakubalika Kimataifa?

    Mwaka huu namalizia diploma yangu ya civil engineering Mungu akioenda. Malengo yangu niunganishe degree ya kozii hii, ila kwa online university huku nafanya kazi za civil engineering technician. Je, inawezekana? Na kama itawezekana ni vyuo gani hapa duniani ambavyo vyeti vyake vitakubalika na...
  14. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

    Wanabodi, Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa...
  15. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa uvuvi kupata ajira kimataifa

    WATAALAMU wa vyombo vya uvuvi nchini wataanza kuajiriwa kitaifa na kimataifa, baada ya Bunge kuridhia mkataba wa kimataifa wa viwango vya mafunzo na utoaji vyeti kwa wafanyakazi wa vyombo vya uvuvi wa mwaka 1995 Mawasiliano, Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, alisema kuridhiwa kwa mkataba...
  16. JamiiForums Tanzania Uongo na Njama: Jinsi Marekani inavyodanganya watu wake na jamii ya kimataifa kuhusu virusi vya Corona

    Katika hospitali ya Elmhurst jimbo la New York nchini Marekani, mchana na usiku, madaktari na manesi wanajitolea kuokoa maisha ya wagonjwa wa COVID-19, ambao hofu za kuhuzunisha zinaonekana machoni mwao, lakini bado wanashindwa kumsaidia kila mmoja. Nje ya hospitali, friji kubwa zimepangwa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya Uchumi wa Tanzania kuporomoka kuna haja ya maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba kufanyika mwaka huu?

    Kabla ya yote naomba kukiri kwamba mimi na makampuni yangu tumeshiriki maonesho ya kibiashara ya kimataifa kwa zaidi ya miaka 10 , tukijikita zaidi kwenye local products kwa ajili ya export ( yaani bidhaa za kitanzania za kuuza nje ya nchi ), 90 % ya bidhaa zetu tunauza Ulaya na Marekani...
  18. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

    Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni. =============== Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe uliokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Taarifa ya bunge: Kuhusu wabunge wa CHADEMA walioko nje

    Taarifa ya bunge kuhusu wanachedema walioko nje ya jengo.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa mkoani Dodoma baada ya kupatiwa mkopo wa kugharamia ujenzi huo?

    Wakati ujenzi wa uwanja wa mpira kwa ufadhili wa mfalme wa Morocco ukiwa hauelewiki maana hakuna kinachoendelea site, naomba kujuzwa ni nini kinaendelea kuhusu ahadi ya kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa katika eneo la Msalato mkoani Dodoma. Nakumbuka iliripotiwa kuwa mkopo wa shilingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…