kikwete

  1. JamiiForums Tanzania Samia na Kikwete wataamka lini toka kwenye usingizi wakabiliane na uchafu wao kisayansi badala ya kujitoa ufahamu?

    Tangu Samia CCM na Jakaya Kikwete walikoroge, wamegeuka mabubu na viziwi. Je, hili ndilo jibu au wanakoleza moto wasijue wataumia na kuumiza taifa letu? Tuwasaidieje? Eti Nchimbi anaongelea majadiliano na maridhiano. Nani anajadiliana na kuridhiana na nani wakati walio'vuruga' taifa letu ni...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Jakaya Kikwete aondolewe kwenye orodha ya waangalizi wa chaguzi za SADC na AU

    Mzee huyu Kwa kutanguliza mbele tumbo lake ameliharibu taifa. Kikwete amekuwa election observer katika nchi mbalimbali za Afrika, aliona chaguzi zenye staha kama uchaguzi wa Kenya, na Ghana. Kikwete alinukuliwa live anasema uchaguzi wa Kenya ni huru na Haki Kwa Hali ya juu. Uku kwetu bila aibu...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika hata Kikwete na CCM wanamshangaa huyu mama haijawai tokea

    Kikwete alishawai kuwa raisi sizani kama anahusika na mauwaji haya bali at as kuwa katika mshangao mkubwa vile nchi inavyoenda. Wasanii nao walikuwa ni mama mama na wanashangaa yanayoendelea huyu mama ni laana mlifanya makosa makubwa sana kumuunga mkono. Kwa mauwaji ya kutisha yaliyofanyika...
  4. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete kazi ya kulinda tunu ya nchi imemshinda

    Kwa sasa Tanzania hakuna mtu mwenye jukumu la kuilinda Tanzania kama ‘Jakaya Kikwete’ ndio supremo wa mfano. Wengine ni retired security officers, yaani previous CDF, DGIS, IGP’s, Magereza na uhamiaji. Hawa watu wanajukumu la kuhakikisha Tanzania inabaki kama walivyoikuta na wengine mbele yao...
  5. JamiiForums Tanzania Kama kweli Samia alikwenda Kenya na Kikwete, je walikwenda peke yao au na mume wa Samia?

    Kichwa cha habari kiko wazi.
  6. JamiiForums Tanzania Pongezi Samia na hongera Kikwete ila mmejua kututenda.

    Sina la kusema! Naamini kazi itaendelea hadi kieleweke. Kwa ujuha na uzwazwa huu, sina wasiwasi.Damu iliyomwagika itarudi na kulipiza kisasi.
  7. JamiiForums Tanzania Damu, damu, damu, CCM, mikono na miili Samuya na Kikwete vimejaa damu atatawalaje damu damu damu?

    Siombi msamaha. Urais wa Samia, chama chake na nchi vimejaa damu. Ni ubatili. Ni ukatili, Ni unyama, Ni ujambazi. Ni udikteta. Ni dhuluma Ni mauajai, Ni unyang'anyi. Je, Samuya atatawalal damu? Je, damu isiyo na hatia iliyomwagwa itawaacha? Je, wahanga na ndugu zao na taifa visamehe na...
  8. JamiiForums Tanzania Kikwete akutana na Uhuru Kenyatta, amuomba ushauri

    Rais Mstaafu wa Tanzania ameenda Kenya kwa Dharura kukutana na Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta. Amuomba atumie ushawishi wake kuwatuliza Waandamanaji wa Tanzania. Tanzania na Kenya wamekuwa ndugu katika shida na raha. Uhuru aliweza kumaliza maandamano ya kenya kwa njia ya mazungumzo...
  9. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Kikwete ahitimisha na kufunga Kampeni za Wanu Hafidhi Kwa Kishindo kikuu Makunduchi Zanzibar

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Amehitimisha na Kufunga Kampeni za Mheshimiwa Wanu Hafidhi kwa kishindo kikuu kilichoitetemesha Zanzibar nzima. Ambapo Mgombea huyo wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Makunduchi amepata Heshima ya kipekee...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 "Rais Samuya, hakutakuwa na Nywinywinywi". Kikwete alimuingiza chaka Rais Samia

    Mambo tmya kusema watu wanaopingana na uchaguzi wa mwaka huu watekwe, ni ishauri mbovu. Wameteka hadi wamwchoka.. Mambo yamebadika. Unatuteka wengine wwakina sisi ndo kwanza wamezaliwa leo Muhimbili. Watapewa stori zetu kwenye makaburi yetu siku ya kusafisha. Kwamba tulimpiga Mzanzibari wa...
  11. JamiiForums Tanzania Wamakonde ndio wanaiweza kazi ya kutetea haki yao

    Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Raisi mstaafu Kikwete, Mpango na Rostam kwenye msiba wa Raila Odinga

    Mwamba wa demokrasia Afrika amelala, Mwamba aliyefungwa jela kwa uhaini akitetea watu wake amelala, Mwamba aliyepinga matokeo ya uraisi mahakamani na mahakama ikabatili ushindi wa Raisi Uhuru Kenyatta amelala, mwamba ambae huwezi kumwelezea kwa maneno peke yake ikatosha amelala, Mwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Abdul Samia na Ridhiwani Kikwete ni ndugu?

    Kichwa cha habari kinajieleza na kujitosheleza. Karibu tutafakari pamoja kujibu swali hapo juu.
  14. JamiiForums Tanzania Wanaojua uhusiano wa Kikwete na Samia watusaidie kabla ya kujadili wake na Daudi Albert Bashite

    Kichwa cha habari kinajieleza. Tanzania kuna wato wawili ambao kwa rais Samia siyo wana ushawishi mkubwa bali ni maalum ambao ni Jakaya Mrisho Kikwete na Daudi Albert Bashite. Kwa wanaojua undani wa wandani hawa watujulishe lau tujue kwa sababu rais ni public figure.
  15. JamiiForums Tanzania Napendekeza tujue historia na makuzi ya viongozi wetu kabla ya kuwateua au kuwachagua urais

    Katika kuwachunguza na kuwatathmini viongozi waliowahi kuongoza taifa letu, kuna kitu nimeona. Historia na makuzi yao vina mchango mkubwa katika ubora au uhovyo wao. Mfano, Mwalimu Nyerere alisifika kwa kuleta uhuru, kujenga huduma za jamii na za kiuchumi thabiti kama vile miundo mbinu hasa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Baba wa Kikwete alikuwa anasuka ukindu baada ya kustaafu uDC

    Nyumba hii ndiyo baba wa Kikwete alikuwa akiishi mpk pale Kikwete alipopata urais ndipo ikabomolewa kujengwa mpya. Picha ya juu: Baadhi ya watoto wa Kikwete wakiwa na babu/bibi yao. Picha ya chini: Baba na mama wa Kikwete wakiwa kwenye "shughuli" (siyo sherehe). N. B. Ndiyo maana marekani...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kimya cha muda Kikwete aonekana kwenye kampeni, Bagamoyo mkoani Pwani

    Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete leo Oktoba 10, 2025 ameshiriki kwenye mkutano wa Kampeni za Urais za Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, Bagamoyo mkoani Pwani.
  18. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Kikwete na Rostam

    Mabwana, Najua mna furaha adui yenu aliyefichua mambo yenu amenaswa. Japo hakuna jipya kwa sababu tunaujua uchafu wenu, nawaomba chonde chonde. Jitokezeni lau mkanusha hata kinafiki vinginevyo mjue. Your cover has been blown out. Kwa wanaume kweli, hili si jambo la kuacha upepo utulie...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma zinazomkabili Kikwete sijui kama analala

    Japo Kikwete anajulikana kwa kujitoa ufahamu, kwa mtama aliomwaga slowsliow sijui kama analala usingizi. Japo twamjua ni jahiri mwenye masikio lakini asiyesikia, hili litakuwa limemtingisha. Yeye na genge lake, sijui watatumia utuli upi kujisafisha wasafishike. Kikwete ni kiumbe wa ajabu...
  20. JamiiForums Tanzania Birthday ya Kikwete na maoni ya wananchi

    Ridhiwani kapost picha mtandaoni akiwa na babaake na kumtakia birthday njema.. Maoni yaliyofuata ya wananchi yanaumiza na kufikirisha sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…