Kuna watu unaoweza kuwaita wadini na maadui wa taifa wanaodhani kuwa rais Samia anachukiwa hasa anaposhauriwa au kukosolewa au kutopongezwa, kuabudiwa, na kuhadaiwa anapendwa.
Hawa ambao naweza kuwaita wahuni na wajinga wa mwisho wanadhani Samia anachukiwa kwa sababu ya dini, eneo au jinsia...