Watanzania elimu ni tiba ya kutatua matatizo siyo kusoma tu kama unasoma gazeti. Inakuwaje mwanachuo ulalamike mitandaoni na upo na utawala hapo hapo ,na Kuna suggestion boxes kibao, na umesoma research writing huoni kama unakidhalilisha chuo?
Andikeni maandiko, fanyeni mini research watu waone...
Jameni Myahudi amechafukwa, ukizingatia mindege yake inaruka na kupiga popote...
Hakuna aliyejaribu kufuta jamii ya Wayahudi akafanikiwa, hata miungu yote ya awali wakiwemo akina Baal wote walishindwa, maana Jehovah muumba wa vyote ndiye yuko nao....hata mubuni dini yenu leo na kuchukia Israel...
Wadogo zangu ambao bado hamjamaliza Please msicheze vyuoni mpate ufaulu ambao ni mzuri yaani GPA kuanzia 3.5 inakua nzuri kwako hata kama utaajiriwa na mtu au taasis ambayo haitaki GPA kubwa.
Kwa Tanzania na Population yake wasomi wamekua wengi na ili kupunguza michujo mingine ndo inafanywa kwa...
Kumezuka tabia mpya geti la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kuna baadhi la Jeshi la Polisi wakishirikiana na SUMA wanasimamisha pikipiki kwa kigezo cha kuwakagua na kisha wanachukua pesa kwao mara nyingine 10,000/=, 5000/=, 20,000/= kitendo ambacho sidhani kama ni kwa mujibu wa sheria na pia...
Anonymous
Thread
chuo
chuo kikuu
chuo kikuu cha dodoma
dodoma
kikuu
rushwa
Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha.
Udom msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea izo fedha ili tufanye graduation tupeni na...
Anonymous (0740)
Thread
chuo
chuo kikuu
chuo kikuu cha dodoma
deni
dodoma
gani
kero
kikuu
kurejesha
malipo
mpango
udom
wahitimu
wanafunzi
wenye
Habari Wakuu.
Nkiendelea kuipokea Weekend ya Mwisho kwa Mwezi huu wa 01.26, Nikapata wasaa kupita na files zangu, mpaka kulikuta file la madeni yangu ya HESLB, na kugundua wananidai 20M kama gharama za ku-finance elimu yangu ya Chuo kikuu.
Sijaanza kuwalipa bado, Ila soon ntaanza kuwalipa...
Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma tunaomba mfanyie kazi swala la miundombinu ya vyoo .
Matundu ya vyoo (sinks) zimeziba ukiingia chooni unachokutana nacho unaweza kutapika hii sio sawa kabsa .
Vyoo takriban floor zote vimeziba vichache tu ndio vinafanyakazi na idadi ya wanafunzi ni wengi ...
WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo...
Muda mfupi baada ya kusambaa kwa andiko la Mdau akielezea tuhuma zinazohusu Chuo Kikuu Huria (OUT) kwamba kuna baadhi ya Wahitimu wamefoji matokeo na vyeti, ufafanuzi umetolewa na chuo hicho.
Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa - Zaidi ya Wahitimu 300 wa Mahafali ya 44 ya Open University (OUT)...
Anandika John Heche kuwa;
"Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi.
Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano.
Ajabu ni kwamba sehemu ambayo Inatakiwa kuwa chimbuko la fikra na mawazo wamezuia kongamano hili dakika za mwisho kabisa".
Naomba tuelewane ni chuo kikuu kilichojitosheleza chenye vitivo mbali mbali vya Uhandisi, Sheria, Ualimu, Biashara, Udaktari, n.k.
Sio kampasi ya chuo kikuu au institute au college ambayo inatoa fani chache.
Kila ukanda sikuhizi una toa wahitimu wengi sana wa form 4 na form 6, ni haki yao...
Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana.
Kero kwa miaka na miaka zimekuwa zikilalamikiwa na kupelekwa kwa viongozi husika ila kumekuwa hakuna mabadiliko imekuwa...
Anonymous
Thread
amani
chuo kikuu huria
december
dhidi
huria
kikuu
maandamano
maandamano ya amani
mbovu
open
open university
tarehe
university
uongozi
uwajibikaji
Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati.
Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo, unaweza kuwekewa matokeo wiki mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya ku-graduate mwaka husika...
Anonymous
Thread
chuo
chuo kikuu
chuo kikuu huria
huria
kikuu
mapema
open university
pekee
university
wanasiasa
Mnahangaika na matokeo badala ya kushughulika na na walio sababisha hali hii itokee ,huo ni ujinga,wahalifu wa kwanza kabisa ni serikali na jeshi la polisi hao ndio waanzilishi wa machafuko tanzania na hakuna namna watakwepa lawama hizi.
Mnateka watu wanaokotwa wameuawa halafu mnajibu kiholela...
Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni
Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi...
Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera.
Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita
Uharibifu huo ni...
Kufundisha ni wito. Tenda kazi yako vizuri. Kwanini taasisi nyingi zinafanya kazi mpaka waone jambo kwenye mtandao?
Hapo chuoni unakuta wanafunzi wananyanyaswa na hawana pa kwenda wakiofia kufelishwa. Mhadhiri anaingia darasani mara 7 kwa semester na hakuna attendance wala nini na hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.