kikristo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kufungia Makanisa na Kushambulia Viongozi wa Kikristo ni Mashambulizi Dhidi ya Imani ya Kikristo, Hatutakubali

    Kama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza. Kuwatawala watu wa Bara haiwi kazi rahisi kihivyo, kwa taarifa yako unashindana na watu mil.60+ kulinganisha na ndugu zako mnaojaa tu kwenye kiganja cha mkono; 60...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi 10 Zenye Idadi Kubwa ya Watu wa LGBTQ+ (2023/2024)

    Nchi 10 Zenye Idadi Kubwa ya Watu wa LGBTQ+ (2023/2024) | Nchi | Idadi ya LGBTQ+ (Makadirio) | Asilimia ya Watu | Sheria za LGBTQ+ | Marekani | ~31 million | ~9.2% | Ndoa halali (2015) | | Brazil | ~20 million | ~10% | Ndoa halali (2013)...
  3. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa. Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende. Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
  4. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua mkewe aliyekataa kubadili dini

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu. Licha ya Abel kukana mahakamani kutenda kosa hilo, alikiri kuwa yeye na mkewe (marehemu) walikuwa na...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa!!!!

    Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa,isome kwa makini na ujitafari kwa kina na ujipe jibu mwenyewe je kati ya wewe unaamini ukristo na mimi ninayeamini katika MILA ZANGU ZA KIAFRIKA i.e:kabila langu nani yuko sahihi??
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ninahitaji kuongeza mke wa pili, nina ndoa ya Kikristo

    Habari zenu waungwana. Nina ndoa ya kikristo. Ninahitaji huyu mwanamke niliye naye atambulike, hasa kwaajili ya benefits flani kutoka ofisini. Amejifungua muda sio mrefu, chata yangu kabisa. Nifanyeje ili ndoa tutakayofunga iwe ya halali? Kataa ndoa naombeni mkae pembeni kidogo. Shukran.
  7. JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema. #π™†π™–π™―π™žπ™‰π™–π™π™©π™ͺ𝙏π™ͺπ™£π™–π™¨π™€π™£π™œπ™–π™ˆπ™—π™šπ™‘π™š
  8. R

    JamiiForums Tanzania Urithi wa ndoa za Kikristo una mapungufu, wazazi hawapewi chochote

    Kwanini Ukristo haujali wazazi kwenye urithi ? Inauma kuona kwamba mwanaume anaweza kufariki akiwaacha wazazi wake. yeye ndie alikuwa akiwatunza wazazi wake waliozeeka. Lakini kifo kinapobisha hodi, kinachoacha siyo tu huzuni, bali pia pengo kubwa la haki. Kwenye mgawanyo wa urithi, wazazi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini kataa ndoa wengi ni vijana wa kikristo

    Ngoja tu nianze kwa kusema, This is all "Allegedly". Observation yangu ni kwamba vijana wengi wa kataa ndoa asilimia kubwa ni vijana wa kikristo, au wana background ya kikristo au ni atheists. Yes kila mtu ana experience zake but kwa mm, watu ambao nime interact nao(kweny mada za ndoa na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Kikristo ina vigezo gani?

    Ndoa ya Kikristo ina Vigezo Gani Hii ni ndoa inayofungwa katika kanuni timilifu za Mungu alizozikusudia tangu mwanzo. Vigezo vinavyohusika vimeainishwa katika sehemu zinazofuata hapo chini. Wote wawe waumini (2Wakorintho 6:14-18) Kuamini si lazima muwe katika viwango sawa kiroho, lakini wote...
  11. R

    JamiiForums Tanzania MAOMBI YA MUDA MREFU: Upumbavu wa imani yetu ya kikristo ambao hata mahusiano ya kibinadamu hayakubaliani nayo!

    Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa sisi tusio wa dini ya Kikristo kusheherekea Mwaka Mpya?

    Huu mwaka siyo wetu...ni Mwaka wa Kikafir kabisa. Si kama kwenye Kalenda yetu. Nashangaa naona watu wanatakiana heri na fanaka.
  13. JamiiForums Tanzania Kiongozi mpya wa Syria akutana na viongozi wa Kikristo

    Ni mwanzo mzuri japo mimi kwa kweli sijawahi kuwa na imani na kobaz yeyote, hata akiwa jirani yangu, kuna majini huwa wameingizwa kwenye system zao na hutibuka mara moja ghafla bila kutarajiwa. Huyu kiongozi mpya ambaye ni ni mvaa makobaz, anaonekana kuwa na muelekeo mwema, ila siku akianza...
  14. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwa na kalenda yao, na dunia kuwa na AI kuweza kutengeneza kalenda isiyofugamana na imani hizi kwanini waislam hutumia kalenda ya kikristo?

    Japo haijulikani wala kupewa umuhimu na kila mwanadamu, waislam wana kalenda yao. Waliamua kuwa na kalenda yao wakidukua Ukristo ulioanza kuhesabu tangu alipozaliwa Yesu. Pamoja na yote hayo, kwanini waislam, kisheria, wanatumia kalenda ya Kikristo? Je ni halali kwa mataifa yote kutumia...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa jicho la 3 ndoa za Kikristo ni mzigo kwa waume

    Ule msemo wa kosea kujenga sio kuoa huwa unakumbukwa sana kwenye ndoa yenye changamoto na changamoto hiyo ukute ni ya mwanamke utajuta na kuomba poo. Ukishafunga ndoa ni mkataba, mkataba huo unatenganishwa na kifo na uzinzi tu. Mambo mengine yoote nihayawezi kuvunja ndoa. Ukiwa mume mkeo...
  16. JamiiForums Tanzania Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

    Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk. Swali langu ni kwanini huwezi sikia vikundi vya waasi wa kilokole au waasi wa kikatoliki wakiwa msituni...
  17. JamiiForums Tanzania Hoja na maswali utata kwenye uumbwaji wa mwanadamu katika imani ya Kikristo. Je, wenzetu imani zao zinasemaje?

    Harakari za uumbaji wa mwanadamu kiimani na utata unaojitokeza yapi maswali ya kujiuliza kwa kina. Je nani mwenye majibu yake au nani anaweza kutujibia. Ndugu zangu. A) Uumbwaji wa mwanamke na mwanaume bila udogo, tena wenye usawa ndani yake Tukiangazia kitabu cha mwazo 1: 26-28 tutagundua...
  18. JamiiForums Tanzania Ndoa za Kikristo chali (Zimekufa) Je, Kanisa limekosa msaada?

    Ukweli mchungu, wengi wanaishi na maumivu mioyoni mwao.... chanzo ni malezi...malezi si kumpeleka mtoto shule nzuri tu na kumpatia mahitaji muhimu bali kumfundisha mtoto KUMCHA MUNGU,,, Tizameni upande wa pili kwa watoto wa mama mdogo(watoto wa Hajiri/Hagar)...wao bize na madrasa,,,,unafikiri...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Waislamu mnakatazwa kuhudhuria mazishi ya kikristo?

    Nimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni dhambi au si dhambi,kujipamba miili kwa wanawake wa Kikristo?

    JE!? ni dhambi au si dhambi kwa kujipamba miili kwa wanawake wa Kikristo. yaani kusuka nywele za mkono au mawigi kuvaa mapambo kutoboa sehemu za miili yao na kuvaa hereni na vikukuu kuvaa mavazi ya kiume au yanayoacha wazi sehemu za miili yao,nguo zinazowabana na kuchora maumbile yao au nguo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…