kikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Mageni: Watu wengi wanaamini hakuna ajira Serikalini bila kuwa na ‘connection'

    https://www.youtube.com/watch?v=ECVGyl8jL60 Akizungumza wakati wa mjadala Bungeni kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa Bungeni Mwaka wa Fedha 2022/23, leo Oktoba 31, 2024, Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni amesema imekuwa kawaida kuona Ripoti hiyo...
  2. Bunge la Kumi na Mbili Mkutano wa 17 Kikao cha Tatu, Oktoba 31, 2024

    Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali kwa Waziri Mkuu pamoja na Mawaziri wanatoa majibu, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma. https://www.youtube.com/live/ECVGyl8jL60
  3. Yanayojiri kwenye Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha pili, Oktoba 30, 2024

    Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali na mawaziri wanatoa majibu kwa hoja zinazotolewa. Endelea kuwa nasi tukifuatilia yanayojiri moja kwa moja kutoka viunga vya Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=I0lXFZKm-sE
  4. Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha kwanza, Oktoba 29, 2024

    Kama kawaida, Bunge linaendelea muda huu na ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza na mawaziri wanajibu hoja husika, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=i2OqSWWMSO0
  5. U

    News alert kikao cha baraza la mawaziri Israel hakitafanyika kwenye ofisi ya Waziri Mkuu wala makao makuu ya IDF kwa hofu ya Usalama.

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao cha Baraza la mawaziri Israel hakitofanya kwenye ofisi ya Waziri Mkuu Yerusalemu wala kwenye makao makuu ya IDF Tel Aviv kama ilivyo desturi kwa sababu za Usalama Mawaziri wamearifiwa leo asubuhi kuwa kikao hicho kitafanyika eneo Salama Hawaruhusiwa kuja na...
  6. M

    Kikao hiki ajenda ilikuwa ni nini? Moja ya picha halisi za mkakati

    Hili lilikuwani tukio gani? Walikuwa na mkakati gani na walifanikiwa? Unadhani wote walikuwa pamoja ama wengine walikuwa ni mamluki katika hili tukio? Je, leo hii hawa wanaweza kuitana pamoja kama hivi? Tunaweza kuwatambua wote na pengine kutaja sasa wapo wapi?
  7. U

    Netanyau kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri usiku huu kwenye makao makuu ya jeshi Kirya, maandalizi ya kuishambulia Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Israel imeamua na haipoi Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama)...
  8. U

    Kikao kizito sana kinaendelea muda huu, tuombe sana Mungu atuvushe salama

    Wadau hamjamboni nyote? Kikao kizito sana kinaendelea muda huu. Tuombe Mungu atuvushe salama Wajumbe: Mkuu wa shin bet Ronan Bar Mkuu wa Mossad David Barnea, Waziri wa ulinzi Yoav Galant Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Harzi Halevi Mnadhimu Mkuu Meja Jenerali Roman Gropman
  9. Rais Samia anahitaji kikao na Kikwete kisha Mbowe

    Rais Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete. Picha na Maktaba Januari 24, 2024, Chadema walifanya maandamano makubwa Dar es Salaam. Yalikuwa maandamano ya amani, yaliyoandika rekodi Tanzania. Serikali iliridhia, polisi walishirikiana na viongozi wa...
  10. Tetesi: MAANDAMANO 23/09: Viongozi 23 wa CHADEMA Kata ya Bunju wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani

    John Mrema amesema viongozi 23 wa CHADEMA wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani wakavamiwa na kukamatwa kwa mujibu wa taarifa hiyo.
  11. Shambulio la jana Hezbolah makamanda 16 wote waliokuwa kwenye kikao waliuwawa .

    Waziri wa ulinzi wa Iran anakamilisha swali kuwa jana waliuwawa ni viongozi wakuu wa Hizbbolah waliuwawa ikiwa ni pamoja na kiongozi wao wa kijeshi,huu unamaana walikuwa kwenye kikao cha mwisho cha kujibu mashambulizi makubwa baada ya tamko la kiongozi wao mkuu baada ya simu kulipuka . Hii...
  12. Leo akifufuka Ndugu Ally Mohammed Kibao, atakihama CHADEMA: Mnyika amechagua kikao badala aende akatoe maelezo Polisi ya kiuchunguzi

    Ni hali ambayo si yakawaida kwa hawa ndugu zetu chadema, Juzi hapa walikuwa wakiomba uchunguzi wa kifo Cha ndugu yetu Ally Mohammed Kibao uende haraka na Serikali yetu ikatekeleza Hilo. Cha ajabu leo hii Mnyika anaitwa Polisi ili akatoe maelezo ya kiuchunguzi Polisi anashindwa kwenda kutoa...
  13. J

    Ndugu Mohamed Ali Kawaida kuongoza Kikao cha Baraza Kuu la UVCCM Taifa leo Septemba 17 2024

    NDUGU MOHAMMED ALI KAWAIDA (MCC) KUONGOZA KIKAO CHA BARAZA KUU LA UVCCM TAIFA,17 SEPTEMBA 2024 📍UVCCM TAIFA 17 Septemba,2024 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) anatarajia kuongoza kikao Cha baraza kuu la UVCCM Taifa Leo tarehe 17 Septemba,2024 makao makuu ya...
  14. Bunge la 12 Mkutano wa 16 Kikao cha 9, Septemba 6, 2024

    Kama kawaida, Bunge linaendelea muda huu na ni kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza na mawaziri wanajibu hoja husika, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi kuendelea kulisimamia kwa karibu...
  15. Kikao cha leo kinazungumzia kwanini hujaoa na kwanini huolewi

    KIKAO CHA LEO Kinazungumzia Kwanini Hujaoa Na kwanini Huolewi Kikao Kimeanza Karibu Kwa Maoni✍️
  16. Bunge la 12 Mkutano wa 16 Kikao cha 5, Septemba 2, 2024 Asubuhi

    Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema katika mwaka wa fedha wa 2024/2025 Serikali imetenga shilingi Bilioni 31 ili kuiwezesha Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kushughulikia changamoto zinazoikabili sekta ya kilimo. Amesema fedha hizo zitaiwezesha TARI kufanya ukarabati na ujenzi wa...
  17. Mpya: Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024.
  18. P

    CCM kufanya Kikao cha Kamati Kuu Sep 1, 2024. Wamepata kisingizio cha kukimbia mdahalo wa Makatibu Wakuu Star TV

    Wakuu, Kikao cha Kamati kuu kilichokuwa kifanyike tar 2 Sep kimerudishwa nyuma hadi tar 1, na Nchimbi yuko katika kufanya maandalizi ya kikao hicho. Kazi kwelikweli! === Kada wa CCM asemasema Nchimbi yuko katika maandalizi ya kikao hicho 'muhimu' hivyo wengine wangeendelea kufanya mdahalo...
  19. R

    DODOMA: Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu akusanya RCs, RASs, DCs, RMOs, DMOs na maDED wote nchi nzima. Je, nini kipo nyuma ya hili?

    Je, nini dhima ya Mhe Dkt Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa Ubia nchini PPP kuwakusanya Viongozi hawa waandamizi wa Taifa hili?
  20. Kikao cha Taasisi za Fedha na Waziri wa Madini, Mavunde

    ANTHONY MAVUNDE, WAZIRI WA MADINI, TANZANIA Mwaka jana mwezi Septemba, nilifanya kikao na Taasisi za Fedha na Benki zote nchini chini ya mwamvuli wa Taasisi ya Umoja wa Benki nchini (TBA). Madhumuni ya kikao kile ilikuwa ni kujadiliana kwa pamoja namna nzuri ya kuifikia sekta ya madini kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…