kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kijana ukioa tegemea uchungu huu ndani ya ndoa yako na huyo mkeo hakika na waambieni

    Ndugu zangu salaam Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukizubaa ujanani utajikuta uzeeni unalazimisha kuwa kijana tena

    UKIZUBAA UJANANI UTAJIKUTA UZEENI UNALAZIMISHA KUWA KIJANA TENA😔 Ujana ni hatua pendwa zaidi kuliko hatua zote za makuzi ukiachilia hatua ya utoto ambayo nayi ni pendwa. Ujana ni hatua yenye matukio mengi sana ila pamoja na kashikashi zote ujana ni kiungo muhimu cha uzeeni. Kashikashi za...
  3. JamiiForums Tanzania Mapenzi! mapenzi! mapenzi! Nimetamka mara tatu. Sasa ole wako kijana! kabla hayajakukuta pitia hapa

    Vimiaka vyangu kadhaa katika mapenzi nimekuja na uzoefu ufuatao.. Mosi: Hakuna haki kwenye mapenzi,, the game is too brutal sometimes. 2,, Kuwa single ni level fulani ya uhayawani so avoid being single. 3,, The best friend of yours is your lover so be careful not to pass your only secrets to...
  4. JamiiForums Tanzania kule Kenya,Vijana leo wameanzisha maandamano ya kupinga kutekwa kwa kijana mwezao. Tanzania hii haiwezekani tunataka mtu atuandamanie.

    Tanzania narudia kusema Movement za kiuanaharakati hatuziwezi na tunazania mtu mmoja anaweza fanya kwamba kuna mtu anaweza andamana kwa niaba yetu au anaweza paza sauti na sisi tukakaa kutazama jioni kwenye taatofa za habari. Wakenya wana spirt ya asili ya kupambana na sio kutegemea wakina...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

    Yericko alizaliwa huko Iringa miaka ya 1984 akiwa ni mtoto pacha na mwenzake. Yericko ni miongoni mwa watoto 7 wa mzee MKANA kutoka huko kwao.Kijijini Maduma Iringa! Baada ya kumaliza shule ya msingi huko maduma alijiunga na secondary (jina kapuni) huko mtwara! Baada ya kumaliza secondary na...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kazi kama kijana Mwenye kipaji cha utangazaji

    FURSA YA KAZI (UWE ACTIVE NA YOUTUBE) Anahitajika kijana wa kike au wa kiume kwa kazi ya utangazaji habari za burudani (ajue udaku) online. VIGEZO NA MASHARTI. 1. Umri kuanzia miaka 20 mpaka 30. 2. Awe na smartphone au laptop. 3. Awe na utayari (active) wakati wote wa kazi. 4. Awe tayari...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania hamna vyama vya upinzani , kijana usithubutu ! Ku-sacrifice maisha yako kisa siasa

    Nyote mmejionea kilichotokea leo kuwa siasa ni uongo . So usiandamane , usimwage damu na kutukana MTU kisa siasa.
  8. JamiiForums Tanzania Sisikilizwi hapa kazini mimi ni msimamizi kijana.

    Kiumri wamenizidi ila kielimu nimewazidi karibia wote. nipo katika kiwanda fulani hivi hapa Kanda ya kusini, nimepangiwa kusimamia wafanya usafi lakini kila nikiwakusanya na kuwapa maelekezo wananidharau. Naomba ushauri je hali kama hii naikabili vip, nimeita adi vikao kadhaa lakini mahudhurio...
  9. B

    JamiiForums Tanzania King daz, kijana alieonesha jumba lake la kifahari mtandaoni, source ya pesa zake ni nini haswa?

    Habarini Huyu jamaa nasikia anamiliki king d auto spares, huenda labda anamiliki king d hotel ya sinza Hizi pesa nyingi watu wanazipataje wakuu.🤔mtu mwenyewe haendani na pesa anazomiliki, mtu amevaa suti ila suruali amepiga mlege😁 Lugumi muonekano wake unaendana na pesa anazomiliki ila sio...
  10. JamiiForums Tanzania Mjue Benson Kigaila - kijana mtiifu wa Mbowe

    Anaitwa Benson Kigaila. Cheo chake Naibu Katibu Mkuu Bara - CHADEMA. Hajawai kuchaguliwa wala kupigiwa kura ila ameongoza miaka mingi CHADEMA. Mke wake yupo bungeni ni mmoja wa wale COVID-19. Ameshasema yeye sio muumini wa ukomo wa uongozi ikiwezekana hata Rais wa nchi asiwekewe ukomo wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kijana wenu anahitaji muongozo

    Wataalamu wa mambo toeni mwongozo
  12. JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 20 natafuta ajira au kazi

    Naitwa Yusuph , umri miaka 20 natafuta Ajira au kazi yoyote ile ya halali. Elimu yangu kidato cha nne. Aina ya kazi , naweza kufanya Kazi mbali mbali , zakutumia akili pamoja na nguvu Napatikana DSM wilaya ya TEMEKE Mawasiliano +255696993834
  13. JamiiForums Tanzania Msanii Willy Paul ameonesha umma kuwa ni jinsi gani ni kijana wa ovyo

    Taharuki iliyotokea Kenya haina mashiko zaidi ya ujinga Diamond Platnumz ni msanii mkubwa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wala haina haja ya kubisha kufanya hivyo ni kukumbatia ubishi Anaempa binadamu ukubwa ni Muumba na huwezi kulazimisha kuthaminika ikiwa watu hawakuthamini Huyu...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana wezangu nipeni elimu kijana wenu

    Wakuu, naomba kuuliza: Je, kuna madhara yoyote yanayoweza kutokea unapokula mfululizo karanga mbichi, mbegu za maboga, muhogo mbichi, na vyakula vinavyosadikika kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanaume, lakini hushiriki kabisa tendo la ndoa kwa muda mrefu, ila unakula tu kujiimarisha na kujiweka sawa?
  15. JamiiForums Tanzania Mambo ya Mapenzi ambayo nimejifunza late katika maisha ambayo kijana wa sasa unatakiwa ujifunze mapema

    Moja,mtongoze mwanamke lakini usimuonyeshe bila yeye huwezi pata mwanamke mwingine,kadri utakavyo zidi kumfuatilia sana basi tambua ndio jinsi atakavyo kaa mbali na wewe na kukusumbua sana Mbili,hata umpe mwanamke wako hela nyingi kiasi gani,au uisugue mbususu kiasi gani au usimamie kucha kiasi...
  16. JamiiForums Tanzania Anatafutwa Kijana anaeweza kumpa Mwanamke Love Bite

    Jamaani Nani ni kamanda wa kutoa love bite kwa wanawake? Kuna mtu anauliza love bite ni nini? Inapatikanaje? Unaitwa wewe mtaalamu
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kulima

    Habari Natafuta man power ( kijana) wa kulima bustani za mboga mboga. Eneo la kazi ni Kimara mwisho , dar es salaam 0616274277
  18. JamiiForums Tanzania Kijana maskini unataka nyota yako ing'ae kisiasa na wakubwa wakuchague. Hivi ndivyo utakavyofanya

    KIJANA MASKINI UNATAKA NYOTA YAKO ING'AE KISIASA NA WAKUBWA WAKUCHAGUE. HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna vijana maelfu kwa maelfu wapo kwenye siasa miaka na Miaka lakini hawatambuliki, hawajulikani, hawaonekani na zaidi wanaishia kuwa vibaraka vya wakubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kijana ambaye unaingia kwenye mahusiano zingatia hili

    Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa, Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA" Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu Ndio maana we choose to marry mid girls with respect, hawa classy ladies tunatumia kama Path. Manzi akikuheshimu...
  20. JamiiForums Tanzania Yaani kijana miaka 39 unamiliki gorofa Kariakoo kweli jamani hii ni haki sisi wazee tupo tu

    Kweli nimeamini umri sio kitu chochote cha maana katika maisha yaani hapa nimeona wamiliki wa lile gorofa Kariakoo aisee mmoja tu ndio mkubwa nimemzidi miaka 15 wengine ni vijana wadogo kabisa aiseee Yaani miaka midogo hivi unamiliki nyumba kko daaah aya maisha ayako fear kabisa nimelia sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…