kijana wa kiume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini kijana wa kiume ukisema kuna hela naisikilizia huaminiki?

    Salaam! Hivi kwanini wakuu watu siku hizi ukiwaambia kuna hela nasikilizia hapa au kuna mishe naisikilizia hapa wanaona kama kijana analeta janja janja 😅😅😅 Tena ukitaka uachane na demu akuombe pesa afu umjibu kuna mishe nasikilizia hapa itiki ✅ ✔ yaani ile ikitiki nitakusanua, huyo demu lazima...
  2. Kijana wa Kiume Unaejua kutumia Computer vizuri unahitajika

    Sifa Ujue kutumia computer vizuri Ujue kupiga window na kugundua tatizo computer inapo misbehave Ujue kusolve matatizo yatakayojitokeza endapo computer italeta mushkeli Uwe na wadhamini Majukumu Kuingiza Movie na Nyimbo kwa Wateja Mshahara 250,000 (kwa mwezi) OFISI ilipo Dar es salaam -...
  3. Kozi gani kijana wa kiume asomee VETA?

    Wakuu, nina mdogo angu age 18 kamaliza four mwaka huu, bila shaka hatoweza pata maksi za kwendelea. Sasa ni kozi gani ambayo itamsaidia mbeleni uko hata kwa kujiajiri. Ya kwanza napendekeza udereva, ila ningetaka kujua na nyingine ambayo haitopitwa na wakati maana maendeleo haya ya sayansi...
  4. Kijana wa kiume usitumie nguvu nyingi katika kumtongoza mwanamke ambaye huna malengo naye na wala haeleweki ukiamini utambadilisha

    Usitumie nguvu kubwa sana katika kumtongoza mwanamke, unaweza ukamkosa ukapoteza mda wako. Ila unaweza ukampata ukapoteza mda na pesa zako. Usimtongoze mwanamke kwa mategemeo ya kumbadilisha ni kweli wapo wanawake ambao wanabadilishika ila kama mwanaume usifanye hiyo kazi utapoteza mda wako...
  5. Hivi nikimtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa hereni awe mke wangu nitakuwa nimetenda kosa?

    Hi! Sasa wanaume tumebaki wachache. Hivi kuna ulazima gani mwanaume kufanya au kuishi kwa mitindo ya kike? Mwanaume anasuka Mwanaume anavaa hereni Mwanaume anavaa suruali kama tight ya mwanamke Mwanaume anavaa pensi fupi . Mimi sasa nimepanga kumtongoza kijana wa kiume anayesuka au anayevaa...
  6. Ewe kijana wa kiume unapata wapi tabia na ujasiri wa kulala na mama yako mzazi?

    Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Sasa nina amini kwamba dunia imefika tamati. Hapa mtaani kuna jamaa mmoja umri unakadirika kati ya 34 - 39 hivi. Ameoa na kufanikiwa kubahatika kupata watoto 3 wote wakiwa wadogo Shule ya Msingi. Lakini kitu kilichonishangaza zaidi pamoja na kwamba jamaa...
  7. Natafuta binti na kijana wa kiume tusaidiane kazi za Mgahawa

    UPDATE:- Asanteni Nyoote mlio onesha Nia na kuni connect na ndugu zenu. Bado nafanya maongezi, naimani waliojitokeza tukawasiliana wanatosha, kwa Sasa. Shukran Sana.
  8. Naomba wazo la biashara /kilimo mtaji 400,000/=

    Mimi ni kijana wa kiume (25) nipo Dodoma nahitaji kufanya biashara, nina mtaji wa shilingi laki Tano tu 500,000. Je, nifanye biashara gani itakayonipatia faida na kukuza kipato changu? Nina ujuzi wa kompyuta na ualimu tu. Mawazo yenu wakuu. Asanteni. ======= Nyuzi unazoshauriwa kusoma: 1...
  9. Vijana wa Kiume badilikeni

    Habari za jumapili wana Jamii Forum Leo naomba nizungumze kidogo na hawa wenzetu upande wa Kiume mana miaka ijayo kuna hatari ya kupoteza nguvu kazi Siku izi ni kawaida kabisa kukuta mdada anauza matunda, anatembeza mtumba, anachoma mandazi ubuyu na juice na mengine mengi ya kuingiza kipato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…