kijana mdogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kijana mdogo mtoto yule atanijibu nini?

    Àmekadharau kweli!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ccm na mamayao kuzomewa kila kona hadi na Dr. Ndlozi wa Africa Kusaini kijana mdogo wa Julius Malema inatoa picha gani.

    Kwa mtazamo wangu Samia na genge lake la watekaji,wauwaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta nimegundua kuwa ccm ni genge ambalo limefikia damu ya kunguni kiasi kwamba hakuna mtu anayetaka kusogelewa nalo hadi Dr. Ndlozi amewaonya SADEC kutomruhusu Samia kukaa naye kama mkuu wa Nchi kwasababu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo panapo majaliwa ya Mungu, tuungane kumpazia sauti kijana Isa Musini Rashidi aliyetumika kama chambo na kutupwa jela miaka 30 kwa mirungi

    Kama ulitumia mitandao ya kijamii siku ya jana basi kuna asilimia kubwa ulikutana na post hii ambayo iliibua hisia kwenye comment sections, panapo majaliwa sote tuungane kumpazia sauti kijana. · Kijana Mdogo Kama Huyu unamtwanga mvua ya ,iaka 30 jela nini hiki kama sio kumuua ? Bado ni kijana...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji kijana Mdogo wa miaka 18 katika kazi kama dukani n.k naomba tuwasiliane.

    Habari wakuu . Yupo Kijana Ana hizi sifa Miaka 18 Elimu form four Ila hakufaulu. Uzoefu wa kazi Kazi za kusimamia Nyumba na shughuli za bustani. Kuuza dukani Kuhusu mdhamini yupo mama yake anamdhamini . Kijana anatokea singinda ni Kijana wa kujituma Sana. Waweza piga namba hii...
  5. JamiiForums Tanzania Hawa China ambao raia wake wanahangaika na Maisha ndo mlikuwa mnawahita Super Power?

    Nchi ambayo inajiita Super Power inakuaje na Raia ambao wana maisha magumu Maana sio rahisi umkute raia wa marekani akija Africa na kufungua Madube na kisha kujiita mwekezaji.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta kijana mdogo anafanya uwekezaji wa kibabe bila makelele wala show offs

  7. JamiiForums Tanzania Mjue Shafineyz, kijana mdogo anayemiliki kampuni ya mabasi

    Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha. Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki...
  8. JamiiForums Tanzania Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

    Nipende kuwa tu muwazi, unless kuna faida za kiuchumi unazozipata, kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kujipunja na kuidhulumu nafsi yako. Niulize kwanini? Kikubwa unachotakiwa kujua ni kuwa wanawake hua wanaanza mambo ya mapenzi mapema sana. Kwa kawaida mabinti huanza "mchezo mchafu" wakiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna kijana mdogo kaniuliza hili swali nikashindwa kabisa kulijibu

    Naomba msaada wenu wana JF Huyu kijana sijui hili swali kilitoa wapi, ameniuliza mwalimu aliingia darasani akasema "Kama jana ingekuwa kesho, basi leo ingekuwa ni Jumamosi" Mwalimu alizungumza maneno haya siku gani? Mwenye majibu ya swali hili fikirishi tafadhali ashuke chini hapo, nisije...
  10. JamiiForums Tanzania Kijana, fanya mambo hayo muhimu kuilinda afya yako

    Hii imetoka kwa mdau mmoja huko jukwaa la afya... Sawa wakuu hakuna kitakachobaki wote tutakufa.. ila zingatia haya kama kijana mwenzangu ambaye ni hustler Ile kauli ya kusema magonjwa fulani ya wazee achana nayo.. ila kuna mambo unafanya wewe mwenyewe ambayo ina take long time ku show sign...
  11. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuonekana kijana kuwa na mtindo mzuri wa maisha

    Kwema Wakuu! Nipo kwenye kumi la tatu. Lakini Watu wengi wanapokutana na mimi hushindwa kukadiria umri wangu na wengi huniona nina umri mdogo. Yaani huniona kama nipo chuo hivi au nimezaliwa miaka ya 2000 jambo ambalo sio kweli. Nimeandika hivi kwa wale ambao wanataka miili yao isichoke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…