kijamii

Chama Cha Kijamii (CCK) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    GE2025 Netblocks: Mitandao ya kijamii bado Inakabiliwa na vikwazo licha ya Intaneti kurejeshwa Tanzania

    Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
  2. Car4Sale 2022 Toyota Hilux iko sokoni kwa bei ya kijamii

    N E W A R R I V A L Bei/Price TSH 135M Call +255 747 999 927 TOYOTA HILUX Year: 2022 Engine: 2.4L Mileage: 62K Fuel Used: DIESEL Transmission: AUTO Fog Lights Back Camera Push To Start 100% Duty Paid Free Registration Swap Deals Allowed
  3. Wamekataa kuzima mitandao ya kijamii

    Wahuni wa CCM wamekataa kuzima mitandao ya kijamii eti wanadai na wao wanapata taarifa za waandamanaji kwenye hii mitandao ila wanapima upepo mpaka baadaye usiku kama hali itakuwa ngumu na watakuwa wameanza basi watazima mtandao ili kusiwe na mawasiliano kabisa. chukua hiyo kijana mwenzangu
  4. GE2025 Kasesela: Tusiamini kila tunaloliona kwenye mitandao ya kijamii, Msihangaike na MALOFA

    Mjumbe wa halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa ndugu Richard Kasesela, Amewataka watanzania kukuza ufahamu na kuacha kuamini kila wanachokisikia na kukiona kwenye mitandao ya kijamii bila kufanyia utafiti Amesema hayo Leo Oktoba 8, 2025 wakati wa mkutano wa kumnadi mgombea udiwani...
  5. DOKEZO Walipanga auawe tarehe 12/10/2025 na waendelee kushikilia account zake za kijamii, Ila account familia imezi-rescue

    Baada ya kumteka wanahangaika kudukua accounts zake za mitandao ya kijamii kwa kutumia device zao kwa kusaidiwa na wachina (tunawajua hao wachina na tutawaripoti wanyongwe na serikali yao na wakiona hii post waache mara moja) wamepanga wakisha hack wamuue wamtupe kwenye tindikali then...
  6. Tetesi: Mitandao ya kijamii kuzimwa siku 5 kabla ya uchaguzi

    Nemepenyezewa taarifa na mtu mkubwa ndani ya tcra kwamba wamepewa maagizo kutoka jumba kuu kuzima mitandao tarehe 25/ 10 na kuiwasha tarehe 5/11 ili uchafuzi uweze kufanyika physically. Lakini pia kanidokeza kwamba vyombo vya ulinzi na usalama wamekataa maagizo hayo kwa kusema yatakuwa na...
  7. GE2025 Faris Buruhani: Maandamano ya Oktoba 29 yaishie Mitandaoni, Bukoba UVCCM hatutawaachia Polisi, tutashughulika nao

    Huyu Faris amerudia kauli zake za vitisho baada ya kusema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie amerudia tena kwa Watu waliopanga kuandamana Oktoba 29 = Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, amewasihi na kuendelea kuwaomba wananchi wa mkoa wa Kagera kujitokeza kwa wingi...
  8. Ulimbukeni wa Mitandao: Mama Amina na Tafakuri ya Kijamii

    Mitandao ya kijamii imekuwa chombo kikuu cha mawasiliano, burudani na hata ajira duniani kote. Hata hivyo, kwa Afrika hususani Tanzania, mitandao hiyo mara nyingi inageuzwa uwanja wa vituko badala ya majukwaa ya kujifunza na kujenga jamii. Katika siku za hivi karibuni kuna binti anayejulikana...
  9. Majangili na Maharamia na hofu dhidi mitandao ya kijamii

    Kundi la maharamia na majangili limekua na hofu dhidi mitandao ya kijamii ili kuficha uovu mwingi inaotenda ikiwemo wizi wa rasilimali za taifa , utekaji na mauaji dhidi raia na ukandamizaji wa haki za Wazalendo..Maponjoro ndio vinara wa wizi na ukwepaji kodi kwa ushirikiano na watendaji waovu.
  10. Polepole: Kuna kikundi kinamilikiwa na mtoto wa Rais ambao ofisi zao zipo kwa ajili ya mitandao ya kijamii

    Ili suala tulishwahi kusema hapa ila linafichwa sana. Jana mweshimiwa Polepole alitaja kuhusu mitandao ya kijamii watu wameajiliwa wakiwa na ID nyingi kila mtandao wakiendeleza ajenda zao. Moja yao wapo hapa JF. Yani utasahangaa UZi umeanzishwa halafu sekunde wanakuja kujibu kuunga hoja wakina...
  11. W

    GE2025 Kurasa za mitandao ya kijamii za serikali, kuchapisha maudhui ya kampeni kwa mgombea mmoja ni sahihi?

    Tarehe 29.08.2025, Ukurasa rasmi wa Ikulu Mawasiliano ulichapicha taarifa zenye kichwa kisemacho "Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Ngerengere kwa ajili ya kuzungumza na wananchi...
  12. Utalii, Mitandao ya Kijamii na Hatima ya Utamaduni wa Wahadzabe

    Wahadzabe wamekuwa na mfumo wa maisha unaoheshimika duniani, wakihusishwa na uwindaji wa asili, maarifa ya mimea tiba na mfumo wa kijamii usio na mpangilio wa tabaka. Lakini mabadiliko ya karne hii yameingia kwa kasi isiyozuilika. Wageni na makampuni ya utalii wamevamia makazi yao kwa lengo la...
  13. Hii ni aina gani ya laana inayomuandama na kumtesa Tundu Lissu kisiasa, kiuchumi na kijamii?

    Maana, kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi, Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua...
  14. Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager)

    Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager) Nitakuwa naweka maudhui ya picha na video pia nitakuwa najibu maswali ya wateja, n.k. Nina ujuzi wa IT (Information Technology), graphics design na masoko ya mtandaoni Mawasiliano: 0756704145 Napatikana Mkoa wa Dar es...
  15. Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii (social media manager) na kazi za IT

    Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii (social media manager) na kazi za IT kwa ujumla. Gharama za kusimamia akaunti zote ni 400,000 Tsh kwa mwezi mmoja. Napatikana Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  16. Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla

    Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii za makampuni, maduka na biashara kwa ujumla, Nina ujuzi wa IT (Information Technology) kama website hosting, development na management, graphics design, video editing, na ujuzi mwingine wa IT. Gharama ya usimamizi wa akaunti nafanya laki 200,000 Tsh kwa...
  17. Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager)

    Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager) ambapo nitakuwa naweka maudhui ya picha na video mtandaoni, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Gharama yake ni 150,000 Tsh kwa mwezi mmoja. Napatikana: Dar es salaam. Mawasiliano: 0756704145
  18. Natoa offa bure ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii (wiki 2)

    Natoa offa bure ya usimamizi wa Mitandao ya kijamii ndani ya wiki 2 , mitandao ni mitatu Facebook, Instagram na TikTok.... Offa hii nitakutengenezea video(1) ukihitaji ya bidhaa au huduma na poster(1) ya bidhaa au huduma yako na kujibu maswali ya wateja Kwenye ukurasa wako...... Huduma hii ya...
  19. Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager)

    Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh. Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  20. Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii

    Je unahitaji msimamizi wa mitandao ya kijamii nitakuwa naweka posti za bidhaaa zako, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Malipo kwa mwezi ni 150,000 Tsh. Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…