kigoma

Kigoma is a town and lake port in north western Tanzania, on the north eastern shores of Lake Tanganyika and close to the border with Burundi and The Democratic Republic of the Congo. It serves as the capital for the surrounding Kigoma Region and has a population of 135,234 (2007 census) and an elevation of 775 m.
The historic trading town of Ujiji is 6 km south-east of Kigoma.

View More On Wikipedia.org
  1. Baba Levo: Nitamtafuta Zitto kuna mambo mazuri anayo kwa maendeleo ya Kigoma Mjini

    Mbunge mteule wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus (Baba Levo), amesema kuwa alitumia kila aina ya mbinu ili kushinda uchaguzi kutokana na nguvu na uzoefu aliokuwa nao mpinzani wake Zitto Kabwe katika jimbo hilo. Mbubge huyo Mteule ameyazungumza hayo jijini Dodoma, ambapo ameeleza kuwa ushindi...
  2. H

    GE2025 Jimbo la Kigoma mjini limeenda kwa B.Levo imekuwaje msomi kashindwa?

    Ukweli humuweka mtu huru haya wale wasiyojua siasa na wenye mihemko ya kisiasa yako wapi msomi wenu kashindwa na amekubali kushindwa. Uongozi siyo elimu bali kipawa kutoka kwa mwenyezi Mungu ndiyo maana bado kuna watu wanawaheshimu wazee ktk maamuzi kuliko WASOMI. JIFUNZENI NA BADILIKENI...
  3. M

    GE2025 Aibu kwa Zitto: Tume yamtangaza BabaLevo kuwa Mshindi Kigoma Mjini

    Hii ni aibu ya karne kwa kaka yetu Zitto
  4. POTOSHI Kigoma waweka bango la 'Oktoba tunatiki kwa mama'

  5. GE2025 Zitto: Kama Wamasai hawasumbuliwi Uraia kwanini Watu wa Kigoma wasumbuliwe Uraia?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema moja ya ahadi zake ni kitetea Watu wa Kigoma ambao wamekuwa wakipata usumbufu katika suala la Uraia wao. Zitto ambaye ni Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo amesema hayo Jumapili Oktoba 12, 2025...
  6. GE2025 Zitto Kabwe anafanya Mkutano Mkubwa Kigoma, leo Oktoba 12, 2025, asema "Mimi ni Zitto yuleyule"

    Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumapili Oktoba 12, 2025 anafanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni katika Uwanja wa Community Center. https://www.youtube.com/live/FfJn75bEH7Y?si=XT0o3ke-vz7q0bIs...
  7. GE2025 Zitto Kabwe: Wasemaji wa Kigoma wakiwa wengi, Bungeni mimi nitapanda juu

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametoa wito kwa wananchi wa jimbo la Buhigwe kumchagu Mgombea ubunge wa jimbo hilo Frank Ruhasha ili mkoa wa Kigoma uwe na wabunge wengi jambo ambalo anaamini litamfanya kuacha kuwaza ubunge badala yake afikirie kugombea Urais mbeleni...
  8. GE2025 Familia ya Katibu wa ACT Wazalendo, Kigoma yadai kuvamiwa usiku. TAKUKURU yasema ilikuwa ni upekuzi kwa tuhuma ya rushwa

    Familia ya Katibu wa Chama cha ACT Wazalendo mkoa wa Kigoma ambaye pia ni mgombea udiwani wa kata ya Kibirizi, Yunus Ruhomvya, imedai kuvamiwa na watu wanaodaiwa kuwa askari polisi usiku wa kuamkia Oktoba 9, 2025, katika makazi yao yaliyopo eneo la Kibirizi mkoani Kigoma. Kwa mujibu wa mke wa...
  9. W

    GE2025 Kigoma: Zitto aahidi kuwapambania waliovunjiwa nyumba zao mwaka 2023, mtaa wa Machinjioni walipwe fidia

    Zitto kupitia ukurasa wake wa X anaandika; "Katika mazungumzo yangu na wakazi wa Kata ya Machinjioni nilielezwa dhahma iliyowakuta tarehe 17/01/2023 ambapo walivunjiwa nyumba zao kupisha eneo la uwekezaji la KISEZ. Kwa uchungu mkubwa wananchi walinieleza namna wamefukarishwa na Serikali ya CCM...
  10. GE2025 Kigoma Mjini hongereni kwa kumpata ZZK

    Tunawashukuru wote kwa ushiriki wa mchakato. Hakika mnastahili
  11. GE2025 Baba Levo asante kwa kushiriki. Kigoma mjini ni ya Zitto

    Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila alipofika Kigoma kauli yake ilibadilika. Kwamba wanakigoma wataamua. Huo ni ujumbe kwako Chipando kuwa...
  12. GE2025 Kigoma: Kwa jinsi Zitto anavyojinadi jukwaani ni dhahiri anashinda Ubunge. Comedian wa CCM anapayuka hovyo.

    Naona sasa Zitto taa ya kijani imewaka. Comedian anapayula hovyo. Zitto anamwaga madini.
  13. Nina safari ya Dar kwenda Kigoma. Madereva nipeni uzoefu!

    Wakuu. Ijumaa nina iyo safari kutoka Dar kwenda Moro, ambako nitafanya kazi flani kama masaa 6-8 katika ofisi ya serikali kwahiyo lazima uwe muda wa kazi, then nitatakiwa kwenda Kigoma, by jumatatu niwepo hapo kuna issue, then back Dar. Google Maps ananiambia nina kilometa 2,500 kwenda...
  14. GE2025 Baba Levo: Kazi ya kwanza kufanya Kigoma Mjini ni kufuta barabara za vumbi, yasipotokea mnifukuze kama mbwa

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando, maarufu kama Baba Levo amesema Moja ya ahadi zake kuu ni kufuta barabara za vumbi na kuboresha mazingira ya jimbo lake huku akisema anayoyaongea yasipotokea afukuzwe kama mbwa.
  15. GE2025 Shuhudia nyomi linalomsindikiza Zitto Kabwe kwenye mkutano wa kuzindua Kampeni za Uchaguzi Kigoma

    https://www.youtube.com/watch?v=vjOkard2ik0 Mwanasiasa mkongwe Zitto Z. Kabwe ameanza mchakato wa kampeni za kuwania Ubunge, leo Jumamosi tarehe 6 mwezi wa 9, 2025 anazindua kampeni Mkoani Kigoma.
  16. GE2025 Mbio za Ubunge Kigoma Kusini 2025

    Safari ya Ubunge Jimbo la Kigoma Kusini 2025. Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wananchi wa Kigoma Kusini kupitia chama chetu cha ACT-Wazalendo kwa safari tuliyoitembea pamoja tangu mwaka 2020 baada ya uchaguzi Mkuu. Tumekuwa bega kwa bega katika kujenga chama...
  17. Mradi wa majiko banifu watambulishwa Kigoma

    MRADI WA MAJIKO BANIFU WATAMBULISHWA KIGOMA 📌 Majiko banifu 8,424 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoani Kigoma 📌 Wilaya Sita kunufaika na mradi 📌 Kila Wilaya kupata majiko 1,404 📍 KIGOMA Wakazi wa Kigoma waaswa kuunga mkono jitihada za Serikali katika utunzaji wa mazingira kwa...
  18. M

    Watu wa Kigoma niwaelewa sidhani kama watachagua huyu comedian wa CCM na kumuacha Zitto Kabwe

    Yaani wapeleke bungeni commediana na chawa kama huyu Alafu waache msomi kama Zitto Haiwezekani japokuwa ana mapungufu.
  19. H

    GE2025 Babalevo ni Traore wa Kigoma mjini asipuuzwe, uongozi siyo elimu!!

    Walikuja wasomi kina Dkt Kaburu walifanya nini cha maana? Wabunge wasomi wangekuwa wa maana kungekuwa na ufisadi kila leo? Kujua kuongea kiingereza ndiyo kipimo cha elimu kwa waTanzania walio wengi na ingekuwa hivyo basi nchini uingereza wote wangekuwa wabunge
  20. Jimbo la Kigoma mjini na Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo)

    Baada ya kuona Baba Levo ameteuliwa kuipeperusha bendera ya chama cha Mapinduzi kulitetea jimbo la Kigoma Mjini, hili limenifanya niamini kwa 100% kuwa kuna majimbo yameandaliwa kwa ajili ya ACT Wazalendo na CHAUMMA. Kwa akili ya kawaida sioni ni nini CCM wamekilenga kwa Baba Levo zaidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…