kigogo

Kigogo is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 37,964.

View More On Wikipedia.org
  1. Dogoli kinyamkela

    Nawakumbusha leo kuna kigogo ataondoka na kijiji

    Wazeee WA betting Nawakumbusha leo kuna kigogo ataondoka na kijiji
  2. sanalii

    Kigogo wa X (Twitter) ni kielelezo tosha kuwa walikuwa wakimhujumu Hayati Magufuli, sasa wako pamoja na Samia

    Huyu bwana alikua akitoa siri nzito nzito za serikali, watu tulidhan ni mpenda haki, lakini kumbe ni kikundi cha wahuni kilichokatiwa mirija yao ya ulaji. Baada ya Magufuli kufariki, akawa rasmi mpiga kampeni na mapambio wa Samia, hakuna tena kutoa siri za serikali wala kutetea wananchi...
  3. B-2 STEALTH BOMBER

    Ukute pole pole ndiye kigogo 2014. Nimewaza tu

    Wakuu leo nimewaza tu. Ukute kigogo ni huyu pole pole. Uzi tayari oktoba tunatoka No reforms no election kataa wahuni
  4. Tajiri wa kinyankole

    Tetesi: Kuna taarifa kuwa mfadhili mkuu wa kigogo2014 kwasasa kigogo media katika mtabdao wa x zamani tweeter ni yule mwandamizi wa kundi lile la mtandao.

    Hao watu wamejipanga siku nyingi kuandaa media mbalimbali endapo tu wanapoguswa maslahi yao hushambulia watu kwa kuwapa kashifa mbalimbali. Kwa sasa media hii iliyopo huko x zamani tweeter kazi yake kubwa ni kusifia serikali na yeyote anayeonekana yupo kinyume na serikali hushambuliwa kwa matusi...
  5. K

    GE2025 Kuna Kigogo anatajwa kuvuruga uteuzi wa Wabunge Jimbo la Ulanga

    Mjumbe wa Kamati Kuu (MCC) (kwa sasa jina linawekwa kapuni) anatajwa kuvuruga mchakato wa uteuzi wa wagombea Ubunge wa Jimbo la Ulanga, Morogoro. Taarifa ndani ya CCM Mkoani Morogoro, zinaeleza kuwa Kigogo huyo ambaye ni mfanyabiashara maarufu nchini, aliteuliwa kusimamia vikao vya mchujo...
  6. H

    Polepole: Kigogo aliyetaka kumshauri wa Rais amenyimwa nafasi ya kukutana na Rais

    Polepole amesema kuwa amekutana na mshauri mmoja ambaye anampenda sana Rais Samia, na kwamba wakati wote wa majadiliano yake, yeye Polepole alipotaka kuzielekeza lawama zake kwa Samia, huyo mshauri alikataa kabisa na kusema kuwa Rais Samia ni mtu mzuri sana ila kuna watu waovu ndio...
  7. M

    Kigongo Busisi zilivuka Tani 1,600 tu kwa siku leo ni Tani 180,000 na watu 12,000 wanavuka. Tulitumia saa 3 -4 kuvuka leo ni dakika 3 - 4 tu

    Hii ni baada ya Rais Samia kutoa TZS716.33bn kujenga hili daraja la Kigongo Busisi Rais alirithi Daraja hili likiwa na asilimia 25 za utekelezaji wake, daraja hili lina urefu wa kilometa 3.2  kwa juu ya Ziwa Victoria, na njia za uunganisho za 1.66 km, ikijumuisha barabara pana ya reli ya T4...
  8. Dennis Robert Shughuru

    Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

    Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100 Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper Madeveloper watajenga...
  9. I

    Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

    Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha. Haikueleweka kipindi kile kama mbunge wa kuteuliwa anaweza kuvuliwa...
  10. Mto wa mbu

    Heche kuna kigogo ndani ya CCM aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili wa ubunge.

    Ndani ya CCM Kuna mambo ya kutisha. Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms. Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku ya usahili aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili. Lakini pia amebainisha ya kwamba Majaliwa...
  11. GENTAMYCINE

    Kigogo Kigogo kwa hili ulilosema siongezi neno lolote, kwani umemaliza kila kitu na ndiyo Watanzania tunadharaulika mno na Majirani na Duniani pia

    Taifa ambalo redioni ahsubuhi wanajadili michezo.Mchana hadi jua linapo zama wanarudi kwenye michezo,usiku wanajadili ngono hadi pakuche.hakuna vipindi vya taaluma ujasiriamali,Kilimo,Midahalo. Hilo ni Taifa ambalo lipo kaburini kitambo...! (Kigogo Kigogo) Na kutokana na hii Aibu ndiyo maana...
  12. Common Folk

    Angalizo Maalumu kutoka kwa Kigogo kwenda CCM

    ANGALIZO MAHSUSI: Kinachoendelea huko instagram na Facebook na TikTok kama wahusika watadharau na kuchukulia poa basi hawako sawa kiakili!.. Serikali hii ilikuwa so dear to wananchi na wakiipenda sana toka siku ya kwanza!. Swali ni kuwa imekuwaje imefika hapa? Nini kimetokea tena kwa muda...
  13. S

    Kama kigogo wa juu wa chombo cha dola, bank statement yake inaanikwa hadharani huku ikionyesha miamala inayofanya watu wahoji; je, nini kinaendelea?

    Kuna kigogo mmoja ambae ni top boss wa chombo cha dola, bank statement yake imevujishwa na kusambazwa mitandaoni huku ikionyesha miamala mikubwa ambayo inaacha maswali ukizingatia yeye ni mtumishi/mwajiriwa wa serikali. Mimi namshauri atoke hadharani na ajibu madai hayo na kama ana biashara...
  14. M

    Chumba master kinapatikana Pugu Kigogo fresh

    Vyumba ni vikubwa, ni chumba na sebule choo ndani na kibaraza nje pia kuna choo cha nje. Kodi 80,000/= Hakuna dalali 0684223374
  15. upupu255

    PreGE2025 POTOSHI Kigogo avujisha video ya wizi wa kura ulivyokuwa ukifanyika 2020

    Kigogo anadai video hii inaonesha jinsi afisa wa uchaguzi walivyokuwa wakichagua viongozi katika vituo vya kupigia kura huku ulinzi ukiendelea nje kwa lengo la kuhakikisha hakuna Mwananchi atakayeshuhudia
  16. S

    Sakata la Mechi ya YangaSc vs Simba, Kigogo Mmoja abwaga Manyanga bodi ya ligi kuu

    BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi. Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja...
  17. Lord Denning

    CCM msaidieni chawa wa Samia Kigogo 2014 aelewe Sheria za Nchi na aache kupost asivyovielewa huko X

    Baada ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndug John Heche kueleza jana kuwa CHADEMA wanaenda kuweka ushahidi na kuuelezea Umma namna taifa hili linavyoibiwa kupitia miradi mbalimbali ikiwemo tenda za ununuzi za mradi wa SGR, chawa wa Samia na CCM amejitokeza kumtisha Heche eti atakamatwa na...
  18. Just Pray

    Waziri Ndejembi atoa siku mbili kuvunjwa ukuta kigogo kutokana na kukosekana nyaraka halali za umiliki

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameipa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni siku mbili kuvunja ukuta wa kiwanja namba P18618, eneo la Kigogo, baada ya mmiliki wake kushindwa kuwasilisha nyaraka za uhalali wa umiliki. Akizungumza na wananchi leo...
  19. Manka R

    APARTMENT FOR RENT 300K PUGU KIGOGO - NO DALALI FEES

    FEATURES....... VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER SEBULE, JIKO PUBLIC TOILET NDANI YA FENSI PAVING BLOCKS NYUMBA MPYA INAJITEGEMEA UMEME, MAJI.... Inbox pls only serious buyer
  20. Waufukweni

    Gari lagonga treni Kigogo Fresh, Dar

    Gari dogo la abiria limegonga treni ya abiria katika eneo la Kigogo Fresh, wilayani Ilala, Dar es Salaam, leo asubuhi, Desemba 18, 2024. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (Tazara), Conrad Simuchale, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo. Video iliyosambaa...
Back
Top Bottom