Habari ya wakati huu wadau.
Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni , haswa eneo la Mjimwema au Gezaulole .
Sifa : Nyumba iwe na master bedroom, Sebule na Jiko, isiwe mbali na barabara, Umeme na Maji viwepo.
Kwa mwenye kuweza kunifanikishia hitaji hilo tafadhali naomba tuwasiliane.
Natanguliza...