kifo cha magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Revocatus James Ngoja

    Ukweli unaoogopwa: Miaka 5 Baada ya Kifo cha John Pombe Magufuli je, Taifa Linajidanganya?

    UKWELI UNAOOGOPWA: Miaka 5 Baada ya Kifo cha John Pombe Magufuli je, Taifa Linajidanganya? Sehemu ya 2 na Mwisho. Kuna ukweli ambao wengi wanauogopa,na kuna ukimya ambao umejengwa kwa makusudi. Jana nliandika Makala niliyoipa kichwa "Kati ya Ukweli na Ukimya, Miaka Mitano tangu kifo cha John...
  2. Waufukweni

    KUMBUKIZI | Magufuli: Siku moja mtanikumbuka, na mimi najua mtanikumbuka kwa MAZURI si kwa MABAYA

    Leo, Machi 17, 2025, imetimia miaka 5 tangu kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Vipi Mdau, unamkumbuka Hayati Magufuli kwa lipi? Maneno mazito ya Hayati Magufuli ambayo bado yanaishi kwenye vichwa vya Watanzania walio wengi, alitoa kauli hiyo Machi 16, 2020...
  3. Samia atosha tukutane2030

    Kilichomharibia Rais Samia ni namna alivyoanza baada ya kifo cha Magufuli. Anaweza kurekebisha, anayo nafasi

    Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina. Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana...
  4. The Father of All

    Maswali mepesi na muhimu kwa Humphrey Polepole kuhusiana na 'kifo' kwa Magufuli

    Kwa wengi waliofuatilia video za Hamphrey Polepole, watakubaliana nami kuwa kuna mambo mengi anayojua kuhusiana na kuhujumiwa kwa taifa letu. Mojawapo ni madai kuwa wana mtandao hatari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) walihusika kifo cha rais John Magufuli ambaye kifo chake cha ghafla bado...
  5. Griss

    Rostam Aziz na Kikwete watoke watoe maelezo ya kueleweka juu ya kifo Cha Magufuli!

    Hii sio bahati mbaya hata kidogo Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli. Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa. Hii sio afya kwa usalama wa nchi Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli...
  6. Samia atosha tukutane2030

    Polepole tumekuchoka na kelele zako. Kila siku kifo cha Magufuli, kifo cha Magufuli

    Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko. Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho. Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu. Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu. Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania...
  7. J

    Polepole alitaka kuzungumza kwa undani kuhusu kilichotokea nyuma ya pazia kifo cha Magufuli, ila ameshadhibitiwa

    Kuna tetesi kuwa Humphrey Polepole alikuwa anajua majibu ya maswali mengi waliyokuwa wanajiuliza kuhusu kifo cha Magufuli na yaliyoendelea nyuma ya pazia, sababu yeye ndiye alikuwa mtu wa karibu zaidi na Magufuli Lakini kuna watu walienda nyumbani kwa dada yake usiku na kumteka dada yake na...
  8. Waufukweni

    Majaliwa: Kifo cha Magufuli kilituacha na Giza Nene, lakini Samia alisimama Imara kwa Busara na Ujasiri wa Kipekee

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo Alhamisi Juni 26, 2025, ametoa hotuba ya kuhitimisha Mkutano wa 19 wa Bunge la 12, huku akimkumbuka hayati Rais John Magufuli na kumsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza vyema licha ya kuachiwa nchi katika kipindi kigumu...
  9. M

    Kifo cha Magufuli, ilikuwa ni kifo cha CCM pia? Sasa wanakataliwa kila kona ya nchi!

    Wana CCM, ukweli ni huu Magufuli alichokuwa akikifanya pale Ikulu, ni kutuonyesha Watanzania kwamba, CCM ndiyo chanzo cha matatizo yoote tuliyonayo Watanzania, ni nyinyi, alipoingia yeye, aliweza kufanya miradi miingi na kwa mpigo, Miaka yote mlikuwa wapi? Na sasa mnafanya nini? Katoka tu...
  10. M

    Wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli; CHADEMA badala wapenyeze agenda ya mabadiliko walikuwa bize wanasherekea mitandaoni

    Chadema chama ambacho ni kama kijiwe cha kupiga story kisichokuwa na strategy yeyote ile Namna chadema wasichojua wanachopigania angalia hiki kisa "kifo cha magufuli- baada ya tetesi za kuwepo kwa kifo cha magufuli week moja na nusu kabla haijatangazwa pale waziri mkuu kashitisha ziara mbeya...
  11. Allen Kilewella

    Jessica Magufuli: Nilipata taarifa za kifo cha baba kupitia mitandao ya kijamii

    Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania wengine walivyopata.
  12. USSR

    Askofu Benson: Kwa wema au kwa ubaya, tusimsahau Magufuli

    Na Askofu Benson Kalikawe Bagonza KWA WEMA au KWA UBAYA, TUSIMSAHAU MAGUFULI Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo kitendawili cha umri wa mwanadamu unaanza kuhesabiwa lini (anapoingia tumboni au anapotoka), ndivyo kilivyo...
  13. Now and then

    Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli

    Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli. Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu Ahsante Mungu
  14. J

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti...
  15. Influenza

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John...
  16. OLS

    Viongozi wengi hawakuwa wanaijua Katiba wakati wa Kifo cha Magufuli

    Nakurudisha miaka mitatu iliyopita, Rais Samia alipotangaza msiba wa Magufuli alitangaza siku 7 za maombolezo kwa mara ya kwanza. Wakati huo hakuwa anajua Katiba inatambua siku 21. Hili linatosha kuonesha kuwa Viongozi wengi walikuwa hawana ufahamu na katiba Mahojiano ya Mabeyo ya hivi karibuni...
  17. BARD AI

    Baraza la Madiwani ladai Kifo cha Hayati Magufuli kimekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Chato

    BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita, limembebesha mzigo mzito Mkuu mpya wa Wilaya hiyo wakimtaka kufuatilia sababu za kukwama kwa ujenzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Chato, tangu kutokea kifo cha Hayati Rais Dk. John Magufuli. Kauli hiyo imetolewa na...
  18. A

    Serikali na CCM wameadhimisha wapi Kifo cha Magufuli?

    Jana 17/03/2024 ilikuwa ni siku ya kumbukizi ya Kifo cha Raisi wa Awamu ya Tano, tena akiwa Kazini lakini sijasikia kauli yeyote ya Serikali au CCM kuenzi au kuyaendeleza mazuri ya Kiongozi huyo. Naona shughuli zilizofanyika imekuwa kama ya kifamilia zaidi na sio ya MTU aliyewahi kuwa Kiongozi...
  19. FaizaFoxy

    Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli

    Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli. Sitii langu hapa kwa sasa, jionee mwenyewe: Chanzo: https://youtu.be/_rImiIvDHnI?si=jVvGaHv0PVX-7CeH
  20. Roving Journalist

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia. Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki dunia leo majira ya saa 12...
Back
Top Bottom