kifo cha magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia. Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki dunia leo majira ya saa 12...
  2. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa, msichukulie kifo cha Magufuli kama jambo la ukanda

    Ni dhahiri JPM alikua Shuja wa kanda ya ziwa. Ni dhahiri katika utawala wake kanda ya ziwa mlifaidi, wapo ambao mlipitisha mafuta bila kulipa kodi, mkanunua magari na kupiga ela. Mpo mliotumia ukabila kupata tenda nono za ujenzi, MSD na nguzo za umeme nchi nzima Mpo mliotengeneza kikundi cha...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ulikuwa wapi Kuwakemea na Kuwashangaa walioshangilia Kifo cha Magufuli hadi Kuchukia wanaoshangilia cha Membe?

    Watoto wa Mjini wanasema tulieni Dawa iwaingie vizuri kwani Ubaya Ubayani tu. Halafu uache Ushamba kama ilivyo Desturi ya Waha ya Kuvaa Shati Jeupe Msibani.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli kilileta udumavu mkubwa wa kifikra ambao ni hatari kwa Taifa. Watanzania tubadilike

    Habari JF, Inasikitisha sana kwa sana kuona Watanzania tumegawanyika na huu mgawanyiko umekaa kishabiki kiasi kwamba hata wale waliokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri huo uwezo haupo tena. Kwa sasa ni dhahiri tumegawanyika makundi matatu kama ifuatavyo: 1. Wafuasi wa Awamu ya Tano (JPM), hawa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

    Habari Watanzania, lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa nia mbaya ila nikutaka tu kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanaoshuku kuwa Hayati Magufuli kafanyiwa hujuma. Baada ya kuona mambo mengi yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani, ni wazi kabisa baadhi ya watanzania walio...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hili jambo ndilo ambalo lilinishtua Baada ya Kifo cha Magufuli

    Mafisadi Nchi nzima Yalifurahi sana. Yalifanya sherehe na kushukuru. Hapa nikafunguka macho. Huyu mtu kwa nini alichukiwa na Mafisadi? Hili lilinishtua sana. Nikaanza kujiuliza upya ni wapi nlikosea. Ndiyo....ni wapi nlikosea maana mimi mara ya kwanza sikuwa nakubaliana na mambo kadhaa ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wanaosherekea kifo cha Magufuli wanafukuza mwizi huku wameacha mlango wazi

    Kuna wengi wanaolalamika kwamba walipatwa kuumizwa na utawala wa magufuli. Kuumizwa huko kunahusishwa kibinafsi na utawala wa Magufuli, ikimaanisha walipitia waliyoyapitia tu kwa kuwa Magufuli alikuwa rais. Wanaolalamika sio wapinzani pekee bali pia wako wanachama wa chama cha mapinduzi ambao...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Mzee wa upako: Haina maana Samia Suluhu anafurahia kifo cha Magufuli, ni ramani ya Mungu. Adai Magufuli alimwambia 'alideep' Urais

    Mzee wa upako akiwa kwenye kongamano la viongozi wa dini la kumuombea na kumpongeza Rais Samia ameongelea kuhusu uongozi na ameongelea jinsi viongozi wa Tanzania walivyopatikana ikiwemo Samia, Magufuli na mwl Nyerere. Mzee wa Upako(Anthony Lusekelo): Wakati Jakaya anamaliza uenyekiti wa chama...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tunapoenzi siku ya kifo cha Magufuli tukumbuke Hotuba zake mbalimbali

    Mimi naikumbuka sana hii.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la mwaka mmoja wa kifo cha Magufuli, Kanisa Katoliki linapaswa kuona aibu

    Sitaki kuzungumzia maovu ya kisiasa aliyoyafanya kwa Taifa huyu mtu, maana hata ukurasa huu hautatosha, nataka nizungumzie tu maovu aliyowafanyia kanisa Katoliki na Makanisa Mengine, halafu leo hii wanaadhimisha mwaka mmoja tangu kifo chake Kwanza kabisa kulikuwa na mauaji na watu kupotea...
Back
Top Bottom