Chama cha Mapinduzi ni chama cha siasa, lakini ndani yake kinaonekana ni chama cha kifamilia kutokana na historia inavyojionyesha huko nyuma,
Kuna baadhi ya Wabunge wake waliofariki kwenye majimbo yao na nafasi zao kuchukuliwa na watoto wao.
Mf; Omary Abdallah Kigoda - Handeni
Salum Turkey -...
Katika hali inayoashiria mtandao wa fedha haramu, familia moja yenye uhusiano wa karibu na vigogo nchini Tanzania inadaiwa kuteka mfumo mzima wa uagizaji wa magari ya mtumba kutoka Japan, na kuelekeza mabilioni ya fedha za Serikali katika mifuko yao, huku kukiwa na mgongano mkubwa wa kimaslahi...
Anonymous
Thread
japan
kifamilia
magari
mtandao
sekta
tanzania
uingizaji
Soma hapa chini halafu uniambie. Je, Tanzania hatujakaribia kutawaliwa na familia?
MMFUMO WA UONGOZI WA KOREA KASKAZINI.
North Korea's system of leadership is a hereditary dictatorship, with power concentrated in the Kim family. The current leader, Kim Jong-un, is the third generation of his...
Kuna kitu huwa sikielewi labda kwa sababu bado mdogo ila baada ya kuzika kuna vile vikao vinafanyika wanandugu kufahamiana ila naonaga vyote
NI mwendo wa Ku change ana Tu yaani fujofujo,kutoelewana,kurushiana maneno,kupeana lawama.
Je ndo mambo ya desturi na Mila lazima iwe hivo au lengo la...
Watanzania tulio wengi tumeshindwa kabisa kufanya biashara ya pamoja kama wanafamilia au watu wa ukoo mmoja kwanini?
Tofauti na jamii za kiarabu, kihindi na hata familia nyingi za kizungu hudumisha tamaduni hii ya biashara za kifamilia. Yani kutoka kwa muasisi (hasa alieleta mageuzi ya...
Taifa limekosaa wazee wa kushauri .
Yawezekana Mkapa angeongea jambo Kama angekuepo Ila ndo hivyo.
Maana Mwaka 2010 nakumbuka Mtoto wa Mkapa aligombea ubunge pale Kigamboni kura za maoni dhidi ya Ndugulile Ila mtoto wa mkapa hakutoboa katika kura za maoni.
Ila Leo hii kinachoendelea ni aibu...
Mpina kapata adhabu ya kuwa mzalendo kwenye nchi ya kifamilia (Kikwete, Mwinyi na Samia). Kushindana na mafisadi na hizi familia. Hatakiwi CCM maana hiki si chama cha wazalendo tena
Wakati nasoma historia ya ukoo wetu kuanzia mwaka 1890s mpaka 2025.
Nimepata mambo yafuatayo
Kila MTU aliyejaribu kuvuta Bangi alichanganikiwa na kupoteza mwelekeo.
Hii ni historia ambayo nimeifanyia research .
Nimeandaa Family Tree kwa kuangalia mambo mengi kuhusu Changamoto za ukoo Kama...
Kukosa ajira au kazi maalumu, matatizo ya kimahusiano na ya kifamilia ni hali ambazo mara nyingi huambatana na maumivu ya kihisia, kukata tamaa na msongo wa mawazo.
Hata humu ndani ya huu mtandao kuna baadhi ya Members wamekuwa ni wababe, wajeuri na hufikia hatua ya kutoa lugha chafu zisizo na...
Wakuu , Kutokana na Changamoto za Maisha nimefikiria kusogeza siku mbele hasa kuhusu kuoa.
Je umri wa miaka 32 ni rafiki na unafaa MTU kuanzisha familia au MTU anakuwa amechelewa?
Ahsante.
Je Tanzania inaenda kwenye utawala wa kifamilia? Kama hata CCM ni ndiyo Mama ndiyo Baba tutafika sehemu familia chache tu na ndugu zao ndiyo watakuwa watawala wa nchi hii kama Uganda au Rwanda. Kibaya huu sio utamaduni wetu na watu wanapenda demokrasia. Watanzania tuna utamaduni karibu na wa...
Kumekuwa na mgogoro mkubwa unaendelea Bungeni tangu majuzi kati ya Mbunge wa Arusha Mjini Ndugu Mrisho Gambo na Waziri wa Nchi, OR TAMISEMI Bwana Mchengerwa. Kwa ufupi ni kamba, Mchengerwa ambaye ni Mkwe wa Rais ameonesha tu kujikweza kwa kibri bila ya kutoa majibu ya hoja za Gambo.
Kwa...
Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama vyama vingine vya siasa,
Tazama sasa,
Maelezo marefu kwa muda mrefu kumbe dhumuni na agenda ilikua ni...
au haina uhusiano na wala hakuna muda muafaka? au mazingira yakiruhusu tu kazi iendelee?
maana naona mambo haya yanaendelea tu hadi msibani, na tena wengine ndio fursa kabisaa ya kuchepukia, si wafiwa wala waombolezaji.
au ni roho ngumu, watu hawana uchungu na wapendwa wao, ujasiri wa kipekee...
Tanzania bila kuweka nchi kwanza na kuweka mfumo ambao sio wa kinafiki au wakifamilia tulionao sasa hatutatoka hapa tulipo.
Siasa za kuwapa Uwaziri ndugu wa wanasiasa na mifumo ya kufikiri Polisi ndiyo wataleta amani nchini na sio mifumo tutabaki na matabaka na tunaenda kwenye mapigano ya jamii...
Ndoa Fasta
Ni ndoa ambazo Me na Ke wakutana bila kujuana vizuri na wakaamua kufunga ndoa.
Sasa mara baada ya kufunga ndoa ndio huanza kufahamiana vizuri kumbe mume wangu ana tabia hizi au kumbe mke wangu ana tabia hizi.
Wakishindwa kuvumiliana basi migogoro inaanza.
Migogoro ya muda mrefu...
Mahusiano au ndoa zenye majukumu mazito ya malezi, kwa mfano ya watoto wa3 au zaidi, huwa ziko na furaha, ziko imara na vizuri sana katika kushirikiana na kusaidiana kwa dhati na kwa upendo mkubwa, katika kutimiza msingi wa ndoto za watoto wao, mfano katika kupata haki ya mahitaji yao muhimu...
Hizi familia zina nini.
Alieondoka kadai familia, Benchika nae familia problem.
Na mimi nimeamua kuhamia rasmi Yanga kutokana na matatizo ya kifamilia.
Kuitana "mama yangu", "baba yangu", "mdogo wangu", "kaka yangu", "dada yangu", "shangazi yangu", "shemeji yangu" na vyeo vingine kama hivyo katika shughuli za siasa na umma ni utamaduni mpya uliovuka mipaka, kushika kasi na sasa unaanza kukomaa.
Zamani vyeo vya kifamilia ambavyo nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.