kifalme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Tanganyika yageuka Saudi Arabia, uongozi wa kifalme

    Mwananchi anasema Tanganyika Kumbuka Mtanganyika haruhusiwi hata kumili ardhi Zanzibar:confused:😕
  2. Hukumu hii imekuja; kusudi walio hai wapate kujua ya kuwa Aliye juu anatawala katika falme za wanadamu, naye humpa amtakaye!

    [Dan4:1]Mfalme Nebukadreza, kwa watu wa kabila zote, na taifa zote, na lugha zote, wanaokaa katika dunia yote; Amani iongezeke kwenu. [Dan4:4]Mimi, Nebukadreza, nalikuwa nikistarehe katika nyumba yangu, nikisitawi katika nyumba yangu ya enzi. [Dan4:5]Nikaota ndoto iliyonitia hofu; mawazo...
  3. M

    Qatar wamejifunza somo chungu, walidhani kumpa rais wa Marekani ndege ya shilingi trilioni 1 na mapokezi ya kifalme kutawaepusha na Israel

    Qatar walimpa Rais wa Marekani ndege ya kifahari aina ya Boeing 747 yenye thamani ya milioni 400 sawa na shilingi Trilioni 1 pamoja na mapokezi ya kifalme, lakini Marekani wameamua kurudisha fadhila kwa kuwaruhusu marafiki zao Israel waende kupiga tizi la shabaha katikati ya jiji la Qatar kwa...
  4. L

    GE2025 PICHA: Ridhiwan Kikwete Apokelewa Kifalme na Wajumbe Jimboni Chalinze

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete Mbunge Wa Chalinze anayesubiria tu kuapishwa Baada ya kuwa Amepitishwa kuwa Mgombea pekee wa chama cha Mapinduzi Jimbo la Chalinze. kutokana na wanachama wengine kutochukua Fomu ya kugombea kutokana na kuridhishwa na uchapakazi wake pamoja...
  5. Tanzania tuna mfumo wa kifalme uliovaa suti ya kidemokrasia

    Kinaoendelea Tanzania ni mfumo wa kifamilia, kifisadi na kiukoo unaovaa kanzu ya "amani na utulivu". Tuuchambue kwa kejeli kali na ukweli mchungu: 1. Salma Kikwete kapita bila kupingwa Mama wa kifalme. Si kwa sababu ya uwezo, bali kwa jina tu. Watu wanashangilia kama vile kapita kwa mapenzi...
  6. Siri imefichuka CCM walipanga njama kuifuta CHADEMA ili watengeneze katiba ya kifalme kama ile 1977

    Wasalaam. Tuanaelekea kwenye uchaguzi mkuu October japo wengine wamepigwa bann. Lakini ccm kwenye ilani yao wameweka ajenda ya katiba mpya, hapa ina maana watapitisha kile kinachowapendeza maana litakua bunge la cha kimoja. Wote ni mashuhuda tumeshuhudia bunge hili likiipongeza serikali kwa...
  7. System Inatupiga Fix: CAG Anasema Ukweli, Wao Wanazima Taa – Tumechoka Kuibiwa Kifalme!

    Yo ma men, sikiliza hii game real quick... CAG ni OG wetu kwenye system, yaani Controller and Auditor General, the man supposed to check these sneaky-ass politicians when they misuse our tax money. But guess what? Every time jamaa anatoa report, it's like he droppin' a bomb on dirty secrets –...
  8. Harry mahakamani huku mgawanyiko mkubwa katika familia ya kifalme ukifichuliwa

    A number of Wednesday's front pages reflect on the Duke of Sussex's appearance in court in London challenging a Home Office decision to set the level of his personal security while he is in Britain on a "case by case" basis. "Sidelined" is Metro's headline as the paper touts a "deep royal split...
  9. Napendekeza Tanzania iwe nchi ya kifalme. Tuanze na Malkia Samia

    Halafu Abdul aoe binti wa kisukuma kudumisha muungano.
  10. Mambo ya ‘Soft Life’: Ni Lazima Kila Mtu Aishi Maisha ya Kifalme?

    Siku hizi, kuna kitu kinachoitwa “soft life” – maisha ya raha, bila presha, na kila kitu ni utulivu. Mitandaoni, watu wanajipiga picha kwenye hoteli za kifahari, wanavaa nguo za bei, wakila chakula kwenye migahawa ya kiwango cha juu, na safari za anasa ni sehemu ya ratiba yao. Lakini swali ni...
  11. Parade la kifalme london: hakuna askri mwenye kitambi kama makomandoo wa tanzania

    Ni sherehe ya siku ya kuzaliwa mfalme wa UK na parade linaongozwa na askari wa uskochi wote wako poa sioni vilibatumbo wala kitambo mbonyea kama wale jamaa USSR
  12. Ziara ya Rais Samia Nchini Norway baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, Februari 13, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi...
  13. Kukumbatia na kuenzi dhana ya utawala wa kifalme kumepitwa na wakati, Waingereza na wengine wamerogwa na nani?

    Kuna huu Uongozi wa Kifalme, Inasemekana hata Afrika zilikuwepo Tawala lukuki zilizokuwa na nguvu za Himaya za Kifalme na kwingineko Ulimwenguni pia. Kwa Afrika, Tawala za Kifalme ingawa unaaminika kuwa zilikuwa nzuri zikiishi kwa Utulivu na amani zilikuja kuvurugwa na kutokomezwa na...
  14. J

    RC Sendiga, azindua kampeni "Mpe maua, atabasamu asome kifalme

    John Walter-Manyara Kampeni Mpe Maua atabasamu asome kifalme imezinduliwa wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Kampeni hiyo inalenga kuboresha sekta ya Elimu mkoani humo ikiwa ni adhma ya serikali ya awamu ya sita kila mtoto apate elimu ambapo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameelekeza elimu ya...
  15. Harusi ya Kifalme

    Iko hapa https://www.youtube.com/watch?v=l6olWYOBD9U
  16. M

    Waislamu wana mpango wa kususa kwenda Hija kuikomoa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia

    Mzuka Wanajamvi. Katika mitandao ya kijamii hasa tiktok kuna mjadala mpana wa waislam wakijadialiana kutaka na kuhimizana kususa kwenda hija kuwakomesha watawala wa kifalme Saudi Arabia hasa MBS. Wanadai hela wanayopata kupitia hija ni nyingi sana hadi inawapa kiburi na kukufuru hadi kupelekea...
  17. KWELI Pamoja na Ulinzi mkali jumba la kifalme Uingereza, kuna mwamba alipenya mpaka chumbani kwa Malkia Elizabeth

    Wote mnaweza kufikiria ni namna gani mtu asiye mkazi au mfanyakazi au mwenye appointment kwenye makazi rasmi ya Malkia wa Uingereza angeweza kupenya bila kuonekana, akafanikiwa kuingia ndani ya jumba hilo, akapiga misele kidogo, akaingia ofisi ya Malkia Elizabeth kufyonza mvinyo maalum wa...
  18. Tusijisahaulishe, masikini ni matokeo ya dhambi. Kabla ya hapo Mungu alipanga tuishi kifalme

    Hii ni kweli. Mungu ni Tajiri mkubwa anayemiliki vyote. Na sisi ni watoto wake, na sifa ya mtoto ni kurithi vya baba. Hivyo kila anachomiliki Mungu ni cha kwetu. Kabla ya udanganyifu wa Adam na Eva kula tunda tulikusudiwa binadamu wote kuwa matajiri sana na kuishi kifalme. Tukio la kuacha...
  19. Maziko ya Kifalme na faragha - Kinafanyika nini?

    Alipofariki Nelson Mandera dunia nzima ilenda live kwa kipindi chote cha msiba na maombolezo, ilipofikia mwili kuwekwa katika nyumba ya milele kamera zilizimwa na tukaambia ni ndugu wa karibu tu ndio watakaoshiriki zoezi zima la kuzika. Jana tena wakati Malkia anazikwa pamoja dunia kushiriki...
  20. Uingereza haina utawala wa kifalme, kinachoendelea pale ni kiini macho

    Sifa za mtu anayetambulika kama mfalme: 1. Awe anamiliki ardhi yote anayotawala. 2. Awe na amri juu ya watu wote wa eneo lake kila wakati 3. Awe anamiliki mali zote katika eneo lake na kwamba kila raia awe anafanya kazi kwa ajili ya mfalme 4. Tamko la mfalme linakuwa sheria ambayo inatekelezwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…