Sikudhani kuna siku nitakubaliana na muarabu kwenye chochote, tangu walipoharibu dunia na uzombi wa kidini, ila naona vizazi vya leo vya muarabu wako makini kwenye kurekebisha mauchafu yalioachwa na mababu zao, ukituhumiwa ugaidi unachinjwa moja kwa moja, hawatanii..... Hii iwafikie Waafrika...