kidato cha nne

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Makurunge Sekondari, Wanafunzi wa kidato cha Pili na Nne wanalazimishwa kukaa Bweni

    Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya. Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne...
  2. uran

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yatangazwa

    Ufaulu Umepanda. Futatilia hapa. https://www.youtube.com/live/uwbLeIIRXOc?si=m-Iyj06qeAYHlPCl Kupata Matokeo fungua link hii: https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/index.htm --- Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia...
  3. Samia atosha tukutane2030

    Nilisema na ninarudia tena kusema, wajinga wote wapokwe vyeti vya kidato cha nne na kuendelea. Hili Taifa limekuwa na wajinga wengi sana

    Kwa mujibu wa Prof. Suleiman mjinga au mpumbavu hupimwa kwa namna anavyokubali jambo. Ikiwa atakubali kila jambo analosikia huyo ni mpumbavu na ikiwa atahoji kila jambo kabla ya kuamini huyo si mjinga. Sasa vijana wa Tanzania huamini kila jambo. Yaani wewe anzisha tu jambo lolote kisha sambaza...
  4. Z

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yanatoka lini?

    Nina Imani kuwa humu jf Kuna watumishi wa Baraza la mitihani. Matokeo ya kidato Cha nne yanatoka lini?
  5. W

    Kidato cha nne kuanza mitihani kesho, 309,986 hawajulikani walipo

    Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
  6. President of China

    Baraza la mitihani (NECTA) yatangaza mtihani wa kidato cha nne kuanza kesho

    Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
  7. Superbug

    Vijana wa KIDATO Cha NNE na chapili jiandaeni na mitihani. Wazazi iungeni serikali mkono watoto wavuke salama

    Mnahamasisha maandamano hamjui wiki ijayo baada ya hiyo TAREHE yenu watoto wanatakiwa kufanya mitihani Kwa utulivu nchi nzima? Tumia akili mtanzania usiendeshwe na mihemko.
  8. M

    Likizo ndefu ya form 4 inakaribia, nimsaidie vipi huyu mhitimu mtarajiwa asipoteze muda wake kiholela mpaka vyuo vitapofunguliwa mwakani ?

    Ninaishi na kijana hapa kwangu anakaribia kuhitimu form 4 Tulishapanga akimaliza form 4 aende chuo, (sijaona faida ya form 6 nje ya kozi za afya) Ninakumbuka enzi zangu nilipoteza sana muda baada ya kumaliza form 4 - ntaamka saa moja ntafanya kazi za nyumbani hadi saa tatu baada ya hapo hakuna...
  9. R

    Tunaajiri polisi kwa Elimu ya kidato Cha nne, ila kwa Nafasi nyeti za kisiasa zile za juu, wananchi tusikubali

    Salaam! Tumelalamika humu mara nyingi kwamba wasomi sasa ni wengi, tunaweza kuajiri polisi kwa kigezo Cha degree na wakatosha, sababu mtaani kuna wasomi wengi, Sasa hili la kuajiri wagombea wa kisiasa wa Nafasi nyeti kabisa za juu wakiwa na Elimu ya kidato Cha nne failure tusirusu. Yaani...
  10. Abtali Mwerevu

    Mtihani Bure kwa wanafunzi Wanaorudia Kidato cha Nne, Sita na QT

    Mwalimu Makoba Open School inawakaribisha kufanya mitihani ya kujipima na mtihani wenu wa mwisho wa kidato cha nne, Sita na QT Hakuna gharama yoyote katika mitihani hii. Mambo Yaliyopo: Utafanya mtihani Utasahihishwa Utafanyiwa masahihisho na kuelekezwa namna bora ya kujibu mtihani wako...
  11. M

    Naomba kuuliza ni kozi zipi kwa bachelor anazoweza kusomea mtu aliemaliza diploma ya pharmacy na hana grade D ya physics na mathematics kidato cha nne

    Naomba kuuliza ni kozi zipi kwa bachelor anazoweza kusomea mtu aliemaliza diploma ya pharmacy na hana grade D ya physics na mathematics kidato cha nne
  12. Wakusoma 12

    Maajabu: Karani mwongoza wapiga kura anahitajika kuwa na elimu angalau kidato Cha nne ila Mbunge wa Bunge anahitajika kujua kusoma na kuandika pekee

    Hizi ni ishara za kuwa na watu waliovimbewa na kujiona wanaweza kutuwekea vigezo vya uongozi kulingana na sifa za wanafamilia wao. Hivi kweli Mtunga sera, mchambuzi wa maswala ya kijamii na mtetezi wa katiba ya nchi awe anajua kusoma na kuandika pekee huku Karani mwongoza wapiga kura awe na...
  13. H

    TAMISEMI kupangia watoto waliomaliza kidato cha nne kujiunga na vyuo

    Natamani kupata maoni ya wadau kuhusiana na hili jambo, kwa mwaka huu kuna wimbi kubwa sana lam watoto wa walalahoi kupangiwa kujiunga na vyuo vya kati kwa kipindi kisichopunguwa miaka mitatu, kwa maana mwaka mmoja Certificate na mwaka wa pili Diploma. Hili ni jambo jema swali langu ikiwa...
  14. Mshana Jr

    Elimu ya kidato cha nne ni elimu kubwa sana ndani ya chama chetu

    Achana na ufaulu kwakuwa unaweza kuchora duara na bado mambo yako yakawa supa sana.. Kikubwa uwe kada mtiifu halafu usiwe mchoyo...! Halafu ujue kuwanyenyekea wakubwa! Kule kwa wavimba macho na wengineo wameweza kutoboa kwa sababu engine haikuwa mbovu... Walihakikisha ofisi kubwa inakamatwa na...
  15. Munch wa Annabelle

    Kama umepoteza cheti cha kidato cha nne na 6 naweza kukusaidia mchakato wa maombi na ukapata ndani ya siku 40 za kazi bila longolongo

    Kama umepoteza cheti cha kidato cha nne na 6 naweza kukusaidia mchakato wa maombi na ukapata ndani ya siku 40 za kazi bila longolongo Kwa msaada zaidi njoo dm
  16. iddy mweka

    Usaili wa ajira za polisi 2025

    Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
  17. Dalton elijah

    Serikali Imetoa Mwezi Moja Kwa Wanafunzi Wa Kidato Cha Nne 2024 Kubadilisha Machagua Ya Tahasusi Kidato Cha Tano

    SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu stahiki katika maisha yao ya baadaye. Utaratibu huo umeanza Machi 31 hadi Aprili 30 mwaka huu. Akizungumza na...
  18. M

    Wakuu cheti mbadala cha kidato cha nne unaweza pata baada ya muda gani kwa maombi ya online

    Wakuu naomba mnisaidie nikifanya maombi ya cheti cha kidato cha 4 kilichoungua naweza kukipata kwa muda gani? Najua humu wazoefu wapo na je kama, Nina haraka nacho sana hicho cheti nofanyaje Ili kukipata Yani at least week 3 Naweza subiria isizidi hapo, embu nipeni ushauri wenu wakuu Uzi tayari
  19. Davidmmarista

    Ratiba ya mtihani wa kidato cha nne 2025.

    Ratiba ya mtihani wa taifa 2025 kidato cha nne
  20. J

    Habari yenu Mimi ni kijana wa kitanzania elimu yangu kidato Cha nne ni mwalimu wa primary ngazi ya cheti bado sijaajiriwa serikalini

    Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
Back
Top Bottom