Huyu ndio paka bwana, a.k.a nyau, a.k.a zee la makonzi. Utanyukwa makofi haswa mpaka unasalimu amri.
Paka ni kati ya wanyama timamu haswa kimwili, wananyumbulika kwa wepesi kama radi. Miili yao ina silaha madhubuti ambazo ni makucha makali na meno mchongoko.
Paka wakitaka kuua lazima wamtese...