Mgombea wa kujiteua wa CCM, Samia Suluhu Hassan anahitaji msaada tena wa bure na haraka. Tokana na kuabudiwa kichawa na kizwazwa, anajiona kama muungu mtu.
Ni ajabu hakujifunza kwa muungu wake John Pombe Magufuli aliyetenda makufuru hadi, watu tuliodhani wasomi na wazima, bila aibu wala woga...