kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna vitu serikali inafanya sijui kama wanatumia akili kama hili la maegesho ya Magali makubwa Kibaha Misugusugu

    Yaani wamehamisha watu Kwa kuwalipa mabilioni huku wakijua kabisa magari makubwa hayatokua mengi sababu Kuna bandari kavu ya Kwala iliyopo Vigwaza Sasa najiuliza wakijenga huu mradi wa hayo maegesho watapaki kina nani maana magari yote yatakuwa yanaondokea Kwala Hili bado sijajua vizuri...
  2. Kwa nini ni makosa Mzumbe, Ilboru, Kibaha, etc kuitwa shule ya vipaji maalumu?

    Wale ni makosa kuitwa vipaji maalumu KWA sababu wanafunzi ukipaji wao unapimwa KWA kizio kimoja cha kipaji ambacho ni Academic education. Hivi ni kuua vipaji vyao vingine KWA kushinda unawafanyisha mazoezi ya kupata A. Hata sisi wa kayumba tukipewa hayo mazingira Bora tunapata A. Hii...
  3. A

    Responded Mrejesho: Kero huduma ya majisafi Kibaha Pangani

    Habari JF Naomba mtafute ile post tulituma kupitia jukwaa la malalamiko / fichua uovu Hatimaye tunawashukuru DAWASA wameanza mchakato wa huduma ya maji Kibaha-Pangani Pia soma ~ Mradi wa Maji Kibaha-Pangani wenye thamani ya Tsh. Bilioni 9.8. uliosainiwa Mwaka 2023 waanza kutekelezwa
  4. Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  5. Msaada wa Haraka kwa Mlio Kibaha tafadhali

    Nafika leo natoka Arusha ila nataka nije kulala Kibaha kwa siku 5. Nahitaji mwenye kufahamu Lodge nzuri safi standard kwa bei ya tsh 20,000 mpaka 30,000. Na nyingine ya 30,000 mpaka 50,000. Dereva wangu anataka yake isizidi tsh 30,000. Mi nataka isizidi 50,000. Iwe sehemu yenye parking ndani na...
  6. Looking for a plot Industrial Plot at Kigamboni Kisarawe 2 and Kibaha

    Attention to Property Owners! On behalf of our client, we are looking for an Industrial Plot with following criterias: The use of the plot area should be industrial. Location: Kigamboni Kisarawe 2 and Kibaha only. Plot size: 20 acre's. Plot should be on main road or maximum of 500m inside from...
  7. D

    Msaada kufika hospital ya KIBAHA ya serikali

    Habari za Asubuhi Naomba anayefahamu namna ya kufika KIBAHA hospital. Ni hospital ya serikali na kwa maelezo machache pia Ina madaktari wazuri wa macho. Binafsi natokea Tabata Kinyerezi na mpaka muda huu nimeshaanza safari now nipo Malamba Mawili so Maelekezo yaanzie Mbezi Stand Naomba...
  8. Namtafuta Stephen Sheiza wa Kibaha

    Wasalaam Namtafuta rafiki yangu anaitwa Stephen Sheiza...mara ya mwisho kuwa pamoja ni baada ya kumaliza A level MOA Temboni Anaefahamu wapo alipo anijuze...kwao ni Kibaha ila sifahamu ni Kibaha maeneo gani Asanteni
  9. VIWANJA VINAUZWA KIBAHA- VISIGA MADAFU

    VIWANJA VINAUZWA KABAHA VISIGA MADAFU UMBALI DK 5 KWA VIGUU TOKA STAND UKUBWA 20X20 MLN 3.5 PIGA SIMU 0775 179905
  10. Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  11. Mradi mpya wa viwanja kibaha sofu

    Mradi Mpya wa Viwanja - Kibaha Sofu! Viwanja vya bei nafuu vilivyo kwenye eneo zuri na tambarare kabisa, tayari kwa ujenzi! Mahali: Kibaha Sofu – km 4 tu kutoka kituo cha Picha ya Ndege 📏 Ukubwa wa Viwanja: Kuanzia sqm 400 hadi sqm 1500 💰 Bei: TSh 15,000 tu kwa kila sqm! ✅ Viwanja vipo...
  12. Mradi Mpya Wa Viwanja Kibaha Sofu

    Mradi Mpya wa Viwanja - Kibaha Sofu! Viwanja vya bei nafuu vilivyo kwenye eneo zuri na tambarare kabisa, tayari kwa ujenzi! Mahali: Kibaha Sofu – km 4 tu kutoka kituo cha Picha ya Ndege 📏 Ukubwa wa Viwanja: Kuanzia sqm 400 hadi sqm 1500 💰 Bei: TSh 15,000 tu kwa kila sqm! ✅ Viwanja vipo...
  13. Tanzania hatarini kuwekewa marufuku ya kusafiri kwenda Marekani

    Upanuzi wa Marufuku ya Kusafiri kwa Misri, Tanzania, Zimbabwe, Dominika, Saint Lucia, Bhutan na nchi nyingine 30. Jumapili, Juni 15, 2025 Marekani imependekeza upanuzi mkubwa wa sera yake ya marufuku ya kusafiri, ikilenga Misri, Tanzania, Zimbabwe, Dominika, Saint Lucia, Bhutan, na nchi...
  14. E

    Kanisa la Mwanamapinduzi Kibaha lawekwa utepe, waumini wafukuzwa

    Siku moja baada ya Naibu Katibu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church (Nyumba ya Ufufuo na Uzima), Askofu Maximilian Machumu maarufu Mwanamapinduzi kutangaza kuwa kanisa hilo halijafungwa na Serikali, tawi la kanisa hilo la Kibaha mkoani Pwani limevamiwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni...
  15. Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  16. T

    Foleni ya Kibaha Chalinze itaisha lini?

    Huwa nasikia awamu hii imefanya mambo makubwa. Kuna hii barabara inayounganisha bandari ya Dar na mikoa karibu yote nchini, lkn pia nchi jirani zinazotumia bandari yetu. Cha ajabu ni kwamba barabara ya Kibaha Chalinze bado ni nyembamba sana hivyo kusababisha foleni kila siku. Sasa hivi...
  17. Mrejesho wa kazi za TANROADS Pwani-Kibaha

    Jamn kwemaaa!! Kuna yeyote ambae ashapata mrejesho wa hizi KAZI za TANROADS PWANI-?
  18. Viwanja Viwili Vinauzwa Kibaha Maili Moja

    Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm 2021. Nyaraka: Vina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 750. Maongezi yanaruhusiwa. Gharama za kwenda kuona...
  19. P

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau
  20. P

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…