kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesi ya Lissu inaweza kuitwa mapema kabla ya tarehe iliyopangiwa

    Kabla ya October 30 inaweza kuitishwa tarehe za hapa kati hii ni kutokana na kwamba TANZANIA sio kisiwa. Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume MUNGU ibariki tanganyika. MUNGU ibariki tanzania. MUNGU bariki...
  2. JamiiForums Tanzania Kesi ya CHADEMA Manyara, Mahakama yatupa pingamizi la Ofisi ya Msajili

    Mahakama Kuu Kanda ya Manyara imekubaliana na maombi ya Chadema ya kuendelea na kesi ya msingi, huku ikitupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa dhidi ya chama hicho kuendelea na kesi hiyo. Kesi hiyo iliyosikilizwa leo Oktoba 2, 2025 na Jaji Nenelwa Mwihumbi...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ungekua ni wewe umeletewa hii kesi ya jamaa yangu na mkewe ungeisuluhisha vipi?

    Kuna jamaa yangu kanishirikisha kisa chake na mkewe ili nimpe ushauri. Kisa chenyewe ni hiki,huyu jamaa yangu alisafiri kikazi huko mkoani akakaa kama wiki tatu hivi. Sasa karudi juzi home kwake kakuta mkewe kajinyoa mavvvvzi yote. Jamaa anasema utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa wananyoana...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kweli Mh Samia uliwasamehe Hawa na kuwaruhusu warudi nchini na ukawafutia kesi? Asante mohamedi umetuonesha rangi Yako.

    Muhindi kumzurumu muhaya ni ngumu sana, Ili ni funzo mnielewe Nauliza Mh Raisi Samia watu WALIOKUWA wanauza UNGA nchini akiwemo huyu Mohamed aliyekamatwa na Mzee Magu na kukili kosa na kulipa cash money ya prebegaining dheni akakimbia nchi Ndo unajitapa uliwarejesha nchini? Nani hasiye...
  5. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Mamlaka kumchunguza Wicknell Chivayokwa Kesi za Rushwa na Ufisadi

    Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zimbabwe (ZACC), imetangaza kufungua upya jalada la Uchunguzi dhidi ya Mfanyabiashara Wicknell Chivayo kutokana na kuhusishwa kwake na masuala ya Rushwa na Ufisadi katika miradi aliyoifanya na Serikali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ZACC, imeeleza kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia machawa wengine wa kuwaongoza

    Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia wengine wa kuwaongoza. Hatuwezi kufanya amani kwenye utekaji na mauwaji na ufisadi na kutubambikia kesi za uongo. No reforms no ELECTION
  7. S

    JamiiForums Tanzania Majaji wa Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu, wanatosha? Wanatenda haki?

    Kwa kusiliiza hoja za mawakili wa serikali na hoja za Lissu, majaji wa hii kesi kweli wanatenda haki kwa hii kesi kuendelea kuwepo mpaka muda huu? Kwa maneno mengine, majaji hawa wanatosha,? Labda niulize: Je, maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kwa kesi za aina hii zilizotangulia, hayatoshi kufuta...
  8. JamiiForums Tanzania Kesi ya wamiliki jengo la Kariakoo yapigwa Kalenda hadi Oktoba 9, 2025

    Kesi ya jinai iliyofunguliwa na Jamhuri dhidi ya waliokuwa wamiliki wa jengo la ghorofa la Kariakoo, jijini Dar es Salaam lililoporomoka Novemba 16.2024 imeendelea leo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Mkazi Mkuu Godfrey Mhini leo, Alhamisi...
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Kenya yaamuru Kukamatwa kwa Raia wa Uingereza kwa Kesi ya Mauaji

    Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayetuhumiwa kumuua Agnes Wanjiru karibu na kambi ya mafunzo ya jeshi la Uingereza huko Nanyuki miaka 13 iliyopita. Mwili wa Agnes Wanjiru, mwenye umri wa miaka 21, ulikutwa ndani ya shimo la choo mnamo Aprili 2012, wiki chache...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kesi ijayo ya Lissu, Wanachadema zaidi ya 10,000 wawepo mahakamani

    Natoa rai hii kwa Wanachadema wote nchini na wasio Wanachadema, kujitokeza kwa wingi wa maelfu nje ya mahakama kesi ijayo. Endapo Wananchi mtajitokeza kwa wingi wa maelfu basi siku hiyo itaua molari ya polisi Nchi nzima, na wote wanaofanya kampeni. Kuna kosa la kimsingi na kimkakati naona...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Polisi iheshimu eneo la Mahakama na Watanzania wanaofika kufuatilia kesi

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kumshemlulia na kumdhalilisha Wakili Deogratius Mahinyila mmoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Tundu Lissu, baadhi ya viongozi na wanachama wengine. Leo Jumatatu, Agosti 15...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu

    Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu. Pia soma: GE2025 - Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume yamnyoa, ACT yakosa mgombea urais
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Brazil Ahukumiwa miaka 27 jela

    Rais wa zamani wa Brazil, Jair Bolsonaro, amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kupanga njama ya kupindua serikali halali iliyochaguliwa mwaka 2022. Uamuzi huo umetolewa na Mahakama Kuu ya Brazil, ambapo jopo la majaji watano lilimkuta na...
  14. JamiiForums Tanzania Wanasheria msaada tutani, Mh Lissu Jumatatu atafutiwa kesi na KUKAMATWA Tena na kufikishwa mahakama ya kisutu je ITAKUWA sawa?

    Wanasheria msaada tutani, Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu? Msaada wazee najua...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Muinjilisti ahukumiwa miaka 30 jela kwa kubaka mtoto wa mwaka 1 Pangani

    Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mtuhumiwa Grayson Muze Msemo (miaka 55), Mkristo, Muinjilisti na mkazi wa Raskazoni Tanga, baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 4. Akisoma hukumu hiyo jana tarehe 10...
  16. JamiiForums Tanzania Simiyu: Luth Jacob (umri Miaka 50) ahukumiwa Miaka 30 jela kwa kumbaka Mtoto wa Darasa la Tano

    Mahakama ya Wilaya ya Maswa imemhukumu Luth Jacob, mwenye umri wa miaka 50 na mkazi wa Kijiji cha Mwanundi, Kata ya Sengwa, kifungo cha miaka 30 jela pamoja na faini ya shilingi 300,000 baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano mwenye umri wa miaka 15. Katika kesi...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya CHADEMA kuhusu mgawanyiko wa mali

    Kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi la Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaendelea leo, Jumatano Septemba 10.2025 kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama CHADEMA wazuiwa kuingia mahakamani kesi ya Lissu

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya Mwenyekiti wao inaendelea kusikilizwa, kwa madai kwamba ukumbi wa mahakama ni mdogo. Wanachama hao wamelalamika kwamba kitendo hicho...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu nyaraka kwenye kesi ya Lissu kujulikana leo

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amerudishwa tena katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam kwa ajili ya muendelezo wa kesi yake ya uhaini. Kurudi kwa Lissu leo Septemba 9, kunatokana na mapingamizi aliyoyaibua jana Septemba 8, mbele ya Jopo la Majaji watatu Jaji Dunstan...
  20. JamiiForums Tanzania Tunataka waliogushi nyaraka kwenye kesi ya Lissu washtakiwe

    Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…