Ilikua mwaka 1992, sikuzile tukijiita LY.
Sasa hatukua na mziki kwenye umaliziaji. Nikiwa kijana, nikijana nikajipiga kifua, baba alikua na radio santuri ya sahani mbili sikuzile.
Nikicho kifanya ni kuzama store kwa mzee, na nikachukua baiskeli (swala) ya baba, kijana nikaifunga santuri kwenye...