Barua hii kumhusu Komando Ling'wenya itakuwa imeutafsiri uwanja mzima rasmi kabisa kwa jinsi ulivyo.
Hakuna kisichofahamika tena. Hii ni vita kamili.
Vita vya haki dhidi ya dhuluma. Vita vya wanaothamini haki za watu yakiwamo maisha ya akina Luteni Urio, Moses Lijenje na wenzao, dhidi ya...