kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali mapingamizi ya utetezi, maelezo ya Mohamed Lingw'enya yapokelewa na Mahakama. Kesi kuu kuendelea Des. 15, 2021

    Usikilizwaji wa Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu; Halfan Bwire Hassan, Adamu Hassan Kasekwa na Mohammed Ling'wenya inatarajiwa kuendelea leo Desemba 14, 2021 Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu pingamizi la Mshitakiwa Mohammed...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Lusekelo (Mzee wa Upako): Kesi ya Mbowe inakera sana na inaniumiza moyo

    Ni siku ya tatu sasa akihutubia ktk moja ya safu ya mafundisho yake katika jamii. Askofu wa Kanisa la TAG hapa Ubungo Kibangu Maarufu kama Mzee wa Upako ametoa maoni yake juu ya kesi anayohisi huenda ni ya kuzingizia ya Ugaidi dhidi ya Mbowe. Askofu huyo licha ya kudai kuwa wafuasi wa chama...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kuelekea hukumu kumhusu Ling'wenya

    Kuelekea hukumu ya shauri dogo linalomhusu Ling'wenya 14 Dec ukimya unaendelea kuvunjwa: 1. Kumbe mama Samia naye yamewahi kumfika ya kubambikiwa kesi na hata kutendewa ndivyo sivyo za wazi mikononi mwa polisi wetu. 2. Mheshimiwa Mbatia yeye hakuwa na Simile: Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa umahiri mkubwa wa Makomandoo wetu ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Jeshi la Polisi kama walivyodai?

    Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea. Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Umahiri mkubwa tuliouona wa Makomandoo wetu Tanzania ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Polisi?

    Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea. Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Ushauri wa Mbatia kwa Rais Samia

    Mh. Mbatia analiona jumba bovu: Siyo siri wanaomtakia Mama mema, maoni yao si tofauti na haya.
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apongeza kufutwa kwa kesi, atamani kauli ya Serikali ya Rais Samia

    Imefahamika kwamba kesi tano zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu zimefutwa tangu Rais Samia aingie madarakani. Gazeti la Mwananchi, limezungumza na Tundu Lissu aliyepongeza kufutw akwa kesi hizo kwa kusema ni JAMBO JEMA. Licha ya kwamba hakuna mahali ambapo Serikali...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Mbowe kufutiwa kesi kabla ya mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa?

    Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba. Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba. Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi

    Hii ni habari iliyoandikwa na gazeti la MWANANCHI la leo. Wakati ni habari iliyotarajiwa ifurike maoni mitandaoni kinyume chake ni kama vile haipo kabisa. Hata mimi humu nimei post mara ya kwanza ikafutwa na sijui kama hii mara ya pili haitafutwa. ======== Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Majumuisho kesi Mbowe, Kinyang'anyiro ni katika DR

    Kesho Inshallah, mawakili wasomi watawasilisha majumuisho yao mbele ya Jaji Tiganga. Msingi wa kinyang'anyiro bila shaka utakuwa katika uhalali wa Detention Registers (DR). Moja kutokea Central Police Dar na nyingine kutokea kituo cha Polisi Tazara. DR ya Central iliwasilishwa na D/C Msemwa...
  11. JamiiForums Tanzania Myanmar: Aung San Suu Kyi ahukumiwa kifungo cha miaka minne jela

    Kiongozi wa Myanmar aliyetolewa Madarakani na Jeshi amehukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani, ikiwa ni mwanzo wa kutolewa hukumu ambazo zinaweza kupelekea afungwe jela maisha Aung San Suu Kyi ambaye amekuwa kifungo cha nyumbani tangu Februari 2021 baada ya Jeshi kufanya Mapinduzi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

  13. D

    JamiiForums Tanzania Mnaoshangilia kesi ya Makonda mnapoteza muda wenu bure, hakuna kesi pale

    Niaminini ninachowaambia! Misingi ya kesi ya makonda ni tofauti kabisa na ilivyokuwa kesi ya Sabaya!! Ikumbukwe kwamba Punde tu sabaya baada ya kutenguliwa u DC, aliwekwa kitimoto/mahabusu chini ya Takukuru kabla ya kushitakiwa! Sasa ishu ya makonda ukiitazama unaona kabisa waziwazi hakuna...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Je, inaweza kufunguliwa kesi dhidi ya Jeshi la Polisi ya kumwitisha Moses Lijenje aletwe Mahakamani?

    Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo. Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Commando Mhina, Shahidi Mwaminifu na Rafiki wa Kweli

    Komando Mhina popote pale alipo na apokee salamu za kheri kutoka kwetu tunaoyaishi machungu yao. Akiwa mtu huru, Commando Mhina alifika mahakamani kufanya sehemu yake ya kuuanika ukweli. "Kwani nani anapenda kufika kwa ridhaa yake polisi au katika mahakama zinazosifika kwa dhuluma?" "Kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda inatajwa Leo Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni

    Leo tarehe 3/12/2021 inaweza kuwa siku nzuri kwa wapenda haki duniani , baada ya mmoja wa Wasiginaji wa kubwa wa haki hizo kuburuzwa Mahakamani kwa tuhuma kadhaa ikiwemo uvamizi wa kutumia silaha na ulevi wa Madaraka . Kesi hii iliyofunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo Mh Saed Kubenea kwa...
  17. JamiiForums Tanzania EU yammwagia sifa Rais Samia

    === EU imemmwagia sifa kedekede Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania hasa kwenye Covid-19 EU inasema hali ya hewa kisiasa na Asasi za kiraia ni nzuri na imetengemaa na kila kitu kinakwenda vizuri nchi Tanzania, EU imeahidi kuendelea kuifuatilia kwa karibu Tanzania na kuendelea kuisaidia...
  18. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe; Umejifunza nini kipya?

    Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwafirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gape ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii...
  19. JamiiForums Tanzania Kesi ya kina Mbowe kweli ni ya ugaidi ukweli?

    Tangu kesi ya Mbowe na wenzake ianze nimekuwa nikiisoma kwa umbali na ukaribu. Katika nyakati mbalimbali nimewahi zungumzia kuhusia UGAIDI hasa ule unaotendwa na Mamlaka au kusababishwa na Mamlaka ambao huwa unaitwa "STATIE SANCTIONED TERRORISM" Kesi hii washtakiwa karibu wote ni MAKOMANDO" au...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Lembrus Mchome - Shahidi Mwaminifu

    Misahafu inakataza kumshudia mtu yeyote uongo (kutoka 20:16). Lembrus Mchome akifuatilia kesi ya Mheshimiwa Mbowe kama ilivyo kwa wengine, alisikia D/C Msemwa H4323 akitoa yake jinsi alivyowapokea watuhumiwa akiwa polisi Central. Hiyo ikiwa katika shauri la mwanzo la Adamoo. "Nani hakujua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…