kesi

Oliver Manjet Chambuso (born September 7, 1992), known as Oliver Kesi or just Kesi (stylised as KESI), is a Danish rap artist. He promoted himself through his own YouTube channel within the grime genre also cooperating with others, notably Kidd. He also made music with a group of Nørrebro-based rap artists BOC (abbreviation for Bars of Crack or Bombs Over Copenhagen or Bombs Over Centrum). Success on the Internet with particular debut song "Byen Sover" (meaning "The City Sleeps") led to a series of concerts and interest from established record labels, such that Kesi, at the age of 18 signed with Universal Records in July 2011.In August 2011 Kesi released his first official single "Slem dreng" (meaning bad boy). This brought in great visibility in the media and an appearance on TV 2 in a special feature Kesi also performed in a series of concerts, including at Roskilde Festival, Distortion-festivalen and festival Sounds. His follow-up single on Universal is the single "Født I Dag" (meaning born today) produced by Benny Jamz from BOC and also the single "Ku godt". His debut album Bomber Over Centrum was released in February 2012 followed by Ung hertug in 2013 and Barn af Byen in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Kesi ya Mwalimu wa Green Acres, Saleh Ayoub anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake kuanza kutolewa Februari 6, 2025

    Mashahidi upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi - Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake wanatarajiwa kuanza kutoa ushahidi Februari 6, 2025. Kesi hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba faili la kesi mahakamani

    Kwanza kabisa natanguliza shukrani Nina kesi ya madai mahakama ya wilaya lakini kwa bahati mbaya mwisho wa kesi ikagundulika imekosewa jina la mdaiwa ikabidi isimame utekelezaji wake.sasa mimi ninataka nifungue kesi upya.Lengo la kuja hapa wadau ninaomba kujua utaratibu na jinsi ya kupata...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye kesi yoyote ya High Court /Court of appeal ambayo Tundu Lissu alisimamia kama wakili tafadhali aniwekee hapa

    Nina shida na kesi zake naomba mwenye nakala aniwekee hapa. Nimesearch kwenye TANZLII sijapata
  4. JamiiForums Tanzania Mtoto wa senator ahukumiwa kifungo

    Mtoto wa senator wa north dacota, Ian crammer amehukumiwa kifungo cha miaka 28 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuendesha gari kwa spidi kubwa iliosababisha ajali na kuua mtu mmoja wa miaka 53 ambae ni sheriff
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Wakili kesi ya Gekul afariki dunia Desemba 24, 2024

    Wakili Joseph Masanja wa Babati Mkoani Manyara ambaye alikuwa anasimamia kesi ya Gekul amefariki dunia Desemba 24, 2024. Kupitia Korumba Lebabazi amezungumza na Wakili Peter Madereka ambaye aliwahi kufanya naye kazi marehemu enzi za uhai wake na kueleza kuwa kutokana na kifo chake wanasubiri...
  6. JamiiForums Tanzania TAWJA Chasema kuna Ongezeka la Kesi za ubakaji na ulawiti.

    CHAMA cha Majaji Wanawake Tanzania(TAWJA) kimesema kuwa kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti nchini. Mwenyekiti wa TAWJA, Jaji wa Mahakama ya Rufani Barke Sehel alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kibatala kujitoa kusimamia kesi zihusuzo CHADEMA

    Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa. "....Kibatala anafikiria...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Contract and case Management System-Mfumo wa kusimamia mikataba na kesi

    Habari wote, kazi yetu ni kutengeneza mifumo ya Computer. Kwa sasa nawaletea mfumo ambao unasimamia na kurekodi maswala yote ya mikataba pamoja na kesi. Kwa makampuni ambayo yanakua na mikataba mingi ambayo ina expiry date,basi hiii itakusaidia kuweka kumbukumbuku zote za mikataba,ukiweza pia...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo bado kesi ya Dr Manguruwe, kuendelea kusota rumande, kesi yaahirishwa

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Limited, Saimon Mnkondya, maarufu Manguruwe akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo baada ya kesi inayomkabili kuahirishwa kutokana na kutokamilika kwa upelelezi ambapo anashtakiwa kwa makosa 29 ikiwamo ya uhujumu uchumi...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Bila connections au mafungu ya asante utazungushwa kulipwa kwenye kesi uliyoshinda mahakamani ?

    Huwa nasikia watu wanashinda kesi za kulipwa fidia, Baada ya hapo huwa kuna mchakato wa Malipo. Kwenye mchakato wa kulipwa unaweza kufanikiwa kulipwa bila connections ama mafungu ya asante ? Tetesi nilizopata zimenisikitisha, kwamba inabidi utoe asilimia kadhaa 😣😓😔 ili faili lako likimbizwe...
  11. JamiiForums Tanzania Burundi: Mwandishi wa habari ahukumiwa miezi 19 gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa nchi na kusambaza taarifa za ukabila

    Mahakama mjini Bujumbura imemuhukumu kifungo cha miezi 19 Gerezani Mwandishi wa habari Sandra Muhoza baada ya kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa nchi na kusambaza taarifa za ukabila. Mwandishi huyo wa habari mwanamke wa Burundi alikamatwa mkoani Ngozi tangu mwezi Aprili mwaka huu na...
  12. JamiiForums Tanzania Wife kanifuma nimempakata bar maid kwenye mapaja,nasolve vipi hii kesi?

    Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona. Nasolve vipi hii ngoma wakuu?
  13. JamiiForums Tanzania Wakili best wa kesi za Ardhi anahitajika...

    Naomba kama kuna wakili mkali mwenye rekodi ya uhakika ya kesi za Ardhi nitajiwe hapa ...nna ndugu Wana kesi za Ardhi zinawasumbua sana... Natanguliza shukran
  14. JamiiForums Tanzania Marcus Fakana (18) afungwa Jela mwaka mmoja Dubai, kwa kosa la kufanya mapenzi na msichana wa miaka 17

    Marcus Fakana, kijana wa miaka 18 kutoka Tottenham, London Kaskazini, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani huko Dubai baada ya kufanya mapenzi na msichana wa London mwenye umri wa miaka 18. Kwa mujibu wa taarifa, wawili hao walikutana wakati wa likizo wakiwa na familia zao. Msichana...
  15. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres anayetuhumiwa kulawiti Mwanafunzi yaahirishwa Mwezi mzima, Hakimu apata udhuru

    Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi-Africana anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 11 imeshindwa kuendelea kutokana na Hakimu kupata hudhuru. Mara ya mwisho kesi...
  16. X

    JamiiForums Tanzania Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

    Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party. Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
  17. JamiiForums Tanzania Mama awashinda watoto wake Kesi ya Mirathi ya Nyumba Kariakoo

    Fatma Awadh mkazi wa Kariakoo amemshukuru Rais Samia na aliyekuwa waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Silaa (sasa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari) baada ya kushinda kesi ya Mirathi ya Nyumba dhidi ya watoto wake. Kesi hiyo iliyoanza 2006 imepata majibu baada ya kudumu mahakamani...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada mwenye kujua kesi yoyote aliwahi kuishinda Wakili Boniface Mwambukusi

    Toka amelazimisha kufahamika na kupata umaaurufu sijawahi kuonanashinda kesi yoyote mahakamani. Kama yupo anayejua tafadhali aiweke hapa
  19. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 13 awafungulia kesi Wazazi wake kwa kumtelekeza Shule ya Bweni Afrika

    Mtoto wa miaka 13 amefungua kesi dhidi ya wazazi wake akiwatuhumu kwa ukatili baada ya kumpeleka nje ya nchi, kisha kumsajili katika shule ya bweni, na kumtelekeza huko. Kwa mujibu wa taarifa, mtoto huyo, ambaye hakutajwa kwa sababu za kisheria, aliwasiliana na Ubalozi Mdogo wa Uingereza na...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Aliyetembea na wanawake na watoto zaidi ya 1,000 Ahukumiwa kifungo cha miaka 8658

    Mwamba huyu hapa. Huko Uturuki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…