Ukiwa mjini utashangaa kuna kazi nyingi ili ziendelee zinategemea ujinga wa watu.
Kwenye lile suala la klabu moja inayoendeshwa kwa propaganda na milungura ya kutosha kununua mechi kwa njia ya kuhujumu kushirikiana na kampuni moja la betting,waliingia kwenye 18 za mawakili wasomi wakaweka pesa...