kesi ya uhaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Jamhuri yaongeza wengine 47 kwenye kesi ya Uhaini baada ya Maandamano Oktoba 29, idadi yafikia watu 145

    Baada ya kuwafikisha Mahakama ya Kisutu leo watanzania 98 akiwemo Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) kwa mashtaka ya Uhaini, Jamhuri imeongeza idadi ya watuhumiwa wengine wapya 47, hivyo kufanya orodha ifikie watu 145. Soma Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama hivyo ndivyo, Binafsi naomba niunganishwe na Niffer pamoja na wenzie kwenye Kesi ya Uhaini!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Mimi binafsi ni mpingaji wa Dhulma,uminyaji wa Haki,mauaji ya raia,Utekaji wa raia kila mahali,UminywaJi wabl Demokrasia pamoja na Upingaji wa ukandamizaji wa Vyombo vya habari zikiwemo Blogs! Binafsi naomba Mamlaka za nchi hii ziniunganishe kwenye Kesi...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Lissu kuendelea leo Oktoba 24, shahidi wa nne wa jamhuri asubiriwa kwa hamu

    Shahidi wa Tatu (3) wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu Mkaguzi wa Jeshi la Polisi Samwel Elibariki Kaaya amemaliza kutoa ushahidi wake hapo jana Leo, Ijumaa Oktoba 24.2025, kesi hiyo inayosikilizwa mfululizo kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu ameshinda pingamizi lake FLASH Disk na Memory Card zakataliwa na mahakama kuu, shahidi wa 3 wa jamhuri kutoa ushaidi wake

    Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ameshinda mapingamizi yake, ambaye anajitetea mwenyewe kwenye kesi hiyo, ambapo miongoni mwa mapingamizi hayo aliyoyawasilisha mwishoni mwa juma lililopita ni pamoja na lile linalohusu kupinga Mahakama kupokea 'Flash Disk' na 'Memory Card' kama kielelezo kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kuendelea leo Oktoba 22, 2025, Mahakama kutoa uamuzi mdogo, shahidi wa 3 wa jamhuri kutoa ushaidi wake

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu inaendelea tena leo, Jumatano Oktoba 22.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kama ilivyo kawaida chini ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Danstan...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Huyu shahidi wa tatu wa Jamhuri ana umuhimu gani katika hii kesi ya uhaini dhidi ya Lissu?

    Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video. Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama yanaviashiria vya uhaini. Mimi naona kinachofanyika hapo mahakamani ni mbwembwe tu na kupotezeana...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiendelea kumbana shahidi maswali Kesi ya uhaini leo Mahakamani - Oktoba 15, 2025

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Oktoba 15, 2025. Last time tuliishia part 101 so leo tunaendelea na Part 102 Leo Tarehe 15/10/2025. Mheshimiwa Tundu Lissu ameingia Mahakamani. Amesimama Kizimbani anauliza Polepole amepatikana na Mama anasemaje si Balozi wake? Majaji wameingia na Shahidi nae...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Tundu Lissu: Pingamizi la Jamhuri lagonga mwamba

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mapema leo, Jumatatu Oktoba 13.2025 imetoa 'uamuzi mdogo' kufuatia pingamizi lililokuwa limewekwa mwishoni mwa juma lililopita na upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alivyofikishwa Mahakama kuu leo Oktoba 13, 2025 kuendelea na mahojiano na shahidi wa pili

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam tayari msafara uliombeba Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu umefika kwenye viunga vya Mahakama hiyo, kwaajili ya kuendelea na mwendelezo wa kesi ya uhaini inayomkabili kwa ratiba ya leo, Jumatatu Oktoba 13.2025 Kesi hiyo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini Uganda inarushwa mubashara ktk TV. Kwanini kesi ya TAL hairushwi mubashara na TV za Tanzania?

    ..kichwa cha habari chahusika. ..kesi ya uhaini inayoendelea Uganda inarushwa na TV zao mubashara. ..kesi ya uhaini inayomhusu TAL hapa Tanzania ilianza kurushwa mubashara. ..lakini katika mazingira na sababu zisizoeleweka Mahakama ya Tanzania imekatisha kesi ya uhaini ya TAL kurushwa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya uhaini ya Lissu kuendelea leo Oktoba 10, 2025, Mshitakiwa kumuuliza maswali ya dodoso shahidi wa 2 Inspekta wa polisi John Kaaya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu tayari amepandishwa kizimbani kwenye chumba namba moja (1) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Oktoba 10.2025 kwaajili ya kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili Kesi hiyo ambayo inasikilizwa kwa mfululizo Mahakamani...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu afikishwa tena mahakamani leo Oktoba 9, 2025, Mawakili wa Jamhuri kumuhoji shahidi namba moja wa Jamhuri

    Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefikishwa mahakamani katika Kesi hiyo ambayo mshtakiwa anajitetea mwenyewe, leo imekuja kwaajili ya Mawakili wa Jamhuri kumuhoji 're-examination' shahidi namba moja (1) wa Jamhuri ACP George Willbert Bagyemu baada ya mshtakiwa kumaliza kumuhoji maswali ya...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu aendelea kumbana maswali magumu Afande George katika kesi ya Uhaini dhidi yake na Jamhuri

    Part 74 Mhe. Lissu: Je unafahamu December 2020 mshitakiwa alipata tuzo inayoitwa BushThetcher Award for freedom kwasababau ya kupigania haki za binadamu? George: Sifahamu Mhe. Lissu : Je unajua mwaka jana TLS walimtunukia tuzo kwa utumishi wake ndani ya Chama cha Mawakili Tanganyika...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Wawakilishi wa Marekani na New Zealand wazuiliwa kuingia kwenye kesi ya Tundu Lissu

    Leo Oktoba 6, 2025 katika mwendelezo wa usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Jeshi la Polisi limewazuia, Mwakilishi wa Balozi wa Marekani na Mwakilishi kutoka Newsland kuingia ndani ya mahakama kwenye kesi ya Mh. Tundu Lissu. Soma CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu ataja mashahidi 15 kwenye kesi yake ya uhaini. Wamo Rais Samia, Mpango, Majaliwa, Jaji Mutunga na Martha Karua

    Shahidi wangu wa 1 ni Samia Suluhu Hassan. Huyu anapatikana Ikulu ya Kivukoni. Akikosekana anapatikana Ikulu ya Dodoma. Shahidi wangu wa 2 anaitwa Philip Isdor Mpango. Huyu anapatikana ofisi ya makamu wa Rais, mji wa Serikali Dodoma. Shahidi wangu wa 3 anaitwa Kassim Majaliwa Kassim. Huyu...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Upande wa Jamhuri walalamikia taarifa za Upotoshaji kuhusu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

    Upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeiomba Mahakama Kuu kupima maneno na taarifa zinazoripotiwa na vyombo vya habari, wakidai baadhi yake ni za upotoshaji na zinavunja hadhi ya Mahakama. Soma > Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Majaji wa Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu, wanatosha? Wanatenda haki?

    Kwa kusiliiza hoja za mawakili wa serikali na hoja za Lissu, majaji wa hii kesi kweli wanatenda haki kwa hii kesi kuendelea kuwepo mpaka muda huu? Kwa maneno mengine, majaji hawa wanatosha,? Labda niulize: Je, maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kwa kesi za aina hii zilizotangulia, hayatoshi kufuta...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu akifikishwa Mahakamani kuendelea na Kesi ya Uhaini leo Septemba 18,2025

    Leo, Alhamisi Septemba 18.2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu inaendelea tena kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam Leo Jamhuri itaanza kujibu mapingamizi mawili yaliyowekwa na Tundu Lissu, ikiwemo pingamizi linalohusu uhalali wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenendo wa kesi ya uhaini umenipa sababu ya kuipuuzia sheria

    Tangu Kisutu hadi mahakama kuu nikifuatilia hii kesi ya uhaini nimefikia hitimisho kuwa kinachofanyika ni figisu tu. Lugha ngumu, mabuku makubwa, muda mwingi kupotea, na mavazi yenye madoido mengi, n.k. Fikiria mtu anajenga hoja na kujenga hadi unaziona lakini watu wanateta kando kisha wanasema...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini wa Tundu Lissu: Jaji Danstan Ndunguru na wenzako mtaibeba Jamhuri kinyume cha sheria hadi lini? Jiokoeni na mjiepushe la laana ya Mungu

    DCI Ramadhani Kingai na polisi wake, DPP na mawakili wake wa walichokiira "Kesi ya uhaini wa Tundu Lissu" wakiongozwa na wakili wa Jamhuri Nassoro Katuga na Hakimu Franco Kiswaga wa Kisutu Magistrate Resident Court mpaka hapa tulipo, walipaswa kuwa wamekula pingu na kuwa gerezani kwa makosa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…