kesi ya uhaini ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Kinachomponza Tundu Lissu ni Akili. Mmeamua kufungia Akili yake ndani ya Gereza

    Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hapaswi kulazimishwa kuomba msamaha ili aachiwe huru, akisisitiza kuwa hana kosa linalohitaji msamaha. Soma: Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza Akizungumza na waandishi wa habari...
  2. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza

    Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ametoa wito wa kuachiwa huru kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akidai kuwa hana hatia na kwamba amekuwa akizuiliwa kutokana na misimamo na uwezo wake wa kujenga hoja. Akizungumza na waandishi wa habari, Julai 14, 2026, Msigwa amesema Lissu amekaa...
  3. JamiiForums Tanzania Selasini: Watanzania waseme watakavyo, lakini namsihi Rais Samia asimwachie Lissu kwa shinikizo la nje

    Kada wa CHADEMA, Joseph Selasini, amemshauri Rais Samia kutafuta suluhu ya kisiasa katika suala linalomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisisitiza kuwa hatua yoyote ya kumaliza sakata hilo isifanyike kutokana na shinikizo la jumuiya za kimataifa bali kwa maslahi ya taifa. Selasini...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kama walikuwa wanataka kunikondesha, watafute utaratibu mwingine

    Tundu Lissu akiwa mahakamani, amesikika akisema; "Kama walikuwa wanataka kunikondesha, watafute utaratibu mwingine!" Mwenendo wa Kesi ya Uhaini >> Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu ameiomba Mahakama ya Rufani kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Mkurugenzi wa Mashtaka DPP na amlipe fidia kwa ucheleweshaji wa shauri lake. Lissu amesema hayo mbele ya Majaji watatu wa rufani Shimiwa Mwarija...
  6. JamiiForums Tanzania Lissu alivyopandishwa Kizimbani Mahakamani

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amepandishwa kizimbani katika Mahakama kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Ijumaa Julai 3, 2026, ambapo anatarajiwa kuchuana na jopo la mawakili wa Serikali kwa hoja za kisheria wakati wa usikilizwaji wa shauri...
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Lissu kuendelea kusalia Gerezani haina afya, Nchi haiwezi kutulia bila maridhiano

    Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amebainisha kuwa nchi haiwezi kupata utulivu wa kweli wa kisiasa ikiwa hakuna maridhiano ya dhati, huku akisisitiza kuwa kuendelea kusalia gerezani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, hakuna afya kwa ustawi wa taifa. "Na nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Tibajuka: Kesi ya Lissu inaendeshwa polepole, haifurahishi, namshauri Rais hii haina maslahi kwetu

    Profesa Anna Tibaijuka amesema haridhishwi na mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akieleza kuwa mchakato wake unaonekana kwenda polepole kuliko matarajio ya wengi. "Tundu Lissu kwanza alikamatwa, yaani alishtakiwa, yuko polisi, tunamwona. Wakati mwingine kesi yake tunamwona...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mjumbe CCM, Buluba: Mimi nipo upande wa Tundu Lissu aachiwe huru, hili suala linatuchafua sana kama Taifa

    Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Buluba Mabelele, ametoa msimamo wake kuhusu sakata la mwanasiasa wa upinzani, Tundu Lissu, akieleza kuwa yuko upande wake na anatamani kuona anaachiwa huru ili arejee kwenye maisha ya kawaida ya uraiani. Buluba amebainisha kuwa nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Kesi ilihairishwa ili Lissu apewe option 2. Apewe stahiki zote kukaa gerezani (5B) au awekwe under home arrest kwa Mwaka Mzima, bado ni kizungumkuti

    Nipata Mawasiliano ya mtu mzito CCM amenambia Lissu amekaba hoja zote hawana jipya, leo ilikuwa afikishwe Mahakamani lakini Jana nilivyodekeza sehemu Dawati la Ikulu wakiwa na watu wanne wa upande wa Magereza 1. Jeremiah Yoram Katuma 2. Emmanuel Malisa, 3. Edith Mbogo Ndani ya ukumbi wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Jeshi la Polisi lipuuze taarifa za uongo za Polisi zinazodai CHADEMA itafanya vurugu kumuokoa Lissu

    Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika, akizungumza na Vyombo vya habari kuelekea kusikilizwa Kesi ya Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kesho Juni 11, 2026 Mahakama ya Rufaa, ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuacha taarifa za uongo zinazoendelea ndani ya Jeshi...
  12. JamiiForums Tanzania Tunaomba Haki itendeke kwa Tundu Lissu kama ni kusota Mahabusu kasota vya kutosha, HAKI itendeke kwake fafadhalini sana

    Kama kukaa mahabusu amekaa vya kutosha huyu TAL ni mtu mwenye familia tunaomba HAKI itendeke kama ana makosa basi sheria ifuate mkondo wake. Imetosha kueni na huruma hii dunia tunapita walikuepo watu maarufu viongozi, wakina Mandera, Nyerere lakini leo hatuko nao duniani ni sehemu ya kupita...
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nakwenda kuwashughulikia huko huko Mahakama ya Rufaa

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu iliyokuwa inaendelea Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka pale shauri la mapitio lililowasilishwa Mahakama ya Rufaa na jamhuri kukamilika. Leo Februari 24, 2026 baada ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mawakili wa Jamhuri hawajarudi kwenye chumba cha Mahakamani kuendelea na Kesi

    Wakuu Inadaiwa mawakili wa Jamhuri hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani mpaka muda huu. Karani amesimama na kuseeleza kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa msajili wa mahakama na atarudi kuleta mrejesho. Mwenendo wa Kesi > Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi...
  15. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi la Jamhuri la kuongeza ushahidi

    Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo. Yaliyojiri Mahakamani; Kesi ya Lissu: Mahakama kujadili ombi Jamhuri kuongeza ushahidi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wataka Serikali ya Tanzania kumuachia Tundu Lissu. Wasema kushikiliwa kwake ni batili

    Kundi Kazi la Umoja wa Mataifa kitengo kinachoangazia, Kuwekwa Kizuizini Kinyume cha Sheria ( Arbitrary Detention ), limeeleza kuwa kufungwa kwa Kiongozi wa Upinzani Tanzania, Tundu Lissu, ni kinyume cha sheria na limetaka aachiliwe mara moja. Katika maoni yake yaliyopitishwa katika kikao cha...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mahakama ikikubali kupokea Notisi inayoongelea mauaji ya 29/10, itabidi watuambie nani aliruhusu Watanzania kuuawa

    Waheshimiwa Majaji, Wanataka tuzungumze mambo ya October 29 mtakuwa mmefungulia balaa jingine na isije ikawa shida. Mkifungua huo mlango tutaenda huko. Tutazungumzia mauaji ya kimbali na tutaulizana nani aliyeua watanzania. Hii kitu haina mashiko. Are they ready? Mimi niko tayari. Isiruhusiwe...
  18. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mahakama kujadili ombi Jamhuri kuongeza ushahidi wa ziada leo Februari 23, 2026

    Leo Februari 23, 2026 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ambapo kwa leo upande wa mashtaka unatarajiwa kuwasilisha maombi ya ushahidi wa ziada kisha ushahidi kuendelea. Tayari Lissu...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Mkude: Kesi inajadiliwa kwenye mitandao ya kijamii, mashahidi wanaitwa waongo. Hatukatazi kesi ijadiliwe lakini isiathiri mwenendo wa kesi

    Wakuu, Baada ya media kuanza kuripoti kinachoendelea mahakamani na statements wanazotoa mashahidi kuchekesha na kuonekana ni za ajabu ajabu jamaa wameona sasa waanze kubana na kukataza hizo proceedings za kuripotiwa Jamaa wanakaba kila sehemu ========= Mhe Lissu: Siku ya jana tuliambiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atinga na bakuli la chakula Mahakamani

    Wakuu Leo Lissu ametinga na chakula kizimbani na kusema maneno haya, "Una chakula cha kutosha kila kheri" Wakili Peter Kibatala akizungumza na Lissu kabla ya kesi kuendelea hapa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…