Wakuu,
Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa na Mahakama hadi kesho Februari 19 saa tatu asubuhi.
Upande wa Serikali uliieleza Mahakama kuwa una shahidi mmoja tu kwa siku hiyo, hali iliyosababisha kuomba kuahirishwa kwa shauri...