kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    Shahidi wa ziada kesi ya Lissu ASP Mahamba kumbe ni marehemu

    Wakuu huu ujumbe nimeuona kwenye ukurasa wa Malisa Gj kwenye mtandao wa thread. Umenitafakarisha sana. Hivi kwanini upande wa Jamhuri kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu wana mambo ya ajabu hivi? Akaandika Malisa Kada maarufu wa CCM wilaya ya Kinondoni, Mkamiti Mohamed amedai kuwa ACP Mohamed Said...
  2. Idugunde

    Jaji Masaju kama mahakama ni chombo huru kwa nini kiendelee kusikiliza kesi ya Lissu ambayo haina mashiko?

    Mahakama ina mamlaka ya kuondoa kesk pale inapoona hakuna mashiko ya kiushahidi. Leo hii mnalazimisha kusema kuwa watu mil 60 walioangalia video ya Lissu walihamasika kukinukisha na mahakama inapoteza muda kusikiliza ushahidi huu. Kwa nini mahakama yako isitumie busara na kuiondoa hii kesi kwa...
  3. Idugunde

    Idu nacheka ninapofuatilia kesi ya Lissu. Kwamba mtuhumiwa anawafundisha waendesha mashitaka nini cha kufuata kisheria!

    Nakunywa zangu balimi huku nachanganya na Konyagi ndogo. Mtuhumiwa wa kosa la uhaini anatoa shule kwa mawakili wa serikali. Kwamba ushaidi mpya ni tofauti na ushahidi wa nyongeza. Hawa mawakili wa serikali wanalipwa mshahara kwa kodi za mkulima kama Idugunde
  4. Mkalukungone Mwamba

    Mahakama Kuu yasimamisha usikilizwaji wa kesi ya Lissu, baada ya Jamhuri kufungua shauri la mapitio

    Mahakama Kuu imesimamisha usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu baada ya Jamhuri kufungua shauri la mapitio Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi wa mahakama hiyo kutupilia mbali notisi yake ya kuwasilisha ushahidi mpya katika kesi hiyo. Soma Pia: Tundu...
  5. Waufukweni

    Kesi ya Lissu: Mawakili wa Jamhuri hawajarudi kwenye chumba cha Mahakamani kuendelea na Kesi

    Wakuu Inadaiwa mawakili wa Jamhuri hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani mpaka muda huu. Karani amesimama na kuseeleza kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa msajili wa mahakama na atarudi kuleta mrejesho. Mwenendo wa Kesi > Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi...
  6. Q

    Kesi ya Lissu: Mahakama yatoa uamuzi wa kutoruhusu ushahidi wa nyongeza.

    Jana Lissu alimwambia Katanga asimfundishe sheria. Jaji Ndunguru anasema, Mahakama imeona hoja inayopaswa kuamuliwa ni je notice hiyo ipo kwa mujibu wa sheria? Ili kurahisisha Mahakama imeona ili reproduce notice hiyo inavyosema. Anasoma notice inavyosema kwamba ni notice ya kuongeza...
  7. Waufukweni

    Kesi ya Lissu: Mahakama kujadili ombi Jamhuri kuongeza ushahidi wa ziada leo Februari 23, 2026

    Leo Februari 23, 2026 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ambapo kwa leo upande wa mashtaka unatarajiwa kuwasilisha maombi ya ushahidi wa ziada kisha ushahidi kuendelea. Tayari Lissu...
  8. Q

    PostGE2025 Matokeo ya Kesi ya Lissu na Tume ya Chande YANAJULIKANA, anayetegemea tofauti labda haijui Tanzania

    Jamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu, kuliko kumdhalilisha Samia watasema DPP hana nia ya kuendelea na kesi. Tume ya Chande haina kazi ya...
  9. Mindyou

    PostGE2025 Brenda Rupia: Wanapoteza kodi za Watanzania kwa kesi ya mchongo. Mashahidi hawajui kesi inahusu nini

    Wakuu, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA), Brenda Rupia ameyasema hayo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari, leo Februari 21, 2026.
  10. ngara23

    Wataalam wa sheria tusaidie kuhusu kesi ya Lissu, maelezo ya mahakamani yakitofautiana na Yale ya polisi inaweza kuathiri maudhui ya ushahidi?

    Binafsi Niko hapa kupata elimu kidogo juu ya mambo ya kisheria Nimeona kesi ya Lissu akiwahoji mashahidi upande wa serikali, ila zaidi amekuwa akiwahoji kuhusu utambulisho wao na maelezo Yao ya awali waliyotoa police, na dhahiri yameonekana Kuna tofauti kubwa Naomba kuuliza ikiwa police...
  11. McLaren

    Shahidi wa siri (P9) apata kigugumizi kuhusu kazi anayoifanya. Maelezo ya Polisi kasema mkulima, kizimbani kasema Fundi Umeme

    Wakuu, Mko wapi? Naona shahidi amepata kigugumizi huku. Alichoandika kwenye maelezo ya polisi na kile ambacho amejibu hapo kwenye kizimba cha siri ni vitu viwili tofauti. Soma Pia: Shahidi wa Kesi ya Lissu (P7): Nauli ya kuja mahakamani leo nimepewa na mwanamke wangu. Ndiye ananiweka mjini...
  12. Waufukweni

    Kesi ya Lissu: Shahidi Coplo Vicent akiri Mahakamani, hakuandika kituo anachofanyia kazi, kwenye Maelezo yake ya Polisi

    Mhe. Lissu anaendelea na Cross examination. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba uwaeleze waheshimiwa Majaji kama niliyoyasoma yanalingana na maelezo yako ya police. Coplo Vicent: ndiyo yanalingana. Mhe.Lissu: Sasa shahidi naomba nikupitishe kwenye Maeneo ambayo nataka nikuhoji. Mheshimiwa Lissu...
  13. M

    Katuga unajisikiaje?

    Ukiwa upo katika swaumu huku ukiwapngoza mashahidi kesi ya Lissu?
  14. McLaren

    PostGE2025 Shahidi P3 kwenye kesi ya Lissu: Sijui utanijuaje ila mimi ni MwanaCHADEMA. Sijaorodheshwa kwenye chama. CHADEMA ni imani

    Wakuu, Haya ndugu zangu huyu shahidi yeye anasema CHADEMA ni IMANI kwa hiyo hana kitambulisho wala kielelezo chochote kuwa yeye ni mwanachama Hivi wameshindwa hata kutengeneza kitambulisho ambacho angepewa jaji kama ushahidi kuwa huyu ni Mwana CHADEMA? =========== Mhe. Lissu: nataka nikuhoji...
  15. Mindyou

    PostGE2025 Februari 19: Shahidi wa kwenye kesi ya Lissu ashindwa kusoma PGO ya Polisi iliyoandikwa kwa Kiingereza. Lissu amjibu!

    Wakuu, Hivi inakuwaje Polisi hajui kusoma PGO ya kiingereza? Au huyu shahidi hakutaka kujibu swali la Lissu =========== Mhe.Lissu: Mhe.Jaji naomba shahidi apewe PGO Mhe.Lissu: Shahidi soma PGO 236. Coplo Vicent : hii PGO ni ya kingereza siwezi kusoma. Mhe.Lissu: Wambura ameandika kingereza...
  16. McLaren

    PostGE2025 Wakili Mkude: Kesi inajadiliwa kwenye mitandao ya kijamii, mashahidi wanaitwa waongo. Hatukatazi kesi ijadiliwe lakini isiathiri mwenendo wa kesi

    Wakuu, Baada ya media kuanza kuripoti kinachoendelea mahakamani na statements wanazotoa mashahidi kuchekesha na kuonekana ni za ajabu ajabu jamaa wameona sasa waanze kubana na kukataza hizo proceedings za kuripotiwa Jamaa wanakaba kila sehemu ========= Mhe Lissu: Siku ya jana tuliambiwa...
  17. McLaren

    Februari 18: Lissu alivyombana shahidi wa siri P7 kuhusu maelezo aliyoyatoa polisi. Kila kitu anasema hapana

    Wakuu, Kwa aliyeelewa maelezo ya shahid naomba anieleweshe. Kajikanyaga mno Lissu alimtaka shahidi aonyeshe kama baadhi ya kauli alizodai zilisemwa kijiweni kwao ikiwemo madai kuhusu Chadema kuzuia uchaguzi, polisi kuiba kura na majaji kuwa vibaraka wa CCM zilikuwa zimeandikwa kwenye maelezo...
  18. McLaren

    PostGE2025 Kesi ya Lissu imeahirishwa hadi kesho Februari 19 baada ya Serikali kuwa na shahidi mmoja tu

    Wakuu, Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa na Mahakama hadi kesho Februari 19 saa tatu asubuhi. Upande wa Serikali uliieleza Mahakama kuwa una shahidi mmoja tu kwa siku hiyo, hali iliyosababisha kuomba kuahirishwa kwa shauri...
  19. Mindyou

    PostGE2025 Shahidi wa kesi ya Lissu (P7) anasema alikamatwa mara tu baada ya kuangalia video ya Lissu iliyokuwa Jambo TV

    Wakuu, Huyu shahidi anasema mara tu baada ya kuangalia video ya Jambo TV kuhusu kauli ya Lisu kuwa atakinukisha, alifuatwa na Polisi na kukamatwa na kisha akapelekwa kwa RCO ambapo alipewa kosa la kutaka kuanzisha fujo. Does this make sense? ======================= Wakili: Tarehe 03/04/2025...
Back
Top Bottom