kesho

Kesho Yvonne Scott (born 1953) is associate professor of American Studies and Sociology at Grinnell College. Scott received her M.A. in political sociology at the University of Detroit and received her Ph.D. in American Studies from the University of Iowa in 1988. After receiving her doctoral degree she became Distinguished American Studies Scholar in Residence at Pennsylvania State University in Harrisburg (1989), visiting professor at Nanjing University in China (1994), and Fulbright visiting professor at Addis Ababa University in Ethiopia (2001–2002). Scott's interests include black women in America, multiculturalism, and unlearning racism.
She is the first African-American woman to receive tenure at Grinnell.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chuma cha Kizambia 'Baba wa Pasi za Upendo na Mpenyezo' keshatua nchini Kesho Kutambulishwa na kuwemo Safari ya Mbeya

    Pape Ousmane Sakho, Kibu Denis na Medie Kagere watafunga Magoli mpaka Watachoka kwani mwenye Pasi zake na Fundi wa 'Miauta' Raia wa Zambia ameshatua nchini. Kuna Watu sasa naona ile nia yao ya Ubingwa inaenda Kutoweka na tayari Coastal Union FC ya Tanga wameshaapa, kulishana Yamini na kusoma...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hotuba yako imejitoshela ila naomba nikosoe maeneo mawili Kwa kesho nzuri ya Tanzania

    Naomba kukupongeza Kwa hotuba nzuri inayoeleza kinaga ubaga umefanini na unategemea kufanya Nini huku ukiweka wazi vyanzo vyote vya fedha Kwa Kila mradi, nimependa umekuwa wazi kuonyesha namna tunavyohitaji mahusiano yakimataita kujenga uchumi Pamoja na hotuba nzuri nimejisikia vibaya kusikia...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kesho kama ada tukutane Mahakamani

    Kwenu makamanda watukuka mnaoyaweka matumaini yetu ya kesho bora kuendelea kuwa hai. Kwa mara nyingine, pamoja na kutotegemea dodo kwenye mnazi, wale tutakaoweza tukutane mahakamani "Law School of Tanzania," kesho. Ikumbukwe mheshimiwa Jaji Tiganga ikimpendeza, analo angalizo letu la wazi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya kesho tarehe 08.01.2022

    Kutokana na matukio ya leo tar 07 Jan 2022 unatabiri vichwa vya habari kesho vitakuwaje?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaohitaji usafiri wa Coster kesho asubuhi kwenda Dodoma na kurudi

    Kwa wanao hitaji usafiri wa kwenda Dodoma na coaster kesho asubuhi booking na sisi 0682373327, wahi mapema siti zipo chache.
  6. 5

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ni Babkubwa Rais Samia Visiwa vya Karafuu Pemba Januari 7, 2022

    Mapokezi ni babkubwa Mama yetu Mkuu wa Nchi na Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania nzima Mama Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Rasmi atatua Visiwa vya Karafuu kule Pemba kwa ajili kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Karibu Mama Jemedari Mkuu, Umethubutu...
  7. JamiiForums Tanzania Tabiri vichwa vya habari vya magazeti ya kesho

    Kufatia sakata linaloendelea sasa nchini, hebu tabiri vichwa vya habari katika magazeti ya kesho
  8. JamiiForums Tanzania Lissu: Kila Mtanzania tarehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365

    Kila Mtanzania: Kila mkulima, kila mfugaji, kila mfanya biashara, kila mfanya kazi, kila machinga, kila kiongozi wa dini, kila kiongozi wa siasa, kesho ratehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365!
  9. JamiiForums Tanzania Wakristo tunaosheherekea 'Krismasi' Kesho kwa 'Yesu Kristo' Kuzaliwa 'Zizini' na 'Unyenyekevu' wake tunajifunza nini?

    Kama huyu Yesu Kristo ambaye tunamsheherekea Kesho ( Krismasi ) alizaliwa Kimasikini Zizini ( Kraal ) ila bado akakubali Kufa kwa ajili yetu, anatuombea 24/7 na ni Mnyenyekevu asiye na Majivuno pia ni kwanini Sisi Wakristo akina GENTAMYCINE tumekuwa ni Watu wa Viburi, Jeuri, Nyodo, Maringo...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya Dotto 'Kuchomoa' Bukoba huenda Leo na Kulwa nae 'akachomoa' huko Sumbawanga

    Taarifa za ndani kabisa ambazo GENTAMYCINE nimezipata ni kwamba hili la Ugonjwa ni sababu tu ila tatizo ni Uvaaji wa Nenbo ya akina 'Samjo Samjo' GSM. Inasemekana kuwa endapo Simba SC jana ingecheza bila Nenbo ya akina 'Samjo Samjo' GSM basi TFF ingeshtakiwa nao kwa Kukiuka taratibu za...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Kesho shahidi J4 Kizimbani na Kielelezo Chake Tata

    Kesho tutakuwapo kukipokea kile kielelezo kisichojulikana kilivyomfikia Jumanne mahakamani tokea alipomwachia Inspector Swilla. Pamoja na kuwa kina kurasa 2 na ni ukurasa wa kwanza pekee ulio na sahihi, mchumi wa maneno aliyedhamiria anaweza kutatizika vipi hata kwenye hali tata kama hizo...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ni mind game kesho mtu anakufa Kama kasimama

    Yanga ni zaidi ya mbumbu watu walishajua kuwa nyie mnapenda skendo za nje ya uwanja ndio maana Simba wameamua kuwachezea mind game ili Yanga mconcetrate na ya Simba kususia mechi msahau maandalizi
  13. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole aomba ukumbi wa LHRC afanye mkutano na waandishi wa habari Desemba 11

    Dunia hadaa ulimwengu shujaa, Humphrey na kundi lake la mwendazake walikuwa na mkakati maalum wa kuua mashirika yanayopigania haki za binadamu, walifikia hata kufunga akaunti zao, kesho kaomba ukumbi afanye mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu...
  14. JamiiForums Tanzania Ricardo Momo: Simba anashinda kesho

    Mchekeshaji wa kipindi cha michezo cha Sports Arena kupitia Wasafi Fm Ricardo Momo anasema kutokana na elimu ya nyota aliyonayo ameona jinsi ambavyo Simba kesho anaenda kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga! Muda wa mechi pia unaibeba Simba kuliko Yanga katika masuala ya nyota! Aliongeza Ricardo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simba naona wanatafuta gap la ku-escape mechi ya kesho

    Simba leo wamekataa kuzungumza na vyombo vya habari kwa sababu kwenye bango la TFF waliloliandaa ilikuwepo nembo ya GSM, sasa najiuliza swali dogo tu je kesho wakiyakuta mabango ya GSM uwanjani wataingiza timu uwanjani au hawatoingiza timu? Na wasipoingiza timu kitakachofuata ni kipi, ni mechi...
  16. JamiiForums Tanzania Wakulima hawapaswi kusherekea sherehe za Uhuru Desemba 9

    Wakulima wanahali mbaya kuzidi hata enzi za mkoloni. Uhuru wao bado kufika. 1. Wakati wa mkoloni kulikuwa na bodi za mazao, lengo lake ilikuwa ni kupanga bei na kumnyonya mkulima. Tulipopata uhuru zikaendelea na kuwekwa kitu kingine kinaitwa vyama vya ushirika. Hivi vinanunua mazoa kwa bei ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tumia vizuri muda na rasilimali ulizonazo,hujui kesho yako itakuwaje

    Iogope sana kesho yako maana huijui ikoje, Leo umeshaiona na madhaifu yake umeshayaona ,kesho huijui huenda ukaamka upo hoi kitandani au ukapata ajali ambayo itakupa ulemavu wa kudumu.
  18. JamiiForums Tanzania Karibu Tanganyika Packers Kawe Desemba 4, 2021 uje ujionee 'Maajabu' ya Kuuaga mwaka 2021

    Huku Mwalimu Mchungaji Mwakasege anaendelea na OKOKA Concert yake na kule EFM Radio wanaendelea na KOMAA Concert yake. Kwa 'Sound' la uhakika lililosetiwa vyema kujiandaa na KOMAA Concert ya EFM Radio Tanganyika Packers Kawe Kesho ambalo nimetoka Kulisikia kuna uwezekano mkubwa 95% ya Waumini...
  19. JamiiForums Tanzania Mtani wangu Kocha Minziro wa Geita Gold FC acha Kuzurura hovyo Usiku huu, kalale Kesho Unafungwa tu hata 'mroge' vipi

    Halafu hiyo Gari aina ya Harrier Nyeusi kila mara tu inakuja hapo Hotelini Kwenu inajulikana ni ya GSM inafuata nini ikiwa na hao Wazee Watatu na huyo Mmoja ana Mguu mbovu anaishi Mbagala Charambe? Kocha Minziro endelea tu Kudanganywa na hao Watu wako wa Yanga SC ila nikuonye mapema Simba SC...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali iache mzaha; kuruhusu watoto waliopewa mimba kurudi shule ni anguko la taifa la kesho

    SERIKALI IACHE MZAHA; KURUHUSU WATOTO WALIOPEWA MIMBA KURUDI SHULENI KUSOMA NI ANGUKO LA TAIFA LA KESHO. Anaandika Robert Heriel. Naiomba serikali, viongozi wakubwa msikie Jambo hili, tena msifanye mzaha. Huruma huruma za ajabu ajabu katika baadhi ya ishu ni hatari Kwa ustawi wa taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…