Habari.
Ni masikitiko makubwa kwamba maeneo ya Ilala Gorofani, Sokoni, Bungoni, Sharif shamba, Karume, Mchikichini hayana maji safi Kwa zaidi ya mwezi mmoja Sasa.
Cha ajabu ukipiga simu huduma Kwa wateja Dawasa hakuna jibu unalopewa au hawapokei simu kabisaa. Magufuli japo alikuwa ni...