kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Ubovu wa Katiba kumuondoa madarakani naibu wa Rais Kenya

    Ni baada ya kuonekana akimuhujumu Rais, akihubiri na kuchochea chuki na migawanyiko ya kisiasa yenye mirengo kikabila na upendeleo wa watu wa kabila na eneo lake la Milima Kenya. Naibu wa Rais amekiuka sheria na misingi ya kikatiba ya Kenya ya kua nembo ya umoja wa Taifa na kiunganishi cha...
  2. Ruto asema uwepo wa Starlink nchini Kenya umefanya Mitandao ya Simu iboreshe huduma za Intaneti

    Rais William Ruto, amesema amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa Watoa Huduma za Simu nchini humo tangu Serikali iliporuhusu uwekezaji wa kampuni ya #Starlink inayotoa huduma za Intaneti kwa njia ya Setilaiti. Kwa mujibu wa Mtandao wa Citizen Digital, Septemba 23, 2024, imeelezwa kuwa...
  3. Heroic Action by British SAS Operator During Nairobi Terror Attack

    In 2019, during a coordinated attack on civilians in the Westlands District of Nairobi, Kenya, this unidentified British SAS operator, who happened to be in Kenya to conduct training, rushed in to help, escorting groups of hostages, carrying wounded civilians, and killing two of the five...
  4. F

    GEN_ wananyoosha Kenya, wasiojulika wana run Tanzania

    GEN-Z WANANYOOSHA KENYA, WASIOJULIKANA WANA-RUN TANZANIA DESEMBA 9, 1961, Tanganyika ilipopata uhuru, Watanganyika wote walisherehekea kuwa huru. Baba wa Ali Kibao, babu wa Deusdedith Soka na bibi wa Ben Saanane, walikuwa juu kabisa kwenye wingu la tisa, kwa furaha. Uhuru ni chemchemi ya utu...
  5. L

    Bwawa la Thwake lililojengwa na China nchini Kenya, laua ndege wawili kwa jiwe moja

    Changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi inaendelea kuleta madhara makubwa kwa jamii za Kenya, iwe ni mafuriko wakati wa mvua kubwa, au ukosefu wa chakula baada ya mafuriko kuathiri uzalishaji wa chakula, na hata ukosefu wa umeme baada ya miundombinu ya usambazaji wa umeme kuharibiwa kwenye...
  6. Wasomali wana nia ya kuinyakua Kenya kwa kuzaliana?

    Wasomali wamejipanga Kufikia 2050 kenya itakua somalia au itaongozwa na wasomali kwene kila nyanja. Na itadi yao inaongezeka. Wana kauli yao ya kusema: “Nyie kazaneni na siasa sisi tunakazana kitandani” Asante kwa mbinu zao za kuzaliana naona zina leta matunda.
  7. B

    TBT: Mwaka 1985 Scotland Yard walikuja Tanzania kuchunguza BOT na 1990 walikuja Kenya kifo cha Waziri Dr Robert Ouko

    Tujikumbushe matukio muhimu yaliyotokea hapo awali ktk nchu yetu na majirani zetu Pia. Pamoja na mambo mengi yanayozungumzwa kuhusu msala huu wa Utekaji, utesaji, upoteaji na mauwaji ya Raia ambayo yameshika kasi ktk nyakati hizi ni wazi sasa tunaweza kuswma yafuatayo. 1. Mh Rais Amiri Jeshi...
  8. D

    Star link now in Kenya

    Starlink now providing Nairobi City Hall with reliable internet with speeds ranging between 120 Mbps and 200 Mbps – The Starlink system provides both redundancy during primary network outages and handling of higher data loads. 🇰🇪 “We are excited to announce the integration of Starlink...
  9. KENYA: Ujio wa Starlink utasaidia Safaricom na wenzake kuboresha intaneti

    Ujio wa Starlink utasaidia Safaricom na wenzake kuboresha intaneti – – Mkuu Mpya Mteule wa CAK MKURUGENZI Mkuu mteule wa Mamlaka ya Ushindani Nchini (CAK) David Kemei amewahakikishia Wakenya kwamba atazima mjadala kuhusu kampuni ya kutoa huduma za intaneti ya Sterlink baada ya Bunge...
  10. Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

    Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu? Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
  11. Swahili Teacher from Tanzania and Kenya

    Location: Horizons College of Learning and Enrichment, Australia Position Type: Full-time Salary:Competitive, based on experience and qualifications Application Deadline: 30/10/2024 Job Summary: Horizons College of Learning and Enrichment is seeking a dedicated and enthusiastic Swahili...
  12. Rais wa Msitu

    Hadithi ya Uongozi na Mamlaka Katikati ya msitu mkubwa wa kijani kibichi, ambapo miti mirefu hufichua siri na mito hukata njia kupitia ardhi, kuna ufalme wa kipekee – ufalme wa wanyama. Dunia hii, inayoongozwa na sheria zake za asili na kuishi, ilijikuta ikihitaji kiongozi. Hivyo ndivyo hadithi...
  13. B

    Prof. Tibaijuka Reminisces the 2008 Kenya Election Crisis: 'We Were Calling Him General Ruto"

    14 September 2024 Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=aWUM2rPAnoU Prof. Tibaijuka Reminisces the 2008 Kenya Election Crisis: 'We Were Calling Him General Ruto" Retired diplomat and veteran Tanzanian politician, Prof. Anna Tibaijuka, has warned that election observers often...
  14. G

    Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

    Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!, Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya...
  15. Kenya: Kanisa lapewa onyo kwa kupiga kelele usiku, waenda na kipimo alfajiri

    Baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa raia Mkuu wa Idara ya Mazingira Geoffrey Mosiria, ameliomba moja ya kanisa nchini Kenya, kudhibiti kiwango cha kelele ili kuepuka usumbufu kwa jamii. Mosiria amesisitiza umuhimu wa kanisa hilo kuhakikisha kuwa viwango vya kelele vinazingatia sheria na...
  16. K

    Sio aibu kutafutia vijana kazi nje ya nchi kama Raisi wa Kenya

    Ili mradi kuna win win situation
  17. Kaimu IGP Masengeli ahukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kudharau Mahakama

    Mahakama ya Juu imemhukumu Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli kifungo cha miezi 6 jela kwa kosa la kudharau mahakama. IGP alipuuza agizo la mahakama takriban mara 7 la kumtaka kufika mbele ya Jaji Lawrence Mugambi kueleza waliko watu watatu wanaodaiwa kutekwa na maafisa wa...
  18. Kenya: Wananchi wenye hasira kali wamkamata trafiki anayedaiwa kutaka kupokea rushwa

    Kwenye video ambayo inasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, trafiki mmoja nchini Kenya ameonekana kukamatwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kuwa alitaka kupokea rushwa. Video isiyo na tarehe imewaonyesha raia wakimzingira trafiki huyo kwa madai ya kuvunja kioo cha matatu...
  19. Leo ni 9/11: Tujikumbushe mwanzo wa harakati ulioanzia na shambulio la ubalozi wa US Tanzania na Kenya

    Shambulio la Bomu Dhidi ya Balozi za Marekani (Kenya na Tanzania) Soma pia:FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998 Imepita miaka 25 tangu shambulio la bomu la ubalozi wa Marekani jijini Nairobi na Dar es Salaam kusababisha maafa na kuacha majeruhi. Waathiriwa hao bado wanasaka fidia kutoka kwa...
  20. Kwanini serikali ya Kenya wanakodisha uwanja wa ndege wa JKIA kwa Wahindi wa Adani?

    Huko Kenya kuna mabishano makali ya kisiasa baada ya serikali ya Ruto kuamua kuikodishia kampuni ya Wahindi ya Adani Group uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA) uliopo Nairobi. Mpaka sasa haijaeleweka hasa sababu za msingi za Serikali ya Kenya kuwakodishia Adani uwanja huo ukizingatia ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…