kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Raia wa Kenya: Nashangaa JWTZ na wasanii wa Tanzania raia wameuawa lakini mpo kimya, mmewaangusha wananchi

    Kwa umoja ambao wananchi wa Kenya wamekuwa wakionyesha kukemea mauaji na udikteta wa Samia unazidi kuleta matumaini kwetu watanzania Jeshi la wananchi Tanzania limewaangusha wananchi, raia wameuawa lakini wapo kimya wanaendeleza harakati za Samia, wameiapisha serikali haramu kuwa halali na...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa itajitenga na Kenya kwenye miaka ya mbeleni

    Katika hali iso ya kawaida kuna movement ilioanza toka mwaka 2011 ya mombasa kujitenga na kenya kua nchi inaojitegemea, baadhi ya watu hawafurahii kuwepo kwa nchi moja ambayo Mombasa ipo ndan yake kutokana na sababu nyingi sana lakini kuu ni siasa za nairobi kutoshabiana na uhalisia wa aina ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo ni Mkenya anayeitumia CNN Kuichafua Tanzania Kimataifa ili Kuinufaisha Kenya. Serikali ifanye uchunguzi na kumpa Onyo Kali

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kuwaambieni ya kuwa yule mwaandishi wa CNN aliyetumika kutuchafua na kuunga unga habari zenye lengo la kuharibu sifa nzuri ya Taifa letu ni Mkenya. Ikumbukwe ya kuwa kenya ilikuwa inaonekana kama ndio Nchi yenye uchumi mkubwa hapa Afrika mashriki. Ambapo pia...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya watanzania wamekimbilia nchi ya Kenya kuomba hifadhi ya muda wakihofia utekaji na mauaji yanayoendelea

    Tetesi kuna baadhi ya watanzania wamekimbilia nchi ya kenya kuomba hifadhi ya muda wakihofia utekaji na mauwaji unaoendelea. Nimechukua hii huko kenya. Utekaji na mauwaji hayapingwi kwa amani hayaishi bila maandamano na shinikizo tukutane #D9
  5. JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba mzuie karoti zinazotoka Kenya

    Serikali tunaomba mzuie Carrot zinazotoka Kenya. Carrot hizi zinamuumiza sana mkulima. Ni kama kumpambanisha mkulima wa Tz na Kenya kwenye soko tena la nyumbani. Wakulima wengi wa nyumbani sio wakubwa na sio wa kulima maeneo makubwa. Mtu anayelima robo acre na mtu anayelima acre hamsini...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi wote hawakutaki, hauko sawa na Kagame, Unagombana na Kenya halafu unalazimisha ugomvi na Marekani. Aliyesema akili ni nywele hakukosea

    Umeua maelfu ya Wananchi wako. Wananchi wana hasira kiasi wakipata nafasi watakunyonga live dunia ishuhudie. Viongozi wa dini ya kikristo wamekukataa waziwazi. Waislam wenye akili na hofu ya Mungu kweli wamekukataa waziwazi. Uchaguzi uliofanya umesemwa na kila chombo na taasisi duniani kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachunguzi wa ICC tayari wapo Kenya kwaajili uchunguzi

    Kwa taarifa za kunyapia nyapia tayari icc wametua nchini kenya tayari kwa kuanza uchunguzi wao. Taifa la denmark kupitia kwa mfalme wake imesema inasimama nyuma ya watanzania na wao ndio waliofungua mashitaka huko ICC. Pia mwanamfalme huyo anaunga mkono maandamano ya 9/12/2025 akisema tayari...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania's Blueprint: 11 Ports and the Grand Rail Network Reshape East African Trade - Tanzania vs Kenya Trade Battle

    Tanzania is advancing its ambitious vision to become East and Central Africa’s premier logistics and trade hub. At the heart of this strategy is the massive integration of 11 key ports—on the Indian Ocean, Lake Victoria, Lake Tanganyika, and Lake Nyasa—with a modern, unified railway system...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri: EAC ipitiwe upya - Kenya aondolewe uwanachama kwa vurugu au Tanzania ibaki na SADC tu iachane na EAC

    Mwaka 1977 jumuia ya Africa mashariki ilikufa lakini msababishi alikuwa ni huyuhyu anayeleta vurugu Leo, Sioni haya ya kuwa na regional integration ambayo Haina Tija ambayo inaendesha harakati za vurugu ndani ya jumuia. Ni vema juumu Kama Taifa tuangalie hili swala huku tukikumbukua kuwa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zamani bidhaa kuu ya uuzaji nje ya kenya Ilikuwa Kahawa. Sasa ni kazi ya watu

    Kwa miaka mingi, bidhaa muhimu zaidi ya Kenya iliyokuwa ikiuzwa nje ya nchi ilikuwa kahawa. Leo, ni wafanyakazi. Fedha zinazotumwa nyumbani na Wakenya wanaofanya kazi nje ya nchi sasa zinachangia sehemu kubwa zaidi ya uchumi wa Kenya kuliko kahawa au chai — jambo ambalo rais wa nchi hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kutekeleza mfumo wa Recognition of Prior Learning - RPL unatambua ujuzi wa vitendo na Stadi za Kazi

    Kenya imeidhinisha rasmi kuanza kutekeleza mfumo wa Recognition of Prior Learning - RPL mfumo ambao unatambua ujuzi wa vitendo na stadi za kazi zilizopatikana nje ya elimu ya darasani na kuutoa kama njia halali ya kupata vyeti na kujiendeleza kielimu. Hatua hii imeibua mjadala mpana ukanda wa...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rose Mayemba na John Pambalu waomba hifadhi Kenya

    Taarifa kupitia Citizen Tv ya Kenya, wanachama wa Chadema na wajumbe wa kamati kuu, John Pambalu na Rose Mayemba wameomba hifadhi nchini Kenya baada ya vurugu zilizotokea Tanzania 29 Oktoba. =============== Serikali ya Kenya imetakiwa kutoa hifadhi kwa viongozi wa upinzani kutoka Tanzania ambao...
  13. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pastor Ng’ang’a awalaumu wabunge wa Kenya kwa kushindwa kuzungumzia vifo vilivyotokea nchini Tanzania

    Pastor Nganga kutoka Kenya amewata wabunge wa Kenya kuzungumzia kile kilichotokea Oktoba 29, 2025 Tanzania akidai zaidi ya watu 3000 kuuliwa lakini wamegoma kulizungumzia hilo bungeni.
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapishi wa Kenya wavutiwa na mapishi ya Kichina wakati uhusiano wa kitamaduni ukishamiri

    Kama ambavyo tunafahamu, China nan chi za Afrika zimekuwa na ushirikiano na uhusiano unaogusa pande nyingi, ikiwemo elimu, kilimo, sayansi na teknolojia, biashara na uchumi, pamoja na masuala ya kitamaduni. Kupitia Taasisi za Confucius zilizoko nchi mbalimbali za Afrika, elimu ya lugha na...
  15. JamiiForums Tanzania TANZANIA NA KENYA ni Sibling tunaojionesha hatupendani lakini nyakati za Matatizo tupo pamoja

    Tumepoteza wengi waliohusika na wasiohusika 29/10/25. Ni kisa kimoja kwa dogo mmoja tunayemfahamu baada ya vurugu kuanza yeye alikuwa anafanya kazi kariakoo. Wakaambiwa wafunge maduka, kweli akatekeleza hilo shida akaanza kuangaika kupata usafiri kurudi nyumbani Kwa bahati mbaya hakuweza...
  16. JamiiForums Tanzania Siri ilyiojificha nyuma ya nafasi ya Kenya katika kuchochea machafuko nchini Tanzania chini ya kishawishi cha kupigania demokrasia

    Na Dkt. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 uliandika ukurasa mwingine muhimu katika safari ya kidemokrasia ya nchi tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. Mamilioni ya Watanzania...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The secret behind Kenya’s role in influencing unrest in Tanzania under the guise of fighting for democracy

    THE SECRET BEHIND KENYA’S ROLE IN FUELING UNREST IN TANZANIA UNDER THE GUISE OF FIGHTING FOR DEMOCRACY. By Dr. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania The General Election of the United Republic of Tanzania, held on October 29, 2025, marked another historic chapter in the country’s...
  18. JamiiForums Tanzania Radio47 ya Kenya ndio redio pekee ninayoifuatilia sasaivi

    Naomba watanzania wenzangu muifuatilie hii redio maana inatoa habari ambazo ni za uwazi na lugha wanayoitumia ni Kiswahili, unaweza kuhisi ni redio ya Tanzania kumbe ni ya Kenya. ASANTE KENYA
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Amnesty Kenya yatangaza kufungua kesi dhidi ya Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki na Umoja wa Afrika (AU)

    Amnesty Kenya imetoa tamko la kuitaka Tanzania kurudisha mwilj wa mwl wa Kenya aliyeuawa Tanzania pia kuruhusu mawasiliano ya mkenya anayeshikiliwa na polisi Tanzania. Kwa mwl aliyefariki wametama uchunguzi dhidi ya kifo chake ufanywe mbele ya ndugu, wanaharakati wa haki za binadam na asasi za...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaitaka Uganda ifanye uchunguzi huru kwa wakenya wawili waliotekwa Uganda

    Serikali ya Kenya imetoa wito kwa serikali ya Uganda kufanya uchunguzi huru kwa raia wawili wa Kenya waliotekwa na kupitea nchini Uganda ambao hadi sasa hawajulikani walipo. Bob Njagi na Nicholaus Oyoo walikamatwa katika Kituo cha Mafuta na watu waliokuwa na silaha ambapo baada ya kutekwa simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…