kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzungu Amekuja kutalii Kenya na akaamua kuja kutazama border kati ya Kenya na Tanzania

    Huyu mzungu anataka kujua the real authentic experience ya Africa. Yeye anataka kuja kwenye border ya Kenya na Tanzania ili aone jinsi border inavyofanana. Halafu kwenye video inaonyesha wazi kuwa baadhi ya watu wanavuka tu kupitia njia za mkato bila passport yao kuangaliwa. Sasa yule mbunge wa...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kenya kukua kwa asilimia 6.9%, licha ya changamoto zote tulizopitia

    Taasisi zote muhimu kama vile IMF na Benki kuu ya dunia wameyabashiri haya, tupo kwenye "raiti traki". ========== The economy is seen rebounding to a growth of between 4.7 and 6.9 percent in 2021 from barely a percentage growth this year, offering hope to millions of households which were...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aviation companies setting up maintenance and overhaul facilities in Kenya

    Off late there has been an increase of Aviation companies setting up maintenance and overhaul facilities in Kenya. This has largely been attributed by the growth in the number of registered planes cementing Nairobi’s rising status as the region’s business and aviation hub. In addition, this...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya itajoin UN Security council kwanzia Kesho January 1 2021

    Baada ya Kenya kuchaguliwa kujiunga na Security council, Kenya itaanza kuwakilisha Afrika rasmi kwenye security council kuanzia Kesho. Asanteni Tanzania kwa kutuchagua. https://www.the-star.co.ke/opinion/2020-12-31-kenyas-two-year-tenure-in-united-nations-security-council-commences/...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lanet/Nakuru International Airport project execution in Kenya begins

    The execution of the Lanet/Nakuru International Airport project has begun following a groundbreaking ceremony held at the 81 Tank Battalion Barracks in Lanet. Speaking during the ceremony, Deputy Kenya Air Force Commander Brigadier John Omenda said that the military will provide necessary...
  6. JamiiForums Tanzania KWANINI WAUZA SEMBE KUTOKA TZ NA KENYA HAWASEMWI SANA AFRIKA KUSINI KAMA ILIVYO KWA WANAIJERIA

    Nimeoma huko sauzi kuna ile hali ya kuwaona wanaijeria ni wauza madawa, Je hali ipoje kwa watz na kenya wanaouza
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Police Special Forces raid Alshabaab camp in Lamu

    Vikosi vya Kenya Police Special forces ( AP SOG and BPU) vilivamia kambi ya wanamgambo wa Alshabaab huko Boni forest,Lamu county. Magaidi hawa hutumia upana wa msitu huu kufanya mashambulizi yao katika huu msimu wa Krismasi na January kisha kukimbilia Somalia na kurudi wakati wa Iddi tena huko...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya sasa ina kila sababu za kukamilisha kipande cha SGR kilichosalia maana Uganda wameamua kujenga SGR 2,700km

    Kenya ilikua imesitisha kukamilisha kipande kidogo kilichokua kimesalia cha kuunga hadi Uganda baada ya hao Waganda kutoonyesha "seriousness" kwenye hili la SGR, ila sasa wao wamesaka mkopo wenyewe na tayari wameanza mipango na mikakati ya ujenzi, kwa vile tulikua tumekamilisha asilimia kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania The SGR War: Wakati Kenya wakisuasua, Uganda wameamua kujenga SGR. Hii ni fursa kwa SGR ya Tanzania. Is it viable? Tuichangamkie?

    Wanadodi, Leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikianzia kuibuka kwa fursa mpya kwenye reli ya SGR ya Tanzania, karibu. Wakati Tanzania tukiendelea na ujenzi wa reli yetu ya SGR, shughuli nzito kwenye SGR sio ujenzi, bali ni kuiendesha kwa faida...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umasikini wakita mizizi zaidi Kenya: Taarifa ya Benki ya Dunia

    Hali ya UMASIKINI nchini Kenya yatajwa kuzidi kuwa mbaya sana. Hiyo inapelekea kuwa ni miongoni mwa nchi 10 Afrika zenye kiwango kikubwa cha UMASIKINI uliyotopea. Mtu anaweza kujiuliza ni kwa nini hali UMASIKINI uliokita MIZIZI iko hivyo, ilhali nchi inajipambanua kuwa ni miongoni mwa nchi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini hela ya Kenya ina thamani zaidi, tena mbali kuliko ya Tanzania wakati tumebarikiwa kila kitu?

    Jambo moja linalonipa shida kuliko hata kuibiwa kura ni hili la hawa wakenya jirani zetu, hela yao ipo na thamani kubwa sana sana kuliko za kwetu -- tatizo ni nini? Na kila siku tunajilabu tuna utajiri uliotukuka, naikumbuka ile sentensi ya Mwalimu Nyerere. Watanzania Uchumi mnao... Tufanye...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Top city lawyer and former governor in Kenya spend over Ksh 6 million a year in electricity bills

    Lawyer Ahmednasir pays KSh 250,000 monthly for using electricity in his house - The Grand Mullah, as he is famously known, clarified he does not own a factory at his home He claimed he has not been able to understand why the electricity bill was so high Ahmednasir said the cost of power in...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya bans Ugandan milk

    Ugandan dairy industry reels from Kenyan ban SATURDAY DECEMBER 19 2020 Milk processing at a factory. The escalating trade dispute between Kenya and Uganda over milk exports, is just one of many facing all EAC partner states. PHOTO | FILE | NATION MEDIA GROUP That Kenya is a lifeline for the...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mbona mnaichukia Kenya?

    Tangu nilipojiunga hapa JF, kama kuna jambo moja ambalo nimegundua ni kuwa Watanzania wengi hapa JF wanaichukia Kenya. Sasa sijui chanzo cha chuki ni nini. Pengine nyinyi wenyewe Watanzania mtufafanulie.
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Gavana wa Nyamira afariki kwa #covid19

    Gavana wa Nyamira, John Nyagarama(74) amefariki kwa #COVID19 Nairobi katika Hospital akipatiwa matibabu Nyagarama alilazwa kwa wiki tatu ambapo baadae alihitaji Oksijeni na kuwekwa kwenye Uangalizi wa Hali ya Juu ===== Nyamira Governor John Nyagarama has died at the Nairobi Hospital due to...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ranked top within the region in digital growth and demand

    Kenya ranked top within the region in digital growth and demand, according to the latest Digital Intelligence Index payments firm Mastercard and the Fletcher School at Tufts University. In the survey titled Digital Intelligence Index, Kenya is followed by Rwanda and Tanzania. Together, the...
  17. JamiiForums Tanzania Kacha za kimasai za bendera ya Kenya zinavaliwa kuliko za Tanzania. Hii ni kukosa uzalendo au?

    Huku mtaani vijana wengi sana wa kike na wa kiume naona wavaa sana kacha za bendera ya Kenya na Uganda kuliko za Tanzania. Ni huku kwetu pekee au hadi mtaani kwenu, nini maana yake? Rangi za KE na UG zinapendeza kuliko za TZ? Wamekosa uzalendo au? Hebu tupe ushuhuda mtaani kwako wapo...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Deni la Kenya lakua kutoka KSH 1.8 Trillion kipindi cha Kibaki mpaka KSH 6.7 Trillion mwaka 2020

    Nimeangalia makala moja ya Africa Uncensored, inaonyesha deni la Kenya nimekua mara tatu zaidi ya Deni ambalo Mwai Kibaki aliacha. Makala hiyo inaeleza kwamba Tangu mwaka 2013 mpaka 2020 Deni limekua kutoka KSH 1.8 Trillion Mpaka kufikia 6.7 Trillion mwaka 2020. huu ni ukuaji wa kasi ya mwendo...
  19. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi ipi ni Jirani mkubwa kwa Kenya?

    Kenya imezungukwa na nchi nyingi 1. Somalia 2. South Sudan 3. Uganda 4. Tanzania 5. Rwanda Kati ya nchi hizo ni nchi gani ambayo Wakenya wapo na Ujirani + Undugu mkubwa nayo?
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukoloni mamboleo unaitafuna Kenya

    Wakoloni hawajawahi kuondoka Kenya hata baada ya kupata Uhuru. Wakoloni waliacha watu wao na mali zao Kenya kitu ambacho kinailazimisha Kenya kuvilinda kwa gharama yoyote wakati wote kwakutumia jeshi, sera, sheria na utamaduni. Hii inawafanya viongozi wa Kenya wasiweze kukifanya kile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…