Kwenye vyakula, vinywaji, vitafunwa nk, huwekwa kemikali kwa sababu fulani, moja wapo ni visiharibeke kwa haraka.
Sasa swali langu ni kwamba hizi kemikali au malighafi yanayotumika kutengeneza hizi kemikali kutolewa wapi?
Kwenye miti, ardhini, majini ama ni wapi?
Mkawe na asubuhi njema.
Wakuu habari.
Kama kichwa Cha habari hapo juu Mimi ni kijana ninaye jishugurisha na uuzaji wa kemikali kwa ajili ya kuchenjulia dhahabu.
Napatikana Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya! Najua humu Kuna watu Wana uhitaji wa hii huduma usisite kunitafuta nikuhudumie. Karibuni sana!!
Mnisaidie nisirudi...
Kama unamiliki taasisi ya afya, maabara, kiwanda, chuo kikuu, au unahusika na huduma za matibabu ya maji(water treatment)— Alphacia Limited ni chaguo sahihi kwako
Tunahusika na usambazaji wa:
🧪 Reagents za Maabara (Lab Reagents)
🔬 Vifaa vya Maabara (Lab Equipment & Instruments)
⚗️ Kemikali za...
ZIFUATAZO NI MBINU ZA ASILII ZA KUPAMBANA NA WADUDU KWENYE MIMEA.
1.PILIPILI KALI
Hii ni Moja ya dawa asili ambazo zimekuwa zikitumika na kuleta matokeo Mazuri sana.
JINSI YA KUTENGENEZA
...gramu 55 za pili pili
..kata vipande vidogo chemsha kwenye maji kwa dakika 20 maji yawe lita 5...
Wakuu!
Sumu hiyo inaripotiwa kusababisha maumivu ya pua, kichwa, macho na koo. OCD wa Mbeya na timu yake walifika mapema kuchukua sampuli. Wapo wanaodai huu ni mkakati wa kisiasa kutumia kemikali hatari.
chadema
chadema kanda ya nyasa
jeshi la zimamoto
kanda ya nyasa
kemikali
kigaidi
kuelekea 2025
makala
nchini
nyasa
ofisi
ofisi za chadema
virusi
watu wasiojulikana
zao
Kwa hiyo tulivo kifikira na tofauti zetu zote zinakuja kutokana na chemikali zinazofanya kazi kwenye maisha yetu, japo primarily tunafanana kwenye uwepo wa hizi KEMIKALI katika miili yetu japo viwango vinatofautiana pia. Sasa mimi najiuliza hakuna mtu mwenye mamlaka aliyesitukia hili suala la...
1. Mafuta ya kula :
Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi.
Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
Naitwa Dr. Elizabeth Kilili, a.k.a. Mama ZOAZOA, ni mkurugenzi wa Grace Products Limited. Leo nina somo fupi ambalo nataka tuangazie afya ya mama pamoja na mtoto, nikizungumzia kitu kinachoitwa deodorant.
Deodorant ni nini?
Deodorant ni bidhaa ambayo hutumika kupunguza au kuondoa harufu mbaya...
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), George Ķatabazi amesema sekta binafsi bado ni changamoto kwenye kutoa elimu kwa Wafanyakazi wao na jamii inayowazunguka juu ya madhara ya kemikali na jinsi ya kuepuka madhara hayo yasitokee.
Hayo...
Wakuu nimekuwa nikiona watangaza bidhaa za dawa za tiba asili wanadai dawa zao hazina kemikali kabisa na kusisitiza watu kutumia hizo badala ya za hospitali ambazo huwa na kemikali.
Nimekumbuka baada ya kuona Heparin ameandika kuwa dawa zote za asili huwa ni salama kwa silimia mia na hazina...
Wananchi na watumiaji wa vyombo vya moto wamehimizwa kuwa makini wanapoyapita magari hayo ili kuepuka kuyagonga. Pia wametakiwa kutolisogelea gari lililobeba kemikali ya sianidi (Sodium Cyanide) pindi linapopata ajali badala yake wachukue tahadhari kwa kukaa umbali wa mita 100 ili kutopata...
Nimekuwa ni mtumiaji wa panadol katika kusafisha pasi yangu inapochafuka, lakini nimepigwa na butwaa na kupata wasiwasi baada ya kukutana na post mtandaoni kuwa matumizi hayo ya panadol ni hatari kwa afya ya binadamu kutokana na kuzalisha sumu kali, hili uhalisia wake ni upi?
Habari Wana Jamiiforums wenzangu, ndugu yenu Mwanongwa katika pilika zangu nikakutana na Stori za kwamba kuna Wafanyabiashara wa Ndizi pamoja na Maparachichi ndani ya Mkoa wa Mbeya wamekuwa siyo waaminifu katika biashara hiyo.
Kawaida ndizi zinapokomaa huwa zinavunwa na kuvundikwa kwenye sehemu...
Kwa yeyote anayefuatilia vyombo vya habari nchini Tanzania bila shaka atagundua kuwa siku chache nyuma kumekuwa na taarifa kwamba kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatumia gesi ya Ethylene kuivisha ndizi zao.
Sasa kama kuna mamlaka ambayo inahusika ina jukumu muhimu katika kuhakikisha usalama na...
Leo siasa pembeni
Leo nimeingia kwenye majonzi binafsi
Ben rafiki yangu wa miaka mingi aliniunganisha na wazalishaji wa kemikali nchini India maana alifahamiana nao akiwa kule.
Leo supplier wangu ananiuliza hivi fulani yuko wapi (Ben Saanane)? Nimekosa jibu la kumpatia huyo muhindi.
Hapa...
Dkt. Omary Ubuguyu (Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa Yasiyoambukiza, Afya ya Akili na Ajali - Wizara ya Afya): Mazoezi husaidia kupunguza Kemikali ambazo zinachoma sehemu za Mwili
Mazoezi pia huupa Mwili uwezo wa kutumia Sukari iliyo ndani ya Mwili na kujenga Misuli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.