kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. R

    JamiiForums Tanzania HAKI ya kuchagua, iende sambamba na HAKI ya kumfuta KAZI kiongozi niliyemchagua, nawezaje kumfuta KAZI mbunge wangu?

    Salaam, Shalom!! Tulipoitwa katika mikutano ya Kutoa maoni kuhusu Katiba mpya Awamu ya nne, Ndugu Samia SH, alikuwa mjumbe wa Tume hiyo. Moja kati ya maoni muhimu ya wananchi ,tulitaka ipatikane namna ya kuwafuta KAZI wabunge wetu wasio na uwezo kuongoza, tulitaka pia uwepo ukomo wa ubunge iwe...
  2. JamiiForums Tanzania Mtu mzima ambae bado una “ungaunga” unaweza kataa kazi kwa kigezo unakula sikukuu?

    Sikukuu ni watoto, mtu mzima siku yoyote ukiwa vizuri unaenjoi tu. Kama kuswali ushaswali, kilichobakia ni kula, na kula ni hadi mchana. Unakataa kufanya kazi et “ mi leo nakula sikukuu”. Mambo ya ajabu sana. Mi napendaga kazi kazi. Watu wa pwani na Tanga mbadilike, wengine tunaenda kwa ratiba.
  3. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Raia wenye afya bora ndio nguvu kazi wa taifa la kesho

    Watu husema afya ni mtaji kwaio ili shughuli binafsi na taifa kwa ujumla zifanyike ipasavyo yahitaji raia wenye nguvu na afya njema.Katika Sekta ya afya changamoto zimekua nyingi ambazo tungetamani zifanyiwe utatuzi ili kupunguza athari kubwa kwa miaka 5-25 ijayo. Changamoto hizo ni kama...
  4. JamiiForums Tanzania Urusi Yapeleka Mfumo wa Ulinzi wa Anga Chapa S-500 Huko Crimea Baada Ya Mifumo Ya S-300&400 Kushindwa Kazi

    Urusi Baada Ya Mifumo yake Ya ulinzi wa Anga Chapa S-300&400 Kushindwa kufua dafu mbele ya makombora ya ballistic ya Kimarekani Chapa ATACMS,yanatumika na vikosi vya Ukraine, imeamua kupeleka Mfumo wao wa Kisasa na ghali zaidi huko Crimea. Mytake :Tusubiri tuone matokeo ya hayo machumachuma...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA walitumia saa 6 toka Kigoma hadi Kakonko. Kazi ya CCM katika ujenzi wa barabara sasa CHADEMA hutumia masaa 2 tu

    Ni kazi kuamini:- * Kelele za CHADEMA kuhusu barabara ya Nyakanazi - Kigoma CCM imezimaliza. Sasa hii si hoja tena kwao; * Umeme si hoja tena. REA imefanya kazi kubwa kuleta maendeleo ya nishati mkoani Kigoma. * Mawasiliano ya simu ktk rural areas siyo hoja tena. Ni CCM chini ya Rais Samia...
  6. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM asimamishwa kazi.

    Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga, imemsimamisha kazi Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Bw.Jonathan Agustino Madete ,kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu. Maamuzi ya Kikao hicho yametolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi, mkoa wa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Inamaana vyombo husika vimeshindwa kumshughulikia Mpina?! Kweli kabisa? Naomba Mimi nipewe kazi hiyo!

    Wadau hamjamboni nyote? Hivi luhaga mpina inakuaje hadi leo hii hajashughulikiwa? Yaani vyombo vyote husika vyenye weledi vimeshindwa kumshugulikia kwa kuiabisha mamlaka iliyopo kuu? Shida ni nini hasa? au bado mchakato inaendelea? Naomba Mimi mzalendo nipewe kazi hiyo, nipewe rasilimali...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Tabora. Nimemaliz Kidato cha Sita (PCB)

    Mimi ni kijana wa kiume mkakamavu na mtii mwenye umri wa miaka 22 naishi tabora, nina elimu ya kidato cha 6 PCB. Naandika andiko nikiwa nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali kwamfano:kuuza duka, shamba boy pia kama nikipata nafasi ya kujifunza fani za ufundi au uendeshaji wa magari na mitambo...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

    Habari, Mimi ni kijana Nina miaka 24, Nina degree ya Sanaa ya geografia na mazingira, nipo Zanzibar. Mwenye connection ya ajira ya kada hio tafadhali.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Mitandaoni wanatazama urembo badala ya kazi yangu'- Balozi wa vijana AU

    CHANZO CHA PICHA,DIANA CHANDO Maelezo ya picha,Balozi wa vijana Umoja wa Afrika -AUMaelezo kuhusu taarifa Author,Na Esther Namuhisa Nafasi,BBC News, Dar es Salaam Saa 7 zilizopita "Unajua mimi nina macho makubwa, mara nyingi nikiweka kazi zangu watu wanaanza kuuliza kuhusu muonekano wangu...
  11. JamiiForums Tanzania Kua kiongozi wa simba ni kazi ngumu sana

    https://x.com/FKihamu/status/1800621196662206811
  12. JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi: Project/ Program Management

    Location:Mbeya, Tanzania Category:project/Program Management NGO: HJF Job Description Overview Join the HJF Team! The Henry M. Jackson Foundation for the Advancement of Military Medicine (HJF) is a nonprofit organization dedicated to advancing military medicine. We serve military, medical...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Ataka Vituo vya Forodha Kufanya Kazi saa 24, Ngara

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amemshauri Mbunge wa Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro kushirikiana na Mamlaka husika ili kuangalia uwezekano wa ujenzi wa Kituo cha Forodha cha Mugoma, mkoani Kagera baada ya kujiridhisha pasipo shaka iwapo eneo hilo linafaa kwa ujenzi wa Kituo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kocha Hemed Morocco na msaidizi wako Juma Mgunda kwa kazi nzuri nchini Zambia

    Stars imeifunga Zambia ikiwa nyumbani kwake, narudia nyumbani kwake.Binafsi, sikuwa na shaka na uwezo wa makocha hao isipokuwa shaka yangu kubwa ilikuwa kwa wachezaji, kwamba wachezaji tuliokuwa nao hasa wale walioanza sikudhania kabisa baadhi yao kama wanaweza kupambana kiasi kile hasa kutokana...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Dkt. Ndumbaru kama sasa TFF wameamua Makocha wa Taifa Stars watakuwa ni Wazawa Kocha Amrouche Mshahara anapewa wa kazi ipi?

    Najua unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nasubiria Jibu lako kwani Wewe ulivyo na Kiherehere baada ya Kocha Amrouche Kutukera Watanzania kule AFCON ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Kocha Amrouche bado ni Mwalimu Mkuu wa Taifa Stars ila hivi karibuni / majuzi tu Rais wa TFF...
  16. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mifumo ya kielektroniki iboreshwe ili ifanye kazi kwa ufanisi

    Matumizi ya mifumo ya kielekroniki katika taasisi mbalimbali za serikali yamekua na matokeo mazuri hasa kwa upande wa kupunguza msongamanokupunguza rushwa na hata pia kwenye suala la ukusanyaji wa mapato imerahisisha. Lakini pamoja na mafanikio hayo mifumo hii ya kielektroniki Kuna muda...
  17. JamiiForums Tanzania Njia 7 za Kuongeza Kipato Chako Bila Kuacha Kazi Yako ya Sasa.

    Katika dunia ya sasa, ambapo gharama za maisha zinapanda kila siku, ni muhimu kutafuta njia za ziada za kuingiza kipato bila kuacha kazi yako ya sasa. Hapa kuna njia 7 rahisi ambazo unaweza kujaribu: 1. Kufanya Kazi za Freelance: Ikiwa una ujuzi kama vile kuandika, kutafsiri, kubuni tovuti, au...
  18. JamiiForums Tanzania Changamkia fursa za kazi mtandaoni. Lakini kuna haja ya hili kwanza...

    Habari wanajamvi, natumaini mmeamka salama. Mimi pia, nipo kwenye computer yangu nachapisha haya maneno. Katika pitapita zangu, nilikutana na hili swali leo asubuhi, kwenye X account ya rafiki yangu mafolebaraka Nkatamani kulijibu kwa post kadhaa, kuanzia hili la leo. Binafsi, sijaajiriwa...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, binti anaomba kazi yuko Mwanza

    Habari wakuu Naomba kwa mwenye mchongo wa kazi kwa binti. Anaishi na bibi yake na bahati mbaya kapunguzwa kazin kwenye kampuni ya usafi na yeye ndio tegemeo kwa bibi yake. Yuko Mwanza Igoma ana miaka 23 elimu yake kidato cha nne. Namba yangu ni 0764 339 400 kwa ataeguswa kumsaidia. Asanteni...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Interview kwa walimu walio wahi kuomba kazi ajira PORTAL sector ya curriculm na assistasistant lecturer

    Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…