kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Umejiandaa vipi na maisha ya uzeeni (Retirement)?

    Wana jamvi uzima na afya uwe kwenu nyote. Hapa siongei na wavulana na vijana wa hovyo. Bali naongea na vijana na watu wazima wenye kujitambua haswa. Ni ukweli pasina shaka kuwa maisha ya ujana yanapita upesi sana. Kama usipojiwekea malengo ya huko mbeleni utaishi maisha ya tabu sana. Wala...
  2. JamiiForums Tanzania Kama kazi ya mafusho ya mwenge ni kupumbaza watu, je wapumbavu wanawezaje kujikwamua?

    Swali kwa wajukuu zangu wapenzi. Taifa la wapumbavu linawezaje kujikwamua lenyewe na watu wake kutoka kwa maadui watano, umaskini, ujinga, maradhi, rushwa na uchawa? Pascal Mayalla , Lucas Mwashambwa FaizaFoxy nahitaji kishiriki wenu
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kuishi/kufanya kazi kwenye msongamano wa watu wengi huharibu afya ya akili

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wengi ni nusu vichaa Wanaoishi maeneo ya uswahilini kama Manzese Mbagala, Vingunguti, Buguruni, Kwa Mtogole, n.k wengi zimefyatuka. Wanaoishi nyumba za kupanga familia 3+ kwenye nyumba moja wamechizika kabisa.
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusiana na sheria inayohusu malipo kwa mfanyakazi pindi anapoingia mkataba na mwajiri wake

    Habari za majukumu.... Naomba kufahamishwa kuhusiana na sheria inayohusu malipo kwa mfanyakazi pindi anapoingia mkataba na mwajiri wake. Hapa nazungumzia pesa ya kujikimu tu inauotolewa mwanzo wa mkataba... ⚠️Je hii pesa ipo kisheria au ni maamuzi ya mwajiri kutoa au laa.. Natanguliza shukran...
  5. JamiiForums Tanzania Kama hatukumuelewa Hayati Mkapa basi tumuelewe Dkt. Dotto Biteko, tuache wanaoijua siasa waicheze na tujitume kufanya kazi

    Katika zama ambazo Ukoloni mamboleo umeshamiri ni bora tushauriane katika kujikita katika kufanya kazi ili kujitafutia maendeleo binafsi . Nafahamu kwamba Siasa ndio kila kitu lakini kulaumu na kuumiza vichwa kuhusu wanasiasa haisaidii kubadili maisha magumu tuliyonayo . Kama kuna watu...
  6. JamiiForums Tanzania Kila Mtanzania anayeingiza kipato kwa kufanya kazi alipe kodi. Hakuna cha misamaha kwa viongozi wakiwemo wabunge kwani wote tunahitaji huduma bora

    Watanzania wote wenye umri kuanzia miaka 18 walipe kodi zote kwa kazi wanazozifanya kihalali Kuanzia Rais na viongozi wengine wote pamoja na wastaafu wanaopata mishahara ya asilimia ya 80% ya walio madarakani. Pasiwe na misamaha ya kodi kabisa. Kiongozi anapata msamaha wa kodi, halafu...
  7. JamiiForums Tanzania Utumishi Kazi imewashinda

    Tusichoshane.. Hawa utumishi Kazi imeshawashinda, nao wanahitaji kufanyiwa interview. Kada ya afya tangu wafanye usahili Mwezi Sasa unaisha. Waalimu tangu waaplai Mwezi na nusu Sasa. Kada zingine nazo vivyohivyo. Kama hamuwezi Kazi Wapewe Wengine wafanye hiyo Kazi maana ninyi NI kama...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Utofauti kupata kazi Wizarani na halmashauri upoje upande wa maslahi kwa anaejua?

    Anayeweza kutupa madini apo kutokana na experience.
  9. JamiiForums Tanzania Tulienda shule kufanyaje kama hata hizi kazi za muda wanapewa watumishi wa serikali

    Je umuhimu wa Degree zetu upo wapi huku mtaani, tunasota na tunahangaika na mabahasha kutafuta ajira huku serikali ikiweka ahadi kede kede ambazo hazitekelezeki Haya hata hizi kazi mbalimbali za muda ambazo zingekuwa hata kifuta machozi kwetu Kwa kupunguza machungu ya kukaa mtaani bila ajira...
  10. JamiiForums Tanzania Bashungwa awabana Wakandarasi wanaojenga Barabara ya Mzunguko Dodoma, ataka kazi ikamilike kwa wakati

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Dodoma (Dodoma Outer Ring Road) km 112.3, sehemu ya Ihumwa Dry Port - Matumbulu - Nala (km 60) kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya AVIC kuwasilisha...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Pamba Fc

    Kazi kwenu wenye sifa
  12. JamiiForums Tanzania Mchakato wa kutuma maombi ya kuhamia Marekani kwa kuishi na kufanya kazi unaanza rasmi leo

    Hii nimeizungumzia sana sana hapa na kwenye baadhi ya vilinge nje ya hapa. Pia wadau wengi wamekuwa wakiifafanua hapa na nje ya hapa pia. Nia na lengo ni kulishana taarifa sahihi. Sasa kwa wale mliochelewa kuijua inahusu nini au inahitaji nini ili kuweza kushiriki. Ni rasmi sasa DV-2026...
  13. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi( 3)

    " New executive Lodge available Vacancy,front desk, house keeping and food production. Ukonga Dsm.Contact 0756001053
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi

    Poleni na majukumu ndugu zangu. Mimi ni kijana was kiume, nina umri wa miaka 27 na ninaishi Dar es salaam Tanzania. Ninahitaji kazi, aidha internship, nafasi ya kuanzia(entry level), kazi ya kujitolea inayolipwa au nafasi za junior. Nina shahada ya Sayansi ya Maji na Uvuvi (Bsc.Aquatic Science...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi

    New executive Lodge available Vacancy,front desk, house keeping and food production. Ukonga Dsm.Contact 0756001053"
  16. E

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kazi yoyote ya halali. Mimi ni Mhitimu mpya wa Chuo

    Habari, Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA. Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  17. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kauli aliyoitoa Dotto Biteko kuwa Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani

    Katika mazingira ya kisasa ya siasa za Tanzania, kauli ya Dotto Biteko inatoa changamoto kubwa katika kuelewa uhusiano kati ya juhudi za kiuchumi na siasa. Anaposema, "Watanzania tufanye kazi, siasa haitaleta mkate mezani," anajaribu kuhamasisha wananchi kuwa na mtazamo wa kujituma katika kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi za kazi

  19. JamiiForums Tanzania Magaidi wanaisha huko Lebanon. Hongera sana Israel kwa kazi nzuri

    Aisee huyu myahudi anatembeza kichapo mpaka Raha nimetoka kufuatilia hapa BBC News aisee magaidi yanaondolewa sio mchezo Mungu ibariki San Israel iendelee kutoa kichapo kwa haya magaidi na uzao wao wote Israel ni taifa teule viva Benjamin Netanyau wavaa kobazi hoi huko lebanon
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji Dar es Salaam na Pwani

    Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), inahitajika kufanya innovation katika idara ya manager watu hatuwezi kuwa na viongozi ambao hawajitambui katika wajibu wao uliowafanya wawe hapo! You can imagine maji hayatoki takribani siku 4 sasa na this later imetolewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…