kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kazi

    Naomba mnisaidie nina matatizo nimeacha chuo sina ada nyumbani hali ngumu hata nauli wameshindwa kunipa nakaa kwa rafiki, mguu wangu mbovu Naweza kazi zote za mikono kupika kufua. kazi za stationary pia naweza nimewahi pia kuuza duka na kazi zote ambazo haziitaji kutembea sana maana ni mlemavu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Heche Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimomo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  4. JamiiForums Tanzania DR. DOROTHY GWAJIMA.IRON LADY!KWANGU MIMI NDIE WAZIRI MCHAPA KAZI KULIKO MAWAZIRI WOTE SERIKALINI.

    Dr.Dorothy Gwajima.Huyu mama licha ya uchapakazi wake kuwa mzuri ni mtu mwenye roho poa sana.Anaitendea haki kabisa nafasi ya uwaziri. Mama ikikupendeza Mpe Dr.Dorothy Gwajima nafasi nyeti zaidi kwa manufaa ya walio wengi.Binafsi niliwahi wasiliana nae kwa zaidi ya issue tatu zinazohusu ukatili...
  5. W

    JamiiForums Tanzania IT mpo? AI inachukua kazi zenu kimyakimya, Mjipange !! Karinga kunitengenezea website ndogo kwa elf 10 nimemaliza kila kitu kwenye ChatGPT bure.

    Leo nilikuwa napitia uzi flani humu ndani wa kero ya kutambua mitandao kwa namba za simu. Nikaona nifanye kiproject simple cha kutatua tatizo hili, nikaandika orodha ya namba pamoja na mitandao yake. Nikaenda kwa IT flani yupo tu kitaa atengeneze website ndogo ya kurahisisha kwa dau la elfu 5...
  6. JamiiForums Tanzania KERO CRDB Sim banking haifanyi kazi zaidi ya saa nne

    Kila kitu hoi, customer service hawapokei. CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
  7. JamiiForums Tanzania Maslahi ya nje ya mikataba ya kazi yanalipa sana kuliko mshahara

    Nimesikiliza leo Crown Fm na hoja ya wachambuzi kuhusu timu 6 kuandika barua kudai haki kutokana na unyonywaji na marefa. Nimeshangaa sana badala wachambuzi kushikilia msimamo na haki kuokoa soka letu, lakini hoja zilizokua zimejaa ni “mbona mwaka ule Yanga alifanya hivi, Mbona mwaka ule Simba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Baadhi wametumwa kuja kuangalia msimamo na mawazo ya wananchi, wala tusiwabeze, ndo kazi inayowaweka mjini.

    Mko salama wanajamvi? Niende moja kwa moja kwenye mada Kuna ndugu zetu humu, tunaweza kuwa tunawabeza, kuwatukana, kumbe maskini wa Mungu wametumwa kuangalia comments za wananchi. Ndo maana ukifatilia mada zao ni kuponda upande wa pili na kusifia tu CCM. Hata kama watu wanauwawa, wanatekwa...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya kufanya nipo wilaya ya kahama mjini

    Mimi ni kijana wa miaka 22 ,natokea wilayani kahama , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya kwa anaye hitaji mfanyakazi au connection ya kazi mimi nipo tayari kufanya , namba zangu ni 0715308721
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuendelea kutofanya kazi kwa mtandao wa X Nchini si sawa na kukubali matakwa ya adui?

    Napata shida kidogo hapa. Kuendelea kutopatikana kwa mtandao wa X Nchini si sawa kabisa na kukubali hila mbaya za adui? Ebu fikiri, mwizi kavunja mlango na kuiba mali zako. Badala ya kuimarisha ule mlango na ulinzi kwa ujumla na kuendelea kuishi katika nyumba yako, wewe unaamua kuivunja nyumba...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Wakubwa naombeni kazi nitakufa

    Habari wana jamii forum, niende kwenye mada, nina miaka 29 nilikua ninafanya kazi taasisi binafsi bahati mbaya ofisi yetu ilifungwa. Baada ya ofisi kusimama nilizidi kupambana kutafuta sehemu nyingine kwa kuhudhuria interview tofauti tofauti lakini sijabahatika kupata. Humu jamii forum kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Wewe / Jamaa yako anafanya biashara / kazi ipi inayomuwezesha kumudu maisha?

    Huenda ukawa ni wewe, ama ukawa hutaki kuwa wewe, let say jamaa yako (kwa ME) ama shosti wako (kwa KE), anafanya biashara gani inayomuwezesha kumudu familia? How such business is running? Changamoto je? Mtaji? Tusaidizane mawazo kwa kuwa sisi sote tu watoto wa Mama mmoja, Mama yetu mpendwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za mtandaoni

    Habari wakuu! Kama kichwa ķinavyojieleza mimi ni mtaalam wa kutumia computer na simu za mkononi lakini pia nina uzoefu wa kufanya matangazo mbalimbali mtandaoni, nina uzoefu wa kufanya content creator kwenye mitandao ya kijamii kama YouTube, Facebook, twitter, Tiktok n sambamba na hayo ni...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?

    Wakuu Ebu tumjadili huyu kijana ambaye amereform kutoka kuwa shoga mpaka kuwa kondoo wa Bwana. Huyu jamaa nijuavyo hana kazi yoyote ya kumuingizia kipato.ila nashangaa anajimwambafai eti anataka kuoa. Sasa swali langu huyo mke atamlisha nini?au anataka achapiwe na wahuni arudi kwao Mbeya bila...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi kubwa 3 za Mbunge wa Tanzania.

    1. Kumsifia Rais. 2. Kuitetea Serikali, na ya mwisho ni, 3. Kujipanga kurudi tena bungeni ili kutekeleza no. 1 & 2. Hawana kazi nyingine zaidi ya hizo, mbwembwe zote mnazoziona zipo kwenye cycle hiyo. Usipotekeleza no. 1, hurudi bungeni. Straight RED card. Usipotekeleza no. 2 huwezi...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Anaishi mbagara anashinda Tegeta anakunywa kahawa, hatujui kazi yake , Hana simu

    Wadau hamjamboni nyote?
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote humu aliyepigiwa simu au kutumiwa email na gaming board of Tanzania kuwa kapata kazi?

    Kuna jamaa angu kaniambia eti gaming board of Tanzania ishawatumia watu email na kuwapigia kuwa wamepata kazi? Je humu jf kuna mdau yeyote aliyefanya oral ambae kapigiwa na hao jamaa? maana utaratibu wao wa recruitment unashangaza sana.
  18. JamiiForums Tanzania Usisome Master's kabla ya kupata experience ya kazi . Utakufa na msongo wa mawazo

    .
  19. JamiiForums Tanzania Saaa sita na robo KOMBE limeelekea na ndege MOROCO tuwatakie vijana usiku mwema na safari njema kwa KAZI nzuri pls.....

    Habari za uhakika Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar es salaam na aijulikan watarudi kwa meli boti ama ndege KWA KAZI nzuri waliyofanya Naomba...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye oral interview, ni viashiria gani vinaweza kukufanya ukajua kuwa hiyo kazi umeipata?

    Wakuu Wakt wa kufanya oral interview, kuna viashiria gani vinaweza kukufanya ugundue kuwa umepata hiyo kazi? Kwa mfano ,mimi jana nilikua na oral kwenye taasisi flani. Wakt nimemaliza kufanya usaili kuna hr mmoja akawa ananisindikiza kutoka nje ya chumba cha usaili,nikamdodosa kwa kumuuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…