kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Kazi ya Stationery

    Anatafutwa kijana wa Stationery awe anajua vizuri computer na pia awe anaishi Dar. Wasliana nasi kwa namba +255 684 553 947.
  2. JamiiForums Tanzania Nani wa kumuajiri Kwenye kampuni au Kazi yako?

    Kwa mtazamo mkubwa watu wengi wenye Makampuni, au watengeneza ajira hasa zinazo hitaji ubunifu kwasasa hawaajiri watu wenye alama kubwa za kiakademiki/darasani 85-100%. Bali Hupenda kuwaajiri watu wenye 60-80%. Hii ni kwanini?
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi mtu akistaafu anaruhusiwa kurudishwa kazini, Au kupewa kitengo kingine?

    Naomba kuuliza iv mtu akistaafu anaruhusiwa kurudishwa kazi... Aku kupewa kitengo kingine?
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya kazi halali

    Habari zenu wapendwa, Poleni kwa mihangaiko ya kila siku. Kwa majina naitwa Kusena, mwanaume mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni stashahada ya Maendeleo ya jamii. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani, halmashauri ya wilaya ya Chalinze, na kwa sasa ninaishi katika mkoa wa Mbeya. Ndugu zanguni...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Ujima, Slowslow, Kiluvu na Modemba meza moja, Fahamu kazi ndio imeanza...

    Katika vichochoro visivyo na jina, vipo vikao vinavyofanyika kimyakimya. Wenyeji wa meza hizi ni watu wanaojiona werevu wa kupanga mikakati ya “kuvunja ukimya” kupitia vitandao. Lengo? Kuishtukiza mamlaka iliyo madarakani kwa sasa. Wanaita hiyo "operesheni ya mfululizo wa alama." Kinachoonekana...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Maini katika page ya insta ya Mpoto baada kufiwa na mkewe,ni kiashiria cha hatari inayolikabili taifa,viongozi mna kazi ya kuwaunganisha watanzania

    Nimesikitishwa kuona maoni ya dhihaka na kejeli kwa mtu aliyefiwa na mkewe kisa chuki na visasi vya watanzania waliokwazwa na kauli zilizowahi kutolewa na baadhi ya viongozi. Ninawaomba viongozi wetu wastuke na kuanza kuchukua hatua za maksudi za kupunguza chuki hizi. Inawezekana sana,viongozi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya jaji ni ngumu kwa mujibu wa uislamu

    Mtume (SAW) alisema: (Hadith - Abu Dawud na Ibn Majah)
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yamtupa nje Luhaga Mpina Mbio za Ubunge jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya mchujo kwa ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wake wa Simiyu kumtupa nje ya mbio za kuwania kuteuliwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mpango, Majaliwa na Polepole ni watu walioamua kuacha kuendelea kufanya kazi na utawala huu. Je nini kinaendelea?

    Makamu wa Rais Muheshimiwa Philip Mpango alidai kuwa ametosha kuwa Makamu wa Rais na hakutaka kuendelea kuwa Makamu kwa muhula wa Urais ujao ambao Rais Samia bado anautetea. Mpango ametaka kustaafu kwa hiari cheo icho ambacho amedumu nacho kwa Muhula mmoja wa Urais. Hatujakaa sawa Waziri Mkuu...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa Dar es salaam

    Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa dar es salaam, naomba kazi saidia fundi elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi Dar es salaam

    Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa dar es salaam, naomba kazi saidia fundi elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  12. JamiiForums Tanzania Kumbe KIKATIBA , baadhi ya Kazi za JWTZ ni Kulinda Katiba, Kulinda Ardhi na Maliasili za Nchi yetu, Kulinda Watu wa Tanzania!!

    Hapa Nina Maswali !! Ni katika wakati gani ,JWTZ itafanya kazi yake hii ya kulinda Katiba, Ardhi, Maliasili, na Kulinda Watu?. Tafasiri ya Kulinda Watu kwao ni ipi? Ikiwa tunashuhudia watu Wanatekwa, wanauliwa .?? Kulinda Maliasili, ikiwa tunashuhudia Waarabu na Wachina wanapewa Mali zetu...
  13. JamiiForums Tanzania Aomba talaka kisa kapata kazi

    Kuna kesi ngumu kidogo hapa. Jamaa yangu amekaa na Mke wake kwenye ndoa miaka 9 sasa. Kumbe Mke alikuwa anatafuta kazi sasa amepata. Baada ya kumletea mume majibu amemnyima ruhusa kuajiriwa. Mke anataka kazi, Mume hataki. Sasa Mke anataka talaka ili akafanye kazi. Je! Ampe?
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe-CCM kazi yenu ni njema sanaa

    Sio mbaya mara moja moja moja kumsifia adui yako. Hii ni mbinu ya kale ya kivita. Gekul ulikula kodi za wananchi kwa biashara haramu ya manunuzi ya binadamu awamu ya 5, karibu uraiani. Mollel.....nawe ulitamani mapato ya aibu, ukala kodi zetu kwa dharau. Waitara Mwita, ukaona ujipatie pesa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA KAZI: Kusimamia Akaunti kwa Kutumia Robot (Kazi ya Ofisini - Dar es Salaam)

    Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. ✅ Robot tayari ipo, kazi yako ni kuingia kwenye akaunti, kufuatilia maagizo ya robot, na...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye wapenzi/wake wanaofanya kazi, mnanufaika nao vipi?

    Wapo wanaosema hela ya mwanamke ni ya mwanamke, na hela ya mwanaume ni ya wote. Kumekuwa na malalamiko kwa wanaume wengi, kuwa hawapewi huduma za msingi na wapenzi/wake zao wanaofanya kazi, na wakati mwingine ata hela za mwanamke huwa hazionekani katika shughuli za mahusiano au maisha yao; pia...
  17. JamiiForums Tanzania Nina shida ya watu wanomaofanya kazi katika Wizara inayohusika na mambo ya ajira, najitaji kuwapa wazo bora ambalo litasaidia kupunguza ajira

    Ikiwa wewe upo wizara husika naomba uje PM nikupe wazo bora . Wazo hili litawanufaisha Wasomi na ambao sio wasomi , naomba tuwasiliane haraka Njoo PM
  18. JamiiForums Tanzania Mliowahi kupata kazi remotely job mlifanyaje

    Kwema wanabodi nimekua nikijaribu kupitia sites mbalimbali za ajira ambazo ni remotely kuanzia LinkedIn, WWR,flexjobs na nyinginezo nikajiregister kule Lakini changamoto unakuta hata kazi ambayo ni entry jobs ambayo wanatoa mpaka training kuipata ni changamoto nashindwa kuelewa kuna sehemu...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kikao kazi ndio kikoje?

    Siku kila taasisi au wizara ikifanyo mkutano,itasikia eti ni kikao kazi,kwani kokoje? Tofauti ya kikao na kikao kazi ni nini?
  20. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ni very hard naombeni kazi

    Habari nilikuwa natafuta kazi here in dar es salaam nina miaka 20 kazi ni ya kuuza duka
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…