Wanabodi
Kwa Maslahi ya Taifa kwenye gazeti la Nipashe la leo.
Kufuatia kuibuka kwa kada mpya ya ajira ya uchawa, ambayo nasikia inalipa sana, kila mtu akisifia tuu uongozi au kiongozi anaitwa chawa na kunyooshewa kidole kuwa ananyemelea teuzi!.
Wana JF Wenzangu, hebu tuacheni ushamba!, Media...
Nimeona uchapakazi wako japo unaonekana una uchovu fulani (lakini ni wa baraka)
Unapambana kweli kweli hongera sana kwa uchapa kazi. Mabilioni yamemwagwa Temeke
DC wa Temeke Jokate Mwegelo akiwa na waziri Bashungwa kwenye kuchapa kazi
Mabadiliko ni muhimu. Hongera sana
Pascal Mayalla aone...
Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania.
Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia ( naendelea Kuthibitisha bado ) kuwa anatoka katika Kikosi Maalum 'Wazee wa Sanga Sanga ' hali iliyonifanya...
Wanaona ilani ya CcM inatekelezwa vyema na wao wanafurahia na kuuchuna kimoyomoyo maana maendeleo yanapatikana.
Hakuna mgao wa umeme, miradi ya maji inazinduliwa kila kona, madarasa yamejengwa na wanafunzi wameenda shule. Barabara zinajengwa miundo mbinu inaimarishwa kila kona.
Hatusikii...
Nilikuwa nimekaa zangu kwenye mgahawa fulani. Akaja mkaka mzuri tu na alikuwa amependeza. Akakaa kiti cha mbele yangu.
"Mambo? Nimependa nikae na wewe hapa." Akaniongelesha.
"Haina shida." Nikajibu.
"Mbona huna kinywaji au chochote? Agiza chochote. Usikae kinyonge hivyo" Aliuliza.
Nikamjibu...
ABOUT US
At Ada, we envision a world where everyone has access to the healthcare they need. In one of the biggest challenges facing the world, we pioneered a new form of artificial intelligence, combining medical insurance knowledge with bespoke reasoning technology, to empower millions of...
Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi.
Mengine tutakujulisha ukishafika.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
Zamani ilikuwa ni ugomvi.
Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita.
Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa.
Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa.
Aliyebuni hii mbinu anaakili...
Hapo jana, Serikali ya Uingereza kupitia ubalozi wake hapa nchini ulieleza kuwa Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona ambapo mataifa katika orodha hiyo yamepungua kutoka nchi 54 hadi 7. Kwa mujibu wa taarifa hiyo mabadiliko hayo...
Mpaka sasa sijaona kosa alilofanya. Mambo yote aliyofanya ni sahihi.
Ni muhimu kwamba usimkejeli rais kwa sababu ya maneno aliyosema huyu au yule.
WEWE ndio uwe mwamuzi. Usikubali mtu akuambie rais hafai. Wasikilize watu wengine lakini uamuzi lazima uwe wako.
Matatizo ya Katiba nadhani rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.