kausha damu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wastaafu wanateswa sana na mikopo ya kausha damu wasaidiwe

    Kausha damu ni mikopo ya yenye urahisi sana upatikanaji wake. Ina vigezo na masharti nafuu sana yanayowezekana kwa wakopaji wengi. Kwa upande moja inasaidia sana watu wenye shida na malengo ya kujiunua kiuchumi, na wanafanikiwa bila wasiwasi. Kwa upande mwingine ni mateso, vilio na kusaga meno...
  2. JamiiForums Tanzania Mikopo ya kausha damu ipo mtaani, tuwe makini

    Dakika kadhaa zilizopita nilikutana na maajabu hapa mtaani kwetu Wamekuja wanaojiita maofisa wa kausha damu wako na mjumbe na mwenyekiti wa serikali za mitaa na polisi wawiili wakaingia kwenye nyumba moja ya mdada Dada akagoma kufungua, wakaenda upande wa chumbani wakaita wakasogeza pazia...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ABC bank wanatoa mikopo Kausha damu? Nimestaajabu sana

    Nimewasiliana na wakala wa Bank ABC juu ya mkopo Tazameni wenyewe, naomba ABC bank mtolee ufafanuzi huu ni mkopo au kausha damu? Hivi mtu ukope milionin14 urushe 39 huu si wizi kabisa? Ndugu watumishi wa umma pamoja na walimu epukeni mikopo Najuta sitarudia tena!
  4. JamiiForums Tanzania Walimu washauriwa kuepuka mikopo ya 'Kausha Damu' kwa kuwekeza fedha zao benki

    Ushauri umetolewa kwa Walimu nchini kuondokana na mikopo ya kausha damu na badala yake waitumie Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) kwa ajili ya kuikuza na kujinufaisha wao wenyewe. Wito huo umetolewa na Wanahisa wa MCB wakati wa mkutano wa saba wa wanahisa mwaka 2023 uliofanyika Jijini Dodoma...
  5. JamiiForums Tanzania Halima Bulembo: Mikopo ya kausha damu inawakausha kwelikweli wanawake na kuwadhalilisha. Asema ukikopa elfu 50 unalipa jumla 85

    Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo amesema mikopo ya kausha damu pamoja na urahisi wake wake wa kupatikana ina gharama kubwa. Akitolea mfano, amesema mtu akikopa 50,000 anakatwa 5,000 ya fomu, 5,000 nauli ya mkaguzi kuja kukagua mali zako na marejesho ya jumla ya 75,000 hivyo jumla...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo juu ya biashara ya kukopesha wajasiriamali inayoitwa kausha damu

    Habari zenu wakuu, Nilikuwa naomba mwongozo juu ya biashara ya kukopesha wajasiriamali wadogodogo kiwango cha fedha fulani.
  7. JamiiForums Tanzania Endeleeni tu kuwaruhusu wake zenu wajiunge na VICOBA na mikopo ya kausha damu

    Kwa hakika mwanamke akiwa mzuri hutongozwa mpaka mara 50 kwa mwezi na akiwa mbaya hutongozwa mpaka mara 15 kwa mwezi endapo atakuwa anafanya kazi mahali pa watu wengi (public). Sasa mikopo ya kausha damu au chupi mkononi ambayo inamtaka arudishe marejesho kila siku ile siku hana cha kurudisha...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya "Kausha damu" yawakaba koo walimu Mbozi

    Baadhi ya walimu wa shule za msingi na sekondari wilayani Mbozi mkoani Songwe, wameomba uwepo wa majukwaa ya mara kwa mara yatakayolenga kutoa elimu ya utambuzi wa Taasisi sahihi za kifedha zinazotoa huduma za mikopo, ili waweze kujiepusha na Taasisi ambazo zimekuwa zikiwakopesha mikopo yenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…