Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema iwapo atachaguliwa kuingia madarakani atapiga marufuku kampuni zote zinazowaingiza wananchi kwenye mikopo ya kinyonyaji maarufu kama kausha damu.
Mwalimu amesema haiwezekani taifa kuendelea kuendesha uchumi wake...
Wasalamu
Napenda kutoa kero yangu iliyonisibu na kuharibu maisha yangu kwa kiasi fulani. Na Ilichangizwa kwa namna moja na uelewa wangu mdogo kwenye masula ya mikopo kipindi hicho, Ila pia inachangizwa na watumishi wasio wazalendo kwa makusudi ( utafiti wangu) sekta ya fedha ( B.O.T) Na...
Wakuu
Mtia nia wa ubunge kupitia CCM Hussein Gonge akiomba kura kwa wajumbe ameahidi kuifuta mikopo ya kausha damu huku akieleza kuwa anfahamu mahali atakapotoa fedha zisizokuwa na riba.
Habarini wadau,
Licha ya serikali kupitia bank kuu kufutia baadhi ya taasisi zinazotoa mikopo inayoumiza katika hali ya kusikitisha kampuni hizi bado zipo wadau!!
Tarehe 13/06/2025 nilikopo mkopo mtandaoni kwenye App inayoitwa 'popo pesa'. Mkopo huo nilipaswa nirejeshe tarehe 19/06/2025, ajabu...
Anonymous
Thread
bado
damukaushadamu
mikopo
mikopo ya mitandaoni
mitandaoni
Wanajamvi!
Muh! Tutalalaje hapajakucha?,Mambo ni vice-versa,Mjini bado ya vimbweka!
Ni bora niendelee b'se I'm a fighter,it's better, no retreat, no surrender!
Je wadau ni Lini sasa niijue wazi hiyo secret Agenda(6634) kwa mashahidi zaidi ya watatu wakirio kwa chapa ya nyakati mpya ya siku ya...
Ni dhahiri kwamba kwa sasa Haji Manara fedha imekata. Keller zoote,lakini msingi wake hela hakuna.
Ally Kamwe na yeye amekaba balaa, aisee wapare wana unga wa miti na makopera. Tutamaliza makafara ya mbuzi na kondoo za Dar kwa ajili ya huyu dogo. Ni mkavu kama mwili wake. Dogo hachimbwi dawa...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima amesema kwamba kukosekana kwa taarifa sahihi za kutosha kuhusu namna Wanawake wanavyoweza kupata fursa za mikopo nafuu kwenye taasisi za kibenki kwa riba ndogo uenda ikawa sababu inayowapelekea wengi kudondokea...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amewaonya wanawake wa Wilaya ya Msalala kukopa mikopo ya kausha damu badala yake ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri kwa wanawake, vijana na watu wenye walemavu.
Macha ameyasema hayo katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
Wanawake wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuchangamkia fursa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halmashauri bila riba na kuachana na mikopo umiza.
Rai hiyo nimetolewa na Katibu tawala wa Wilaya hiyo Glory Absalum ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo Mboni...
Habari wana JF.
Kuna suala linaloendelea juu ya app za kukoposhe ONLINE. Hii mikopo imekaa kiunyonyaji sana.
Mtu anakopa pesa online anapewa lakini mwisho wa siku usumbufu unakuja kwa watu ambao hawahusiki na huo mkopo.
Nimekuwa nikipokea message kutoka kwa hawa jamaa wakidai nimewekwa kama...
Mhadhara - 48:
Nakiri kwamba Vicoba na michezo ya kutoana/kupeana hela vinawasaidia wanawake kujikimu mahitaji yao madogo madogo ya nyumbani.
Hata hivyo kumeibuka wimbi la wanawake wengi kujiunga kwenye vicoba vingi na idadi kubwa ya vikundi vya kutoana/kupeana hela kuzidi uwezo wao wa kifedha...
Bodi ya mikopo (HESLB) kwa hili mnataka kuvuka mipaka kwa kutaka kukata pesa za posho kwa intern (watarajali) doctors, nurses etc.
Kwanza intern sio muajiriwa anakuwa katika mafunzo kwa njia ya vitendo na halipwi mshahara anapewa posho ya kujikim ndio maana TRA hawawakati kodi.
Pili mkataba...
Mhadhara - 43:
Siku hizi kumekuwa na vibanda vingi sana mitaani almaarufu "Kausha Damu" ambavyo vinakopesha pesa kwa watu wa hali ya chini kwa riba kubwa, mikataba migumu, na masharti ya kusaga meno. Na pindi wakopaji wanapochelewesha marejesho wanaporwa mali zao bila utaratibu mzuri, kama vile...
Wasalaam.
Ni mwezi Sasa umepita tangu nilipoleta uzi hapa jukwaani unaosema
Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika.
Nilipewa ushauri mzuri Sana na Wana JF home of great great thinkers, niliwasiliana na BOT kweli baada ya weekend balance ya mkopo ikatoka ikiwa na limit ya wiki moja...
Pitapita zangu maeneo ya town nikaona bango kubwa linalohusu mkopo wa bajaji na pikipiki nikaamua isiwe shida ngoja nijisogeze yaliyojiri ni kama yafuatayo;
Aina ya bajaji ni RE
Kianzio cha mkopo ni 700,000 na marejesho kwa siku ni 28,000 kwa miaka miwili inamaana hapa ndani ya miaka miwili...
Wadau za wikiendi!
Wakati napita facebook huko nikakutana na post ya huyu jamaa akanikumbusha maumivu ya hii mikopo maarufu kausha damu namna ambavyo ilidhoofisha afya ya dada yangu, akihangaika kulipa mikopo ya aina hii.
Stori gani unaikumbuka ukisikia kausha damu?
Ni baada ya kuhangaika huku na huko bila kupata mkopo wa kuendeleza biashara yangu hatimae nikakutana na hii Banc ABC wakanipatia mkopo wa miaka miwili Ila kwa makubaliano kuwa nikipata pesa yao kabla ya huo muda naweza kulipa pesa yao tukaachana.
Kweli nilipambana kwa namna yangu na Hali yangu...
Kuna hizi MITA tukiweka luku ya 10,000 tunapata units 28 badala ya 56, Hivi mlitumia vigezo gani kutuumiza hivi?
Bora mtupatie mita mpya Ili tununue umeme wa kutosha na wateja waongezeke. Ongezeko la wateja litawaongezea mapato.
Na Kodi ya majengo nayo Bado kizungumkuti, sisi wenye majengo...
Mueleko wa nchi za Africa katika upande wa uchumi kuhusiana na madeni kwa miaka ya mbeleni sio mzuri sana.
Nchi takribani 20 za Africa zinakabiliwa na changamoto kubwa ya madeni, hii ni kutokana na ukopaji wa juu sana katika miaka 10 iliyopita. Hali tayari imepelekea nchi 3 (Ghana, Zambia na...
Rais Samia kwenye hotuba yake kupokea gawio za mashirika ya umma na yale yenye hisa za serikali kuna mambo amesema yanatia mashaka. Kwanza kufuatana na msajili wa mashirika hazina ni asilimia ndogo tu ya mashirika yametoa gawio kwa hivyo hapo bado hali ni mbaya vigogo wengi bado wanakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.