kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kauli ya RC Makalla kuhusu uhaba wa maji ni sawa na kusema hatutaki Maendeleo

    Imenishangaza sana kusema suala la maji ni 'Kudra za Mungu'. Nimefikiria kama tuko serious na maendeleo. Labda nianze kwa kuwapa tafsiri ya maendeleo tofauti na ulizoea kuzisikia awali. Maendeleo ni uwezo wa mtu kuyadhibiti mazingira yake (Ability to command the environment). Hii inaenda sawa na...
  2. JamiiForums Tanzania Ujerumani yatoa kauli ya mwisho kwa Serbia

    Germany tells Serbia to choose between Russia and EU – Reuters Belgrade itakabiliwa na "matokeo" ikiwa itashirikiana na Moscow, mwakilishi wa Ujerumani aliambia shirika la habari Serbia lazima iamue kuungana na Urusi au EU, afisa wa Ujerumani aliambia Reuters Jumanne. Wakati Berlin imeionya...
  3. JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais ambayo ni sheria ni ipi?

    Kila siku huwa tunaambiwa na wapenda mamlaka ya Rais kwamba "Kauli ya Rais ni Sheria".. Hivi kauli ya Rais ili iwe sheria inatakiwa iwe na vigezo vipi ama kila akisemacho Rais ni sheria!!??
  4. JamiiForums Tanzania Ni kauli au neno gani ulilotamka ndani ya familia hadi leo unajutia?

    Je, ni kauli gani uliyotamka ndani ya familia ikaleta taharuki na hamaki ambayo hadi leo unajutia na kuomba siku au wakati urudi nyuma uweze kuifuta kama siyo kuirekebisha? Kwa upande wangu kuna siku nilishikwa na hasira nikamwambia mwanamke aandae vitu vyake maana nitamfukuza ila nikamsamehe...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Fao la kujitoa na kauli za Serikali kuhusu kujiari - je, vinaendana?

    Watanzania wenzangu na viongozi wa Nchi hii, hebu tufanye tafakari ya kina juu ya sheria ya mifuko ya jamii na kauli za viongozi Wetu juu ya ajira nchini. Nitoe nadharia ili kila mmoja Wetu asome atumie kama base ya tafakuri. ''Mwezi uliopita kuna taasisi moja hapa nchini ilipunguza...
  6. JamiiForums Tanzania Nimependa Vladmir Putin alivyooiita nchi yake "Fatherland". Nashauri na Tanzania tuachane na kauli za "Mama Tanzania"

    Kulifananisha taifa na mama ni mbinu za kisaikolijia kulivunja morali. Sijui chanzo cha sisi Watanzania kujiita MAMA TANZANIA au MOTHER LAND BADALA YA FATHER LAND Tumuige Putin kuiita nchi yetu BABA TANZANIA. AU TUTUMIE NENO FATHERLAND BADALA YA MOTHERLAND. SABABU ZANGU 1: Mama ni...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC wengi baada ya Msudani kuwafanya kitu mbaya wameangukia katika kauli hii ili kujifariji?

    "Sawa tumetolewa rasmi Klabu Bingwa, ila Jumapili ijayo tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC watatukoma kwa Mkapa" mashabiki wa Yanga SC. Nami GENTAMYCINE nawauliza wana Yanga SC je, mkiikamia hivi Simba SC na kuifunga hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022 ndiyo mnatinga hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa (CAFCL...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Law School na kauli za mfa maji haishi kutapa tapa

    Sakata la wanafunzi LST kufeli limeendelea kujipambanua. Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe Inafahamika kuwa walimu LST nao ni products za vyuo hivi hivi hapa nchini. Kama vyuo vinatoa wanafunzi wasioiva hawa walimu wao walijiivisha namna gani? Kufeli uwakili kilio Afrika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Manara kwamba wanaoshiriki Kombe la Shirikisho CAF ni "Losers" itaendelea au ataifuta kesho?

    Msimu uliopita Simba ilipotolewa kwenye CAF Champions League na hatimaye kuishia robo fainali Kombe la CAF Shirikisho aliyekua msemaji wa Yanga Haji Manara aliwaponda Simba kuwa wanacheza kombe la "Losers" na kwamba mabingwa wote wapo CAF Champions League. Ikumbukwe wakati anatoa kauli hiyo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yanga wakipundua meza, watakuja na kauli "Bila sisi kuwasema, msingevuka"!

    Wakati hivi sasa wako makini kuishambulia Yanga, moja ya lengo lao likuwa ni kuwakatisha tamaa mashabiki na wachezaji wa Yanga hususani wachezaji na viongozi ili wawe na molari ndogo kisha watolewe. Lakini matokeo yakija tofauti, bila aibu na kwa unafiki, watasema bila sisi kuwashambulia...
  11. JamiiForums Tanzania Ukikutana na Shabiki wa Mpira mwenye Kauli zifuatazo jua Hospitali ya Mirembe kunamuhusu

    1. Tunaenda kupindua meza kwao. 2. Mungu ni wa wote. 3. Wao wamewezaje na sisi tushindwe? 4. Mpira unadunda kokote pale. 5. Iwe jua iwe mvua. 6. Kikubwa ni kumuomba tu Mwenyezi Mungu. 7. Wamewezaje kupata alama kwetu na sisi tushindwe kuipata kwao? GENTAMYCINE nasisitiza, ukibahatika tu...
  12. JamiiForums Tanzania Kauli hii inaashiria madhara makubwa itakayokumbana nayo Urusi na dunia kwa ujumla endapo....

    Za jioni ndugu zangu, kwema. Ndugu wanajamii forum wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza clear kabisa hapo juu. Ni kwamba kuna mpango mahususi unapangwa wa kuiadabisha Russia (na kwa bahati mbaya sehem kubwa ya dunia ) kutokana na kiburi ilichonacho Russia dhidi ya mataifa makubwa na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Trilioni 360 za makinikia haikuwa kodi sahihi, Nilikosea kutumia neno “Jalala”

    Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi. Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie...
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu kauli ya 'Chinjachinja' ya kada wa CCM, RPC asema atauliza kama ilikuwa na mahusiano mauaji ili hatua zichukuliwe

    Kauli za makada wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jijini Arusha na Jijini Dar es Salaam zinazotafsiriwa ni za kuchochea uhalifu dhidi ya wafuasi wa vyama vingine vya siasa, zimeibua mijadala katika mitandao ya kijamii. Moja ya kauli hizo ni ile inayodaiwa kutolewa na kijana wa Umoja wa Vijana...
  15. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

    Yaaani nimeshindwa kuelewa mshauri wa masuala ya usalama katika nchi analeta utoto kama huu duuh
  16. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Prof. Kabudi; Prof. Mruma na Prof. Ossoro wanyang'anywe vyeti walivyopewa na Magufuli

    Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, wasomi hawa wawili walitunukiwa vyeti na aliekuwa Rais wa Nchi hii Marehemu Magufuli. Kama niko sahihi kwanini wasomi hawa wasinyang'anywe vyeti walivyopewa na Magufuli baada ya Kabudi kudai madai yale ya kodi ya zaidi ya trilioni 30( kwa mujibu wa kamati ya...
  17. JamiiForums Tanzania Wale Chinja Chinja wa Arusha wasiojulikana, Waanza kujitaja. Albadiri inafanya kazi

    Salaam Wakuu, Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja. Je, Polisi watachukua hatua yoyote? Pia soma: - Mwenyekiti Chadema achinjwa hadi kufa - Kada...
  18. JamiiForums Tanzania Huenda kauli ya Spika Tulia ikawa imetupa Jibu kwanini Mama wa Nje Juzi alitumbuliwa

    "Yoyote atakayemsema vibaya Mheshimiwa Rais Samia popote pale na kwa namna yoyote ile hatutoweza Kumuacha na tutapambana nae" Spika wa Bunge Dk. Tulia Mwansasu Ackson. GENTAMYCINE natamani sana na mno kujua Mama wa Nje alipokutana na kupiga Picha ya pamoja na Namba Moja na Mbili wa Marekani...
  19. JamiiForums Tanzania Kwenye kauli hizi chache za Rais akiwaapisha Mawaziri watatu wateule, kosa la Balozi Mulamula ni insubordination?

    Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana. Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo: 1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Kauli ya vumbi la Congo kutoka kwa Mkuu wa Nchi inafikirisha sana

    Africans tunaswagwa Tu kama ng'ombe hatujui tunaelekea wapi. Ila anatuswaga ndo anajua anakotupeleka. Hoja ya msingi hivi ni kweli nguvu za kiume ndo tatizo kubwa kwa vijana wa kitanzania. Mkuu wa Nchi unaamka unauambia ulimwengu vijana wangu Wana upungufu wa nguvu za kiume kwamba nalo ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…