katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Malipo kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la wapiga mbona katika mkoa mmoja kila wilaya inavyotaka

    Hivi inakuwaje mkoa mmoja kila wilaya inalipa jinsi inavyopenda?Inaamanaa hili zoezi kila wilaya wilaya linaendesha zoezi hili kila linavypoenda? Hii ina maana tume ya uchaguzi haikupanga kiwango sahihi kwa waboreshaji la daftari kiwango cha kulipa? Hii inatengeneza loop hole kwa wasimamizi...
  2. JamiiForums Tanzania Geita: Anthony Mavunde aahidi kuingiza Tsh. Trilioni 1 Katika Mfuko wa Serikali kutoka Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amezungumza mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika Sekta ya Madini leo tarehe 13 Oktoba, 2024, mkoani Geita. amesema kuwa Wizara ya Madini imejipanga kuingiza Tsh. trilioni 1 kwenye mfuko wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ni wapi bado tunahitaji sauti zaidi za wanawake? Je, ni katika Siasa, Elimu au Biashara?

    Wanawake wanaposhiriki katika maamuzi, huleta mitazamo mipya yenye nguvu za kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu. Ushiriki wao unaleta uwiano wa kijinsia unaohitajika katika kila sekta – iwe ni siasa, biashara, jamii au elimu. Tunapozingatia changamoto nyingi zinazokumba jamii zetu, kama...
  4. JamiiForums Tanzania Huu mfumo wa wanaume kuwanunulia chakula wapenzi wao halafu wao kubaki njaa unaitwaje?

    Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na Mwanaume huyo akiona Watu wanamuangalia anajifanya anamsaidia Demu wake Kula kwa Kumlisha au Kula Kidogo...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi serikali imejipangaje kukabiliana na uwezekano wa kutokea uhaba wa mafuta mkubwa duniani kutokana na mzozo unaoendelea katika ghuba ya Uajemi?

    Iran Tovuti kubwa ya habari duniani Reuters imeripoti kuwa "Nchi zinazopatikana katika ghuba ya Uajemi (Persian Ghulf states) zitakazo saidiana na Israel kuishambulia Iran katika visima vyake mafuta (oil facilities) , hazitabaki salama. Iran itajibu mapigo kwa kuangamiza oil facilities zote...
  6. JamiiForums Tanzania Maoni Juu ya Juhudi za Serikali katika Matukio ya kupotea kwa Watoto

    Tukio la kupotea kwa mtoto Joel Johannes Mariki linaibua maswali kuhusu uwezo wa serikali kushughulikia matukio ya dharura kama haya. Pamoja na jitihada zilizofanyika, ni wazi kuwa kulikuwa na changamoto katika utafutaji, hasa kutokana na ukosefu wa matumizi ya teknolojia za kisasa na rasilimali...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya maji na benki ya maendeleo ujerumani (KfW) kuendeleza ushirikiano katika kutekeleza miradi ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akiwa jijini Frankfurt nchini Ujerumani leo tarehe 09 Oktoba 2024 amepata wasaa wa kufika makao makuu ya Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na kukutana na Viongozi wa Benki hiyo kwa lengo la kuboresha na kukuza mashirikiano baina ya Serikali ya...
  8. JamiiForums Tanzania Geita Yatikisa Katika Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    GEITA YATIKISA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO ● Wananchi wamshukuru Rais , Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza miradi ●Miradi ya maendeleo yatekelezwa kwa asilimia 90 ⚫️ Wilaya ya Mbogwe na Bukombe zapiga hatua kubwa kimaendeleo ●Sekta ya Madini Geita ya kinara katika...
  9. JamiiForums Tanzania Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere Katika Kilimo na Siasa za Kujitegemea: Urithi wa Maono Makubwa Kwa Taifa la Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuachia vyumba kwenye Hotel, Lodges na Guest House ni wa udhulumaji

    Najua wengi mmeshakutana na hizi changamoto za kulazimishwa kuachia chumba huku ukiwa umepumzika kwa masaa 6 tu. Wale wasafiri wa usiku, ama wala bata hizi kero za kuamshwa asaubuhi hasa ikifika saa 4 kuwa muda wa chumba umeisha nilazima ukereke sana. Bei za chumba huwa ni kwa siku. Na wote...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sura ya Chadema katika Magazeti ya Mataifa

    Kutana na taswira ya chama hiki kama ilivyoakisiwa leo kimataifa: Kwamba: Habari kamili iko hapa: Who is Freeman Mbowe? Why Tanzania’s ruling party is targeting the opposition leader Na hii ndiyo hali halisi.
  12. JamiiForums Tanzania Eti ma-senior wenzangu katika kilele chao kati ya Ray-C na Lady Jay Dee, nani alikuwa bora kuzidi mwenzie?

    Mamaa wa kiuno bila mfupa. Binti machozi, Komando Jide Kuleni vyuma kidogo: https://youtu.be/mJs7rPVBRn4?si=ueTatlNOl8Z78ZRU https://youtu.be/N046uBmyZZQ?si=ks60wBXIhtUHrv8s
  13. B

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Vipi ukatoa ushahidi Mahakamani kama katika hali hii?

    Salaam , somo hapo juu lahusika case study Mahakama za Tanzania , let say uko zako Japan na unatakiwa uwe shahidi kesi iko TZ , inawezekana vipi? Wewe ni shahidi muhimu, kesi ya Madai. Please advice
  14. M

    JamiiForums Tanzania Napata changamoto katika kuconfirm chuo

    Naomba msaada, Nimechaguliwa multiple selection ila napo confirm naambiwa kwa kutumia code niliyotumiwa na TCU naambiwa invalid confirmation code
  15. JamiiForums Tanzania Mr & Mrs Zimbwe Jr katika pozi la Familia

    Zimbwe Jr anasema huwa anatumia muda wake wa mapumziko mara nyingi kuwa na familia yake kama ilivyo pichani. Pichani ni Mr & Mrs Zimbwe Jr wakiwa katika pozi la familia.
  16. JamiiForums Tanzania Katika Dunia kila kitu ni biashara

    Juzi Juma mamosi nilikua Sehemu nakula akapita Binti nikamsemesha, Direct Bint, anataka 50k kwa Bao Moja. Kwamba apendi kutongozana, ni mrembo kwa mtazamo wangu,nikawaza faster. Kama huyu Binti angekua anapata 50K kwa Bao Moja, toka siku alioanza kufanya mapenzi/ Ngono Hadi Leo maana yake...
  17. JamiiForums Tanzania Mercedes Benz C Class (W205) hii chuma Wajerumani walituliza vichwa. Hadi sasa naamini ndio the best katika segment yake

    Wakuu. Katika segment ya compact executive cars tunakutana na wakali wengi sana, mfano BMW 3 series, Mercedes Benz C Class, Audi A4, Volvo S60, Genesis G70, Lexus IS nk. Yote tisa, hii generation ya nne ya Mercedes Benz C Class, W205, iliyoanza mwaka 2014 hadi 2021 ni namba nyingine kabisa...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Naibu Rais Rigathi Gachagua Aomba Rais Ruto Amsamehe

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amemuomba Rais William Ruto amsamehe iwapo amemkosea kwa namna yoyote. Akihutubia kwenye ibada ya maombi ofisini kwake Karen, Gachagua pia aliwaomba radhi wabunge wote, siku moja kabla ya kuanza kwa mchakato wa kumtimua kwenye Bunge la Taifa la Kenya.
  19. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es Salaam, ni wakati muafaka kuitokomeza CCM katika uchaguzi wa serikali ya mitaa kutokana na kero ya maji.

    Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…