Mosi,Kukaa kimya kuna nguvu zaidi kuliko pale unapotaka kudhibitisha ukweli au kujitetea. Na hii kweli kabisa wakati mwengine unaweza kupata kashfa ambayo jinsi kadri unavyotaka kujitetea unajikuta unazidi kuharibu,kwahiyo wakati mwingine kunyamaza ni jibu zuri sana,watu wanabaki njia panda...